Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,024
- 59,684
Aisee kama wameshamla kiboga itakuwaje akipona? Manake huyo hawezi kuacha tena
Kuna mrejesho kweli hapa,kaka ana hasira na maamuzi alisha fanya kabla hata mkewe haja bakwangoja tungojee mrejesho.
Mtu hawezi acha kukuheshimu akakupa tunda wewe...unless awe amekugeuza dildo...na ndio kama kwenye mechi mpo compatible ndoa haiwezi kamwe ku shake...hayo mengine ni mbwembwe tu
Tatizo vijana siku hizi mnavizia kuoa watoto wa vigogo mkitegemea kukwamua maisha (ntoke vipi)..
Ndo maana kuna wazee hawataki wakwe class ya chini kuhofia watoto zao kugeuzwa mtaji
hili ndio tatizo la wanawake wengi kua short sighted kwenye ndoa na kudhani kwa vile tu anampa mume wake tunda la roho basi hata asipomuheshimu haina tatizo,akili zao zote zinakua kwenye kiungo chao pendwa kwamba so far anampa mme wake bila hiyana basi mambo mengine hayapi uzito, wanaishia kuachwa na viungo vyao pendwa wanabaki navyo vimewadodea.
Labda awe ni changudoa tu ndio anaweza kutegemea kiungo chake pendwa kwa mwanaume kama silaha yake ya mwisho maana hawana muunganiko mwingine wowote baaada ya hapo.
Kwenye ndoa mwanaume anahitaji zaidi ya ngono, heshima, maana kama ni ngono anaweza kupata bila shida toka kwa machangu sasa ya nini aoe kama ndoa ni ngono?
Anyway kama ndoa yako ipo kwa ajili ya ngono tu haina shida.
hili ndio tatizo la wanawake wengi kua short sighted kwenye ndoa na kudhani kwa vile tu anampa mume wake tunda la roho basi hata asipomuheshimu haina tatizo,akili zao zote zinakua kwenye kiungo chao pendwa kwamba so far anampa mme wake bila hiyana basi mambo mengine hayapi uzito, wanaishia kuachwa na viungo vyao pendwa wanabaki navyo vimewadodea.
Labda awe ni changudoa tu ndio anaweza kutegemea kiungo chake pendwa kwa mwanaume kama silaha yake ya mwisho maana hawana muunganiko mwingine wowote baaada ya hapo.
Kwenye ndoa mwanaume anahitaji zaidi ya ngono, heshima, maana kama ni ngono anaweza kupata bila shida toka kwa machangu sasa ya nini aoe kama ndoa ni ngono?
Anyway kama ndoa yako ipo kwa ajili ya ngono tu haina shida.
Mtu hawezi acha kukuheshimu akakupa tunda wewe...unless awe amekugeuza dildo...na ndio kama kwenye mechi mpo compatible ndoa haiwezi kamwe ku shake...hayo mengine ni mbwembwe tu
Tatizo vijana siku hizi mnavizia kuoa watoto wavigogo mkitegemea kukwamua maisha (ntoke vipi)..
Ndo maana kuna wazee hawataki wakwe class ya chini kuhofia watoto zao kugeuzwa mtaji
nevile pablo
To be honestly hata nikionekana katili au sina huruma kiasi gani ni bore but nakuunga mkono asilimia buku yaan
Kwa maoni yangu nadhani hii ndoa ilishakufa hiyo miaka minne iliyopita sababu trust kwako ilikufa
Kama umefikia stage ya kuficha Hati na miradi yake hakuna maana ya ndoa tena
Okay ni vyake lakini sioni haja ya kukuficha mtu unayelala nae uchi miaka yote,what for?
Ukute mamake ndo alimwambia 'mwanaume sio ndugu yako,akikuacha je?'
Mnisamehe kama nimesema vibaya lakini amini nakuambieni ndo mambo yanavyoanzia kwenye ndoa zetu,pale unapomshirikisha third part theta where all "ZE DRAMA BEGINS"»»kwa mfano ona sasa mama mkwe wako anavyokuangalia kama we shetani au ndo umesababisha hayo wakat she is the source,"let em test the taste of their own f.u.k.i.n medicine"
YAANI KAMA UTASOMA HII COMMENT NATAMANI HATA NIPATE NAMBA YAKO YA SIMU NIKUPE HONGERA NA POLE KWA SIMU
AM NOT OKAY NA YEYE KUBAKWA BUT SHE HAS A LESSON TO LEARN KWAKWELI
Besides nimependa hyo comment hapo" mm jioni naenda zangu kwenye bia narudi nipo vizuri nalala, "t has made my day kwakweli
I real wish to see how this drama ends
Kama mke wangu ana majivuni ni huko kwa mashosti zake, kwangu aje na heshima coz it has to be that way. Akishaleta dharau na majivuno ndani ya nyumba, tena kwa kisingizio cha uwezo wa kifedha itakula kwake, trust me ukishakuwa mtu wa majigambo, dharau na majivuno ndani ya nyumba, hapatakalika.
Worse of all, kila kitu kwake ni Siri, anamfanya mama yake msiri wake...aende kuishi nae kama ndio hivyo coz huwezi kuishi na mtu mlale uchi kila siku kumbe anafucha mambo. Unaona mtu anaondoka home sa4 hasemi anaenda wapi, achilia mbali kuomba ruhusa. Hiyo ndoa ilishakufa mda, jamaa amalizie tu sasa....
And vice versa is true!
Na mwanamke anahitaji vitu hivyo!!
Well narrated kiongozi. Mwanaume anahitaji heshima, kujaliwa na upendo...nyumba isiyo na maelewano, hamna communication, hapo ndoa inakosa bond. Nashangaa mtu yupo ndani ya ndoa kwa miaka lakini anasema ndoa ni ngono...ngono ni compliment ya ndoa and nothing more.
Women of nowadays are rude, selfish and self-centered. Kuna mtu nimemsoma na nahisi she's just that.
Akili yako na ya mama mkwe wa mtoa mada hazina tofauti,acheni kuwaharibu mabinti zenu eti kisa mko vyema basi ndo awe na dharau kwa mumewe kweli??wanaume wanapenda respect kutoka kwa wake zao kuliko kitu kingine chochote
hili ndio tatizo la wanawake wengi kua short sighted kwenye ndoa na kudhani kwa vile tu anampa mume wake tunda la roho basi hata asipomuheshimu haina tatizo,akili zao zote zinakua kwenye kiungo chao pendwa kwamba so far anampa mme wake bila hiyana basi mambo mengine hayapi uzito, wanaishia kuachwa na viungo vyao pendwa wanabaki navyo vimewadodea.
Labda awe ni changudoa tu ndio anaweza kutegemea kiungo chake pendwa kwa mwanaume kama silaha yake ya mwisho maana hawana muunganiko mwingine wowote baaada ya hapo.
Kwenye ndoa mwanaume anahitaji zaidi ya ngono, heshima, maana kama ni ngono anaweza kupata bila shida toka kwa machangu sasa ya nini aoe kama ndoa ni ngono?
Anyway kama ndoa yako ipo kwa ajili ya ngono tu haina shida.
..lakini hilo la kuliwa mande kuna sababu behind the curtains..! hawawezi tu from nowhere wamtafune mke! Kuna kitu...
me ningekuwa mpelelezi ningekupeleleza na wewe...usikute umepata mchepuko umenogewa ukamtengenezea mkeo zengwe kwa kutumia sifa yake ya kupenda maendeleo ili upate sababu ya kumwacha...coz kwa hali ya kibunadamu nimemuonea huruma sana huyo dada ni fighter japo ana weakness zake...lkn kwa vile umeongea upande mmoja coz ukute kuna reasons za kutokushirikisha...inawezekana I did da same kwa maendeleo yako...au una watoto wa nje so anafanya hivyo kwa maslah ya watoto wenu..ol in ol lazima kuna reasons...sasa kama sie watu baki tunamuonea huruma mkeo na mama mtoto wako..eti wewe unakaa bar unakunywa bia na inapita kabisa...kaka kuna mengi umeficha hapa
Pole sana
Hupaswi kuwa na jazba
Mke ni dhamana yako kama ilivyo mwanao
Waliombaka mkeo pia 'wamekutukana na wewe na kukuonyesha dharau kubwa'
Hata kama utasema umuache mkeo...kama adhabu yake vipi hao walio mbaka?
Why usijue ukweli wote?
Yaani watu waje wambake mkeo na kumlawiti na wwe unaona tu bora kumuacha mkeo ndo umemaliza?
Na hao jamaa wakihonga mahakama watatoka nje free kabisa?
Nimi ningekuwa wewe ningeanza na hao watu..nijue ukweli na nihakikishe wanazikwa ndo narudi kumuadhibu wife