Wamiliki wa WhatsApp wako slow Sana

Wamiliki wa WhatsApp wako slow Sana

Kwa kifupi hakuna kitu ambacho kwenye dunia la leo kitafanya kazi 100%. Suala la privacy hakuna guarantee ya 100%. Soma terms and conditions uzielewa unapoinstall WhatsApp unawapa access ya kila kitu kwenye simu yako. Ila kama Kuna security issue umeiona unaweza kuwacheck kwenye email yao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Kama wewe unashahada basi ningekupa nyingine uwe na nne.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom