The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,320
- 117,669
hata kama jamaa ana mapungufu kutoaga tu nyumbani tena mama wa familia ni kosa kubwa.
Ni kosa kubwa sawa but halihalalishi kumtwanga talaka baada ya kubakwa
hapo ni kama ulikuwa unasubiri mwizi akamatwe na wewe umchome moto kabisa...
adhabu zinaenda na aina ya kosa