Athuman Mpambije Athuman
Member
- Jul 31, 2020
- 52
- 150
"Mabus na Malori ni vinyongeza tu..."Kuna mtu namfahamu Ana Shimo pale mererani, shimo lake lina uwezo wa kutema vyombo kila mwezi,makinikia ndio usiseme.
Huyu akisema anakopa Anauwezo wa kukopa kununua hayo mabus yote uloyataja na chenchi ikabaki.
Kuna watu wana miliki Assets ambazo ndio maisha yao, Nyingi zisizoonekana.
Mabus na Malori ni vinyongeza tu...
We Jamaa unajua sana Basi tu..[emoji1666]
Afu hao watu wa Mabus na Malori Wala hawategemei hivyo vitu.. Ila wao wanazingatia sana kuendeleza kujenga na kuimalisha uwezo wao wa kukopesheka na Taasisi mbalimbali za Fedha.