Wamembaka mke wangu, nimeona niachane nae tu

Wamembaka mke wangu, nimeona niachane nae tu

..lakini hilo la kuliwa mande kuna sababu behind the curtains..! hawawezi tu from nowhere wamtafune mke! Kuna kitu...

mkuu roots yuko sahihi nawe Eli79 uko sahihi pia kuna jambo liko nyuma ya pazia. Kuna jambo huenda mwana mama ameshawafanyia washikaji nao ikabidi walipe kiivyo yani. NB na angalizo kwa wanawake na wadada usicheze deal na mwanamme ukamzunguka, huwa tukijua baadhi tunakubaliana na hali halisi ila tunakuw na mahesabu ya mbali ya kulipa aidha kwa unyama au kukuharibia deal lako lingine.
 
Mkuu, mimi katika hili nakusapoti 100% najaribu kuvaa viatu vyako hapa naona suluhu ni ku move on na maisha, yako. Mwanamke anasahau nafasi ya mumewe, anakuchukulia poa…? Relationship ina mwanamke mmoja na mwanamme mmoja.
Hayo anayofanya anatakiwa afanye kwa boyfrnd not mume.
Piga chini mkuuuu.
 
Pole sana kiongozi...
Ni kweli, kama nyumba haina mawasiliano, maisha ya ndoa yanakuwa machungu sana. Ubabe baina ya wanandoa wala hausaidii bali hubomoa tu. Japo umesema hutaki ushauri, ingekuwa mimi ningetaka kujua sababu za hao madalali kumla mande mke wangu, ningewafanyia mbaya hilo halina ubishi...

Na hata ingekuwa ni mimi hata kama simtaki ila hao jamaa ntahakikisha hachomoki kwenye nondo ntu hata mmoja mamaye zao mpaka shetani aseme hongera.
 
Mkuu, mimi katika hili nakusapoti 100% najaribu kuvaa viatu vyako hapa naona suluhu ni ku move on na maisha, yako. Mwanamke anasahau nafasi ya mumewe, anakuchukulia poa…? Relationship ina mwanamke mmoja na mwanamme mmoja.
Hayo anayofanya anatakiwa afanye kwa boyfrnd not mume.
Piga chini mkuuuu.

Eti anarudi usiku anakwambia nimetoka kwenye kitchenparty ila ningekuambia kabla ungeninyima. Dharau kubwa kiasi gani hio kudadeki anyway ndo walivyo kinachotuumaga ni watoto tuu dizain watakavyoathirika kisaikolojia basi.
 
Na hata ingekuwa ni mimi hata kama simtaki ila hao jamaa ntahakikisha hachomoki kwenye nondo ntu hata mmoja mamaye zao mpaka shetani aseme hongera.
Wamemfanya huyo mwanamke kitu kibaya sana, kumla mande tena kumlawiti/kumf***...aaaaaggggggrrrr!! Nisingewasamehe hadi nilipize...
 
Pole mkuu hupaswi kumuacha huyo mwanamke unachotakiwa kufanya ni kumsamehe na kuanza ukurasa mpya wa mapenzi yenu pili fikria kuhusu watoto wenu, nina hakika atakuwa kapata somo.

Ukurasa mpya atauanza jamaa tu?
si mnajua tabia ni kama ngozi haibadiliki?.
Mi namshauri aaachane nae tu.. hana jipya huyo dada
 
How can you say that unashkuru amebakwa name amelatiwa?

Have you stopped for a minute to imagine the trauma she went through and that will remain imprinted in her body and mind for the rest of her life??

Dude Come on.
 
Mkuu kule wanakula na kulala bure unawaacha watoke halafu unakuwa unamtafuta mmoja baada ya mwingine hadi unawamaliza wote!

Hao jamaa hawana shda, problem ipo kwa huyo dada.
kwan jamaa ckaanika matendo yake hapa?,
na kwamba alishamchokaga cku nyngi tu akawa anatafuta 7bu?
 
Eti anarudi usiku anakwambia nimetoka kwenye kitchenparty ila ningekuambia kabla ungeninyima. Dharau kubwa kiasi gani hio kudadeki anyway ndo walivyo kinachotuumaga ni watoto tuu dizain watakavyoathirika kisaikolojia basi.

Damn, huu ni ujinga kuendelea kuishi hivyo, life is too short dude kuanza kukaa na stress daily, shingo ishakuwa ngumu huyu hawezi badilika over nyt
 
Wewe piga chini achana na hadithi na mashauri ya member kuwa umrudie
utajiri hatukuzaliwa nao wala umaskini
kusanya watoto wako, walee kwa maadili ya kwako wawe na heshima waache madharau ya pesa,
Hapo Dodoma kuna Askari alikandamiziwa mke wake Guest moja huko makole, akapigiwa simuu hivyo hivyo
kaenda na defender na kiosi kizima kufika akayakuta km yako
hofu iliyompata mpaka sasa hajielewi maana amepungua kwa sukari au ndio kaukwaa ni baada ya kusamehe na kurudiana naye
jiepishe Mkuu usije kuwa km afande wangu, kwani hilo doa halifutiki asilani kilamtu abebe msalaba wake.
 
Huwa nashangaa sana inapofika kwenye kumhukumu mwanamke kila mtu anataka kutupa jiwe wa kwanza. Najiuliza mara ngapi mwanaume mkewe anamsihi na kumuonya na hamsikilizi katu katu. Ila yakimpata majanga jamii yote inategemea mwanamke kusimama hapo.

Mara ngapi mwanaume mzinzi na mlevi ana anapata ajali na mke anauguza kwa kuogesha na kubadili hata bed pans? Mara ngapi mwanaume mleviii anamtesa mkewe na anapokaanga ini mkewe analaumiwa kwa kushindwa kummudu na 'kuua' mume.

Mimi nakulaumu kwa kushindwa kumlinda mkeo. Mkeo anatoka nyumbani anaenda huko huna habari hadi giza linafika. Hebu mpe support mkewe acha mambo ya aibu. Unajikomoa na wewe hapo
 
Uamuzi wako Ni wa jazba. Chukka likizo 2 weeks fanya retreat then usiamue but adopt kitakachokuwa mbele yako. Ukiielewa hii trick hutajutia. We solve other problems by lapse of thyme.
 
Back
Top Bottom