Wamiliki wa WhatsApp wako slow Sana

Wamiliki wa WhatsApp wako slow Sana

pua200

Member
Joined
Dec 24, 2018
Posts
80
Reaction score
44
Nanza na salamu Kama jadi yetu, Salam

Nikiensa kwenye tittle moja kwa moja, naona watuamiaji wa WhatsApp ni wengi, nipo kwa ajili ya kukosolewa ikiwa si kweli.

Hawa jamaa kwenye eneo la usalama hawako vzr naona mtu anaweza akatuma kitu kwa bahat mbaya au kivyovyote...Bado Kuna kitu sinahakika Kama kweli picha zako kwenye gallary hazina uhusiano wakuweza kuonekana kule email yako. Hapo tunaona server za email zetu, na simu zetu Kuna connection.

Kuna eneo la kuchat na wadau lkn katika kundi hakuna amani, unaweza kumute sawa. Kuna watu Wana chat Sana tena sana. Ilitakiwa nikimblck nisione text zake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umewahi hata kuunganisha computer zako mbili upate network?
Anzisha mtandao wako wa kijamii kisha weka security ambazo wao hawajaweka.
 
Nanza na salamu Kama jadi yetu, Salam

Nikiensa kwenye tittle moja kwa moja, naona watuamiaji wa WhatsApp ni wengi, nipo kwa ajili ya kukosolewa ikiwa si kweli.

Hawa jamaa kwenye eneo la usalama hawako vzr naona mtu anaweza akatuma kitu kwa bahat mbaya au kivyovyote...Bado Kuna kitu sinahakika Kama kweli picha zako kwenye gallary hazina uhusiano wakuweza kuonekana kule email yako. Hapo tunaona server za email zetu, na simu zetu Kuna connection.

Kuna eneo la kuchat na wadau lkn katika kundi hakuna amani, unaweza kumute sawa. Kuna watu Wana chat Sana tena sana. Ilitakiwa nikimblck nisione text zake

Sent using Jamii Forums mobile app

Nanza na salamu Kama jadi yetu, Salam
-Salaaam karibu

Nikiensa kwenye tittle moja kwa moja, naona watuamiaji wa WhatsApp ni wengi, nipo kwa ajili ya kukosolewa ikiwa si kweli.
-Nikweli wapo wengi

Hawa jamaa kwenye eneo la usalama hawako vzr naona mtu anaweza akatuma kitu kwa bahat mbaya au kivyovyote
-Kukosea kutuma kitu sioni kosa lao, ni uzembe wako wa kutokua makini, japokuwa kuna option ya kufuta ulichotuma kama utawahi kufuta basi hakitaoneka, ila kuna modded whatsapp(GB whatsaap, whatsap plus na nyenginezo zisizo official) zinawawezesha watumiaji kuona ulichofuta.

...Bado Kuna kitu sinahakika Kama kweli picha zako kwenye gallary hazina uhusiano wakuweza kuonekana kule email yako. Hapo tunaona server za email zetu, na simu zetu Kuna connection.
-Picha zako kwenye gallery haziwezi onekana whatsapp, ila whatsapp umeipa uwezo ku access gallery yako na kuchagua picha au video yoyote unayotaka kumtumia mtu au ku share kwenye groups, hivyo vyote vinafanyika chini ya uangalizi wako kwa maana whatsap haijiamulii kuchukua picha zako na kushare kwa watu bila command zako.
ILA CHINI YA UDUKUZI YOTE HAYO YANAWEZEKANA KUFANYIKA KULINGANA NA UJUZI WA MDUKUZI NA TAARIFA AZITAKAZO, HAKUNA MFUMO WA COMPUTER AMBAO NI SALAMA 100%.

-Njia nzuri ni ku left group kama ni kero kwako endapo huwezi fikisha malalmiko kwa wahusika.
 
Ushauri wangu mi nikuambie katika kipindi cha mwanzo kwenye mambo ambayo wakati mwingine unaposema halafu kila mtu ambaye anapata halafu unakuta wote tupo mi nakuelewa. Huo ndio ushauri wangu kwako.🤣🤣🤣
 
Ushauri wangu mi nikuambie katika kipindi cha mwanzo kwenye mambo ambayo wakati mwingine unaposema halafu kila mtu ambaye anapata halafu unakuta wote tupo mi nakuelewa. Huo ndio ushauri wangu kwako.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mungu wangu..au unashida

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nanza na salamu Kama jadi yetu, Salam
-Salaaam karibu

Nikiensa kwenye tittle moja kwa moja, naona watuamiaji wa WhatsApp ni wengi, nipo kwa ajili ya kukosolewa ikiwa si kweli.
-Nikweli wapo wengi

Hawa jamaa kwenye eneo la usalama hawako vzr naona mtu anaweza akatuma kitu kwa bahat mbaya au kivyovyote
-Kukosea kutuma kitu sioni kosa lao, ni uzembe wako wa kutokua makini, japokuwa kuna option ya kufuta ulichotuma kama utawahi kufuta basi hakitaoneka, ila kuna modded whatsapp(GB whatsaap, whatsap plus na nyenginezo zisizo official) zinawawezesha watumiaji kuona ulichofuta.

...Bado Kuna kitu sinahakika Kama kweli picha zako kwenye gallary hazina uhusiano wakuweza kuonekana kule email yako. Hapo tunaona server za email zetu, na simu zetu Kuna connection.
-Picha zako kwenye gallery haziwezi onekana whatsapp, ila whatsapp umeipa uwezo ku access gallery yako na kuchagua picha au video yoyote unayotaka kumtumia mtu au ku share kwenye groups, hivyo vyote vinafanyika chini ya uangalizi wako kwa maana whatsap haijiamulii kuchukua picha zako na kushare kwa watu bila command zako.
ILA CHINI YA UDUKUZI YOTE HAYO YANAWEZEKANA KUFANYIKA KULINGANA NA UJUZI WA MDUKUZI NA TAARIFA AZITAKAZO, HAKUNA MFUMO WA COMPUTER AMBAO NI SALAMA 100%.

Kuna eneo la kuchat na wadau lkn katika kundi hakuna amani, unaweza kumute sawa. Kuna watu Wana chat Sana tena sana. Ilitakiwa nikimblck nisione text zake
-Njia nzuri ni ku left group kama ni kero kwako endapo huwezi fikisha malalmiko kwa wahusika.
Wee jamaa umepata 0%

Hivi hixo changamoto unadhani ni dhaifu au sio?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mleta maada nadhani mada hii haina Main point hivyo imepoteza sifa za kujadilika
 
Back
Top Bottom