Wamiliki wa WhatsApp wako slow Sana

Wamiliki wa WhatsApp wako slow Sana

Nanza na salamu Kama jadi yetu, Salam

Nikiensa kwenye tittle moja kwa moja, naona watuamiaji wa WhatsApp ni wengi, nipo kwa ajili ya kukosolewa ikiwa si kweli.

Hawa jamaa kwenye eneo la usalama hawako vzr naona mtu anaweza akatuma kitu kwa bahat mbaya au kivyovyote...Bado Kuna kitu sinahakika Kama kweli picha zako kwenye gallary hazina uhusiano wakuweza kuonekana kule email yako. Hapo tunaona server za email zetu, na simu zetu Kuna connection.

Kuna eneo la kuchat na wadau lkn katika kundi hakuna amani, unaweza kumute sawa. Kuna watu Wana chat Sana tena sana. Ilitakiwa nikimblck nisione text zake

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unachopaswa kujua ni kwamba maendeleo hayana chama...
 
Jaman ifike mahali tuheshimiane, nimevumilia sana ila nimeshindwa. Kwa maoni yangu na sitaki kumponda mtu yeyote, baada ya kutafakari sana na kupima uzito kwa pande zote, ninachodhani na ninadhani na nyie pia mtakubaliana na mimi, maana ni jambo lipo wazi kabisa, ikibidi nitakumbusha na mifano kadhaa kwa mustakabali wetu kama kikundi, mi naomba tu niseme na nina sababu za kuamua kulisema hili hapa. Kwa sababu zilizo wazi na nahisi na nisinukuliwe vibaya nasema hivi,(ingawa kiukweli sijali itakavyotafsiriwa na wengine) na pia nataka wote muwe mashahidi, kwakweli hata sikumbuki nilikuwa nataka kusemaje.
 
Hawa jamaa kwenye eneo la usalama hawako vzr naona mtu anaweza akatuma kitu kwa bahat mbaya au kivyovyote
-Kukosea kutuma kitu sioni kosa lao, ni uzembe wako wa kutokua makini, japokuwa kuna option ya kufuta ulichotuma kama utawahi kufuta basi hakitaoneka, ila kuna modded whatsapp(GB whatsaap, whatsap plus na nyenginezo zisizo official) zinawawezesha watumiaji kuona ulichofuta.
Kwenye swala la security ni kweli wako nyuma.
Chukulia mfano Telegram
- Waweza edit, futa kile ulichotuma, ambapo Upande wapili hawezi ona tena.
 
Back
Top Bottom