Wamama naombeni mnijibu hili!

Wamama naombeni mnijibu hili!

Nampenda sana mama yangu lkn hua kwenye hoja hizi hapana aseee
 
mama ana nafasi kubwa sana kuliko baba, wanajua mambo mengi so kuna muda inabidi tutii maamuzi yao.
 
Hii imenikuta na mimi yaani alivyonipelekwa tu kwa mama yake na kunitambukisha yule mama alicheka kicheko flani hivi,toka hapo mpendwa wangu akanibadilikia kabisa,huwa sipati jibu alimweleza nini mwanae juu yangu.ila sijawahi kuona mtoto wa kiume kuwa karibu na mama yake kiasi kile na mwanaume mwenyewe kutwa kumsifia mama yake tu.
Mchumba wako ni mama's boy atakuwa hafanyi chochote bila kusikiliza mama anasemaje u should run away if you can
 
mama ana nafasi kubwa sana kuliko baba, wanajua mambo mengi so kuna muda inabidi tutii maamuzi yao.

Unajua mkuu ukisikiliza hoja zao mara nyingi utagundua wanataka mtu ambaye atakuwa submissive kwao. Wanataka mtu ambaye kila watakachoongea afuate. Kama aliwahi kusikia mkwe wa jirani yake alitofautiana na mama mkwe basi hata hilo kabila atalichukia ! Bahati mbaya hata watu wa kabila letu kuna maeneo hawakubaliani na wanawake wa huko.
 
All women are psychos..Google that

Juu ya hilo, haya pia ni matokeo ya mfumo dume, wazee wetu waliwapendelea zaidi watoto wa kiume kielimu zaidi ya watoto wa kike, sasa wamama wengi hasa waliozaliwa miaka ya 1960 s' na19 70 s' na ambao hawakupata elimu walao ya sekondari ama chuo wengi wao wana tabia hii.
 
Dah, ninakukosa pia wangu.... nipo mzima.. aiseeeeh nimekosa cha kuongeza! Mmh.. ila hahahaa!! ulivyo kiazi rafiki yangu sijui kwanini nina wasiwasi hukumsoma bimkubwa vizuri

teeeeh, hivi huyu jamaa kakusoma kweli? hahahaaa ati alivyo kiazi, kweli nimecheka, Chujio ulale salama..lols
 
Last edited by a moderator:
Rafiki wazazi wetu walio wengi wana desturi hizo kwasababu hata enzi zao wao wakiolewa kulikuwa na ile hulka kwamba watu wa kabila fulani si zuri kuoa n.k kwahio hio fikra bado wamebaki nayo.. mimi mama yangu mpaka leo hii ana tabia hizo na anataka anichagulie mume,nikimpa green light mbona atapiga vigelegele,wamama wana ile tabia ya kuwa overprotective kwamba wanajua yaliyobora kwa watoto wao aidha awe wa kike au wakiume!Na kama kawaida ya wanawake wote wanapenda kuongea mpaka dini zimesema; kwahio asipopata atakalo lazima atabwabwaja sana tu!

Well said gorgeous but don't unthing being overprotective unamfanya mtoto awe weak n in confident?
 
Hii imenikuta na mimi yaani alivyonipelekwa tu kwa mama yake na kunitambukisha yule mama alicheka kicheko flani hivi,toka hapo mpendwa wangu akanibadilikia kabisa,huwa sipati jibu alimweleza nini mwanae juu yangu.ila sijawahi kuona mtoto wa kiume kuwa karibu na mama yake kiasi kile na mwanaume mwenyewe kutwa kumsifia mama yake tu.

Umenifanya nifikirie mengi sana
Mungu anaisamehe tu
 
Well said gorgeous but don't unthing being overprotective unamfanya mtoto awe weak n in confident?

Ukimchunga sana mtoto anakuwa dhaifu na hajiamini sana,ili mtoto awe ngangali inabidi aachiwe afanye makosa ili ajifunze kitu kupitia kwenye makosa hayo ,na hali hio itampa kujiamini zaidi kwasababu anajua means of survival na kujitegemea bila kuwekewa vipingamizi na mtu!
 
Huyu wa kwetu wala hata hajaletwa home. Dogo mpaka anasema hatataka asikie habari za kuoa.

Dogo lako nae hajitambui
Anamuolea mama nn?
Vitu ingine achaga nionekane mkaidi ila sifanyi upuuzi huo sioi kumfurahisha MTU mm
SisemI mengi nisije nikakufuru bure
 
mama ana nafasi kubwa sana kuliko baba, wanajua mambo mengi so kuna muda inabidi tutii maamuzi yao.

Kuna maamuzi ya kukubaliana nayo ila hilo sio mojawapo
Kosea kila kitu ila sio kuoa au kuolewa
 
Dogo lako nae hajitambui
Anamuolea mama nn?
Vitu ingine achaga nionekane mkaidi ila sifanyi upuuzi huo sioi kumfurahisha MTU mm
SisemI mengi nisije nikakufuru bure

Mkuu the way walivyokuwa wanaongea walimkatisha tamaa kabisa.! Walikuwa hawataki hata kusikia habari hizo. Mwingine angesema kamlete basi tumuone.
 
Ukimchunga sana mtoto anakuwa dhaifu na hajiamini sana,ili mtoto awe ngangali inabidi aachiwe afanye makosa ili ajifunze kitu kupitia kwenye makosa hayo ,na hali hio itampa kujiamini zaidi kwasababu anajua means of survival na kujitegemea bila kuwekewa vipingamizi na mtu!

Then we r on the same page I guess
Being protective is gud but being overprotective that's shit ain't positive kabisa
Ts makes pipo hususan watoto being to weak hisisani in thinking capacity n uwezo Wa kufanya maamuzi muhimu na magumu
 
Mkuu the way walivyokuwa wanaongea walimkatisha tamaa kabisa.! Walikuwa hawataki hata kusikia habari hizo. Mwingine angesema kamlete basi tumuone.

Naomba kuuliza tu
Nani anamtagutia maisha yeye anajitafutia au mama yake ndo anamtafutia dogo lako?
What I mean is he has to be optimistic n more positive loving someone does not make y weak
That's weakness aisee
Naweza kuknekana mjinga aj mshamba au kjburi but unagaka kuniambia mama akisrma usioe (achana na kukuchagulia mchumba) hutakaa uoe sababu mama kasema?kama laana exists na kama mama yangu ana mpango huo naomba hyo laana inipate leo maana anajua kabisa sifugi upuuzo huu
 
Back
Top Bottom