Wamembaka mke wangu, nimeona niachane nae tu

Wamembaka mke wangu, nimeona niachane nae tu

Pole sana Mkuu. Mwenye hekima Sulemani Mfalme aliwahi kusema haya:

"Aonywaye mara nyingi akishupaza shingo, Atavunjika ghafula, wala hapati dawa". Mithali 29:1.

Ama kweli yametimia
 
mh!
nimefikiria kwa umakini hii hadithi yako mkuu, japo maamuzi ya kuwa na mkeo ama la ni yako sijakubaliana na namna unavoshabikia swala la yeye kubakwa! nahisi wewe ndo umewatuma hao jamaa wambake ili umuaibishe ama hata kama si moja kwa moja umekuwa ukiomba apatwe na balaa ili umuumbue teheteheteh....shame!
Anakuhitaji Zaidi sasa kama MUME, msaidie apite huu wakati nawe.

UKISUSA WENZIO WATAKULA NA BADO ITAKUUMA:

KUWA MUME KUNA UZITO NA CHALLENGES ZAKE

Umeonaeee tena alishamwambiaga kama sio Muhimbili basi Mochwari ila Mungu akanusuru ikawa ni guest but chanzo kikuu ni yeye Mume. Mwanaume alikuwa mwanaume jina tu saivi ndio anajifanya kagutuka amejijua na yeye yum coz kama mke alikuwa ayupo kama mke amewahi kujaribu kusolve hayo matatizo? Sure mume anahusika na huku kubakwa kwa mkewe kbsaaa.
 
Pole kwa maswahibu yako mkuu, lakini huyo ni mkeo, usingechoka kumuongoza pale ulipoona inafaa (kobe haelemewi na jumba lake ndugu). Sasa wewe utafikiri ulikaa mkao wa kusubiri...suuu....basi na wewe uamue utakavyo?
 
Ingawa stori nyingi za humu ndani ni chai....

Umeongra meeeeeengi lakini ukiangalia ulichokiandika ni hasira ya pesa/ madili /mafanikio ya mkeo ndio yanayokutesa

Na umetumia kubakwa kwake kama sababu

Nikirudi kwa wanawake...mnachochagua waume chagueni wanaume sio tu wanaowapenda kwa dhati kiasi cha kuwa tayari kusupport ndoto zenu. ..watakawaelewa..... na kujitoa kwenu kwa hali na mali.....mwisho mhakikishe Nyumba yenu iwe na mawasiliano

Salute!!!
 
Ajute kwa lipi wakati hakukuwa na ndoa miaka minne sasa? Hivi unadhani wanaume wanachagua "urithi" mbele ya heshima ndani ya nyumba? Ukiwa na mke mwenye dharau na majivuno huwezi kufurahia maisha ya unyumba, making love is more than screwing each other asee!
Wewe ndio wasema hakukuwa na ndoa miaka 4...
Uliza mashehe, wachungaji na wanasheria ndoa ni nini...
Mna firigisana daily tena kwa hiari (hambakani) afu useme ndoa ilikuwa mfu????
Hii ndoa hiko alive and kicking...
Tatizo huu ubakaji uloingilia kati... na hasira za pesa ambazo zimekuwa zikimzonga jamaa..

Kuna jirani yetu mkewe alibakwa...walivamiwa na majambazi home...
lakini baadae iligundulika ni ugomvi wa mumewe kibiashara maana hawakuiba chochote...
Mtaa mzima unajua na mke hakudai talaka kwa mume alomponza...

Ila sishangai...comments zinawakilisha wanaume wengi katika ubora wao...UMIMI
Types ya The Boss ni wachache na kwa mwanamke mwenye bahati ya kuwapata aisee ashikilie vizuri maana ni every woman's dream
 
Nimesoma mwanzo mwisho kisa chote ndugu yangu sijakurupuka,

Lakini ukweli ni kwamba maamuzi yoyote unayofanya sasa yamefunikwa na machungu, hasira na kinyongo cha siku nyingi. Kumu-ignore mkeo katika kipindi hiki kigumu anachopitia ni kielelezo tosha kwamba roho ya hasira na kisasi iko ndani yako na hujapona nayo japo unasema kwamba kila siku unaendelea na maisha kama kawaida huku unapiga kinywaji!

Roho hii ya hasira na kinyongo imeanza kujengeka siku nyingi, kwanza kutokana na mikwaruzano ya hapo awali mliyokuwa nayo na mkeo ambapo umeweka wazi kwamba anakudharau kwa sababu ya mali za wazazi wake. Pili kutokana na tukio tatizo lililomkuta mkeo ambapo uchungu wake hauelezeki, hakuna mwanaume mwenye ubavu wa kushuhudia mkewe live akifanya mapenzi na mwanaume mwingine sembuse kubakwa!

Ndio maana nimekushauri kwamba kabla ya kuamua chochote tulia chini kwanza na kutafakari. Muombe Mungu wako akuongoze katika maamuzi yoyote unayotaka kuyafanya, muombe Mungu wako akuponye na majeraha na machungu uliyo nayo kwa sababu unayo tena mengi sana! Mhudumie mkeo kwa kila hali katika kipindi hiki bila ya kumbagua kwa lolote lile na akishapona na kesi kuisha ndipo uchukue maamuzi unayotaka kuchukua! Kinyume na hapo utakuwa unachukua maamuzi kutokana na kinyongo na hasira na roho hiyo haitakuacha kamwe... Mark my words!

Narudia tena hukusoma vizuri
(1) hivi sasa anaugulia kwa nani? Kwangu

(2) siku alipopata matatizo nani alizunguka usiku kucha kumtafuta? Hadi kumkuta huko gueast alikokua? Mimi

(3) huduma zote anazopata tangu hospital hadi sasa nyumbani nani, washauri wanaokuja na kadhalika, msimamizi mkuu ni nani?

(4) kwa nn sikumuacha miaka minne yote aliyoanza kunisumbua nimuache sasa?

Ukipata maswali ya Haya majibu utanielewa,
Kwa kifupi ni kuwa hata naendelea kumuuguza mke wangu, na hata likizo nimechukua kwa ajili ya hili, sijasema nimesusia huduma, nimeeleza kwa main post na majibu yangu kwa waliotangulia kwamba nimejitoa kwenye kesi na sio kwenye huduma

Huenda umeshtushwa na neno kunywa bia, hili sio jambo la ajabu, tuna kunakunywa pombe hata tukiwa kwenye misiba, ina maana nitashinda ndani asubuhi hadi jioni?

Mchana nitakuwepo nyumbani jioni naenda Ku refresh narudi nalala kuna ubaya gani?

Reaction yangu juu ya hili jambo zima (hasira kama unavyoita) inaeleweka kwa familia ya mke wangu, wanaona ni haki kabisa kwa matendo ya ndugu yao, maana nimewaripotia siku nyingi wanasema ni haki niwe na huyo reaction
Ni mama mtu tu ndie ananitazama kwa jicho tofauti maana hataki kujutia makosa yake

Muathirika mwenyewe ndo usiseme kabisa, ananililia wakati wote ananiona kama nabii kwa utabiri wangu kuhusu njia zake zilizomfikisha hapo
Na ndipo nikalazimika kuchukua likizo
Haya yote nimeyasema huko nyuma

Narudia sina kinyongo, am not there for revenge, dunia ndo imemuadhibu na sio Mimi, masikitiko yangu ni kuwa jambo hili lingeweza kuzuilika

Kweli Nina hasira
Sijui ni nani asingekua na hasira katika hali hii

Nasubiri apone talaka ifuate, nilishapanga kum divorce long time ago kwa kushindwa tabia zake hili la kubakwa limetokea tu kutimiliza azma yangu

Nataka kuutoa huu mwiba ulio kwenye mguu wana unaonifanya nishindwe kutembea vizuri
 
Pole kwa maswahibu yako mkuu, lakini huyo ni mkeo, usingechoka kumuongoza pale ulipoona inafaa (kobe haelemewi na jumba lake ndugu). Sasa wewe utafikiri ulikaa mkao wa kusubiri...suuu....basi na wewe uamue utakavyo?

Unaweza kuonya mtu kila siku ya mungu? Asubuhi jioni? Monday to Friday? Kwa hivyo nyumba haitaisha magomnvi maana kila ukimshauri mtu mnagombana, so ulitaka tugombane daily kwa kumshauri

Kwa nn tunaangaika kumtafuta mchawi hapa? Na mchawi anajulikana ni yeye mwenyewe
 
Mkuu nevile pablo Pole sana kwa yaliokukuta. Ni bahati mbaya sana kwa kitu ambacho kingeweza kuzuilika kabisa. Bahati mbaya ndio hivyo limeshatokea kama wahenga walivyosema asiesikia la Mkuu huvunjika guu.

Naogopa sana kukushauri kitu sasa hivi kutokana na maumivu ya nafsi na kihisia ulionayo na unayoyapitia. Nikija kupata fursa mbeleni ya kukushauri, ningekuambia haya:

Lenga kusacrifice pride yako kwa kumpenda tena na kumheshimu tena huyu dada... Just do the impossible once are you are the winner forever.... Kama mwanadamu alidanganywa na mali zake na kiburi cha kijinga toka kwa mama yake na fedha alizo nazo. Na sasa yuo mahali ambapo fedha na mama yake haviwezi kumtoa hapo. Kifupi naona ni mtu anayejiheshimu kama ulivyomsema sema mali ina tabia ya kuleta PRIDE kwa watu wenye ujinga na ulimbukeni wa fedha. Yamemkuta, this is the only chance of your life time to show LOVE I tell you. Najua wengi watapita na hisia zao hapa za kukuambia umuache, lakini hatupaswi kuamua kwa hisia, UBINADAMU ulikuongoza kuishi naye hadi sasa, ukuongoze pia kumfikiria tena sasa, kumuach kwa kuwa alibakwa surely utamuua kwa uchungu na hata kujikataa.... there is no life after you. Lakini pia kwa upande wako utakua hujafanya kitendo cha kiutu maana si kwa hiari yake bali ni kwa kibui chake haya yamemkuta.. and I promise you atakuwa the BEST wife forever.

Ni ngumu kueleweka hapa kwa watu wengi.. ntakurudia baada ya Muda Mkuu tuzungumze mawili matatu... FAIDA ya kujitoa sadaka, Faida ya kumchukua mkeo sasa ni kubwa na itadumu kuliko kumuacha na kuoa au kutokuoa mwingine. You have one opportunity now. use it wisely with feelings and hatred aside. This risk is worthy taking my Brother because its rewards is beyond imagination. TIME WILL TELL.
Huu ni ushauri mzuri hata sie yalitukuta ingawa kabla ya kutukuta tulijiapiza kuwa nikimfumania mke wangu namwacha tu. Lakini baada ya kufikiria sana na hasira kupungua tuliendelea na maisha ingawa kidonda hakiponi. Huyu jamaa as time goes on atamsamehe. Ila akinamama kwa ubishi na kujifanya much know nowadays hasa baada ya kupata vyeo au visenti, only God knows
 
Unaweza kuonya mtu kila siku ya mungu? Asubuhi jioni? Monday to Friday? Kwa hivyo nyumba haitaisha magomnvi maana kila ukimshauri mtu mnagombana, so ulitaka tugombane daily kwa kumshauri

Kwa nn tunaangaika kumtafuta mchawi hapa? Na mchawi anajulikana ni yeye mwenyewe

Najua kabisa kuwa huu unaweza ukawa sio muda muafaka kwako kufikia uamuzi sahihi (whether wa kuacha au kuendelea naye), kwa sababu utakuwa katika lindi kubwa la ghadhabu. Tulia, jipe muda na utaweza kunyambua situation nzima kwa kuitazama kwa macho mawili.

Tunaenda kwenye nyumba za ibada, kila iitwapo leo, na tunayoambiwa almost ni yale yale...acheni dhambi, mrudieni Mungu wenu, msiseme uongo...and the like. Lakini je, tumewahi kusema kuwa siendi tena ibadani kwa kuwa nayakumbuka yote wanayosema? Jibu ni hapana, na tutaendelea kukumbushwa kila siku mpaka tunaingia kaburini.

Kuamua kuishi wawili si mtihani mdogo, kila mtu amekuja na makuzi na malezi yake (ambayo yamezaa tabia tofauti tofauti), tunafanyaje ili mwisho wa siku tuongee lugha moja? Ni pamoja na kila mmoja kuyachukulia mapungufu ya mwenzio, kukumbushana hapa na pale inapobidi na kadhalika. Labda nikuulize kitu kimoja, lisingetokea la kubakwa ulipanga umuache lini?

Kwenye couples, sijui Mwenyezi Mungu ana makusudi gani, mara nyingi utakuta mmoja ana tabia 'pole' kulinganisha na mwingine. Na tabia zote mbili zikiwa ni zile 'petroli', hiyo ndoa hata haina muda. Sasa kama wewe ulikuwa kwenye hii tabia 'pole', basi usichoke kuitumia kuiweka sawa (manageable level) hiyo ya mkeo. And stop counting kuwa ninaonya kila siku Monday to Friday...Hata kama anajifanya haambiliki, kuna mawili anayosikia. Haya leo limemkuta hili, ndio kufunzwa na ulimwengu sasa, unafikiri atakuwa yule wa jana?

Anyway bro, maamuzi unayo wewe mwenyewe, na bado tutaheshimu maamuzi yako, vyovyote yatakavyo kuwa. Kwa kuwa kiatu umevaa wewe, sisi wengine hata hatujui kinakubana na kukutoa sugu na malengelenge upande upi....
 
Akili yako haina tofauti na huyo mwanamke aliyebakwa nakuliwa t.i.go.! Nasema hivyo kwa sababu jamaa amejitahidi ku-narrate kila kitu na ukisoma kwa umakini mtu mwenye akili timamu anajua kwa 90% huyo mwanamke hakuwa na heshima kwa mume wake kulingana na matendo yake yote yaliyo bainishwa.

Sasa wewe eti unasema huyo mwanaume hana huruma...HIVI NYIE WANAWAKE MNA....AKILI KWELI??.....yaani mfanye ujinga na ujeuri wenu...muwadharau waume zenu..kisa hivyo vihela mlivyo jaliwa kuwa navyo...halafu baadae mwanaume anapokuja kushika msimamo mnaanza kulilia? Ohoo wanaume hawana huruma..sijui nini...pu.mba.vuuuu......kama mnajiona mna uwezo kwanini kila siku mnakimbilia kutafuta wanaume ili wawaoe?

Kwanini hizo hela...msiziambie...ziwaoe....na mjenge nazo familia?......tena wewe ujingalie sana....na hao wenzako akina kuruceeee sijui BADILI TABIA...nawengineo....watch out...hakuna kitu mwanaume anacho chukia kama dharau.....fanya mambo yote lakini mheshimu.....mwanaume atabaki kuwa mwanaume .......na mwanamke ataendelea kuvuliwa chupi kama mwanamke....!

Hao mawaziri....wanawake unaowaona...hao, wakuu wa mikoa, sijui wakurgenzi...hao wote wakifika nyumbani ni heshima kwa waume zao....hata angekuwa RAIS akifika kitandani lazima avue chupi...na heshima juuu kwa mume wake....

Nakushauri acha ushabiki wa kijinga....Jitambue kama mwanamkee na chukua nafasi yako....ndoa inaleta heshima kwa mwanamke...TAKECARE!

NB: Kuhusu watoto as a man atajua jinsi ya kuwalea....maana hakuna mwanaume anayeweza kuteseka for 20/30 yrs or rest of his life kuvumilia mateso ya mwanamke eti kisa watoto....pu.mba.vuuuuu....siku hizi boarding school kibao..shida iko wapi? SUBIRI....wewe zamu yako inakuja soon....Umenikera sana na kejeli zako wewe mtoto wa kike kwa wanaumee!

TATIZO LENU WANAWAKE WENGI NI WABINAFSI MNOOO....wengi mpo kwenye ndoa kimaslahi zaidi...sio kujenga familia...mkifanikiwa kidogo inakuwa shiiida na dharau nyiingi..keroo!

umeongea yote mkuu,well spoken...kiukweli hakuna kitu sipendi kama dharau kwa mwanamke.Afu likishatokea lakutokea ndo anaanza kujiliza anataka msamaha....wanawake wanapaswa kujua kuwa waume zao ndo viongozi wao na siku zote usimfiche mmeo kama una tatizo.Lakini wanawake siku hizi ndo wajuaji tena akishaona anaingiza pesa bas anaona yeye anaweza kusurvive bila mmewe
 
Dah poleh sana kaka,huu mtihani mzito sana,mke kweli ana makosa
 
Polee mkuu... Inauma sana ukizingatia ulikuta hana bikra na bado wahuni wamekukatili hata ya uani uliyoiacha kwa utu wameitoa nayo tena kinguvu. Hapo lazma uumie kisaikolojia tuu, cha kufanya akirudi normal ww muulize ana lipi la kkfanya ubaki ubavuni mwake. Akikosa hata neno la kukushawishi enenda kwa amani mana itakuwa ni dhahiri kwamba hakufai
 
Wewe ndio wasema hakukuwa na ndoa miaka 4...
Uliza mashehe, wachungaji na wanasheria ndoa ni nini...
Mna firigisana daily tena kwa hiari (hambakani) afu useme ndoa ilikuwa mfu????
Hii ndoa hiko alive and kicking...
Tatizo huu ubakaji uloingilia kati... na hasira za pesa ambazo zimekuwa zikimzonga jamaa..

Kuna jirani yetu mkewe alibakwa...walivamiwa na majambazi home...
lakini baadae iligundulika ni ugomvi wa mumewe kibiashara maana hawakuiba chochote...
Mtaa mzima unajua na mke hakudai talaka kwa mume alomponza...

Ila sishangai...comments zinawakilisha wanaume wengi katika ubora wao...UMIMI
Types ya The Boss ni wachache na kwa mwanamke mwenye bahati ya kuwapata aisee ashikilie vizuri maana ni every woman's dream

Haha.. Sina sababu za kuuliza maana ya ndoa, naijua vizuri. Hao uliowataja wanaweza kunisomea tu kwenye makabrasha yao, lakini ndoa zao nao zipo hoi au hazipo kabisa.

Kwa muktadha wako wa kulalana utasema ipo alive, lakini kwa muktadha wangu, hamna ndoa hapo. Hivyo visingizio vya pesa unavyom'bana jamaa ni hali mliyonayo wanawake wengi tu, the moment mkiwa na pesa mpo selfish sana...!
 
Najua kabisa kuwa huu unaweza ukawa sio muda muafaka kwako kufikia uamuzi sahihi (whether wa kuacha au kuendelea naye), kwa sababu utakuwa katika lindi kubwa la ghadhabu. Tulia, jipe muda na utaweza kunyambua situation nzima kwa kuitazama kwa macho mawili.

Tunaenda kwenye nyumba za ibada, kila iitwapo leo, na tunayoambiwa almost ni yale yale...acheni dhambi, mrudieni Mungu wenu, msiseme uongo...and the like. Lakini je, tumewahi kusema kuwa siendi tena ibadani kwa kuwa nayakumbuka yote wanayosema? Jibu ni hapana, na tutaendelea kukumbushwa kila siku mpaka tunaingia kaburini.

Kuamua kuishi wawili si mtihani mdogo, kila mtu amekuja na makuzi na malezi yake (ambayo yamezaa tabia tofauti tofauti), tunafanyaje ili mwisho wa siku tuongee lugha moja? Ni pamoja na kila mmoja kuyachukulia mapungufu ya mwenzio, kukumbushana hapa na pale inapobidi na kadhalika. Labda nikuulize kitu kimoja, lisingetokea la kubakwa ulipanga umuache lini?

Kwenye couples, sijui Mwenyezi Mungu ana makusudi gani, mara nyingi utakuta mmoja ana tabia 'pole' kulinganisha na mwingine. Na tabia zote mbili zikiwa ni zile 'petroli', hiyo ndoa hata haina muda. Sasa kama wewe ulikuwa kwenye hii tabia 'pole', basi usichoke kuitumia kuiweka sawa (manageable level) hiyo ya mkeo. And stop counting kuwa ninaonya kila siku Monday to Friday...Hata kama anajifanya haambiliki, kuna mawili anayosikia. Haya leo limemkuta hili, ndio kufunzwa na ulimwengu sasa, unafikiri atakuwa yule wa jana?

Anyway bro, maamuzi unayo wewe mwenyewe, na bado tutaheshimu maamuzi yako, vyovyote yatakavyo kuwa. Kwa kuwa kiatu umevaa wewe, sisi wengine hata hatujui kinakubana na kukutoa sugu na malengelenge upande upi....

Yote uliyoyaandika ni sahihi, nilikua nakanusha sentensi yako kuwa nilichoka kuonya
Sikuchoka, hadi siku ya tukio anaondoka asubuhi ya jumapili huku natoa risala kwa mke wangu na kumuonya
Nime spend the last 4 yrs nikionya na kukemea na kushauri hadi siku ya tukio

Point yangu ni kuwa msitafute mchawi, mchawi ni yeye mwenyewe ambae hakusikia maonyo
 
Huyu kachanganyikiwa, kani pm ujumbe
Tumuombee jamani
 
Kweli kaka maamuzu uliyochukua ni sahihi kabisa wanawake wasomi wanatabia ya disparage waume zao bora upate hata house wife hakueshimu kuliko et mnachuma wote na hakueshimu km,mwanaume! Japo sijahoa lkn maamuzi uliyoyachukua ni ya kishujaa kakangu.

Mkuu ukioa ndo utaelewa masuala ya ndoa ni nini.
Hao watu ni wanandoa wa muda mrefu na tayari wanawatoto watatu.
unaposema ni uamzi wa kishujaa inakuwa haipendezi vinginevyo mleta mada ajiandae na migogoro ya kifamilia maana tayari atakuwa na mke mwingine na unavyoelewa maisha ya mama wa kambo yalivyo.
Nimuombe tu mleta mada ajaribu kwanza kutulia kabla ya kufanya maamzi.
Wanawake ni wale wale na kila mtu anamapungufu yake kibao tu!
Mwenyezi mungu asaidie ndoa hii isivunjike.
watatue tu haya matatizo kwa hekima ya kimungu ili kupata suluhu nzuri.
 
Back
Top Bottom