The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,320
- 117,669
Boss plz hapo kuna ukweli gani zaid?
Besides let's assume kuna huo so called ukweli utasaidia nn hasa?she still the same woman with dharau na majivuno unahitaj nn zaid?
Kubakwa kabakwa so what?
Ukweli mwingi tu hapo haujui
mkeo hata kama ana majivuno na dharau ni mkeo
akidhalilishwa yeye na wewe umedhalilishwa
why watu wengine wamdhalilishe tu na wewe uwaachie simply sababu ana majivuno?
watu wa nje hawana ruksa ya kuja kumdhalilisha mkeo......
nimetoa mfano wa binti yako...hata kama ni mkorofi kiasi gani huwezi achia watu wamdhalilishe