kijana vipi?
Masef bimkubwa ameshaniwekea kipengele!
Ameniambia hanichagulii mke but ke yeyote nitakayempeka awe ana nywele za kutosha! teh teh teh!
Kweli kabisa. mi natamani kina mama wote tuwaombee watoto wetu awe wa kiume au wakike....wapate wenza watakao weza kuishi kwa amani ..upendo na masikilizano. Tuache tabia za kutoa hukumu kwa kigezo cha ukabila. Na kwa hali ilivyo sasa watoto wanakutana na wenza wao huko vyuoni kama si mashuleni. Tuwaombee na ni vizuri tuwashauri sio kuwaamulia au kuwapangia
Kijana vipi?
Masef bimkubwa ameshaniwekea kipengele!
Ameniambia hanichagulii mke but ke yeyote nitakayempeka awe ana nywele za kutosha! teh teh teh!
Wanaume kiasilia sio watu wakujali sana haswa vitu vidogo vidogo hivo kama wanawake!Wanawake ndio tulivyoumbwa vitu vidogo tunavikuza na kuvifanya big deal Na unayoyasema ni kweli wazazi wanatakiwa wawe washauri na si waaumzi kwasababu sio wao wataoishi na huyo mtu!Naweza kuongezea kitu pia lakini naomba usiwe offended:USHIRIKINA pia nadhani unahusika,na wamama wengi wanapenda ushirikina,akienda kwa kalumanzila akipigwa ramli anaambiwa huyo mwanamke hafai blah blah blah basi nae na imani yake potofu mtu anaamini;na kuwa na msimamo hasi kwamba hataki binti huyo awe memba wa familia!
Ahahahaa...samahani aliimaanisha nywele kama lugha ya picha au nywele kama nywele a.k.a. u-hair?!??
Hii imenikuta na mimi yaani alivyonipelekwa tu kwa mama yake na kunitambukisha yule mama alicheka kicheko flani hivi,toka hapo mpendwa wangu akanibadilikia kabisa,huwa sipati jibu alimweleza nini mwanae juu yangu.ila sijawahi kuona mtoto wa kiume kuwa karibu na mama yake kiasi kile na mwanaume mwenyewe kutwa kumsifia mama yake tu.
asante NAMPENDA MAMA SANA YUKO MBALI MUDA HUU
NAVYOJIBU HAPA NALIA
Hey! Nimekumisi Chujio!
Long time no see!
Uko poa?
:focus:
Bimkubwa anataka nywele kama nywele, ziwe ndefu na zijae kichwani kwa mkwewe! Hapendagi kabisa mambo ya mawigi!
Dah, ninakukosa pia wangu.... nipo mzima.. aiseeeeh nimekosa cha kuongeza! Mmh.. ila hahahaa!! ulivyo kiazi rafiki yangu sijui kwanini nina wasiwasi hukumsoma bimkubwa vizuri
asante NAMPENDA MAMA SANA YUKO MBALI MUDA HUU
NAVYOJIBU HAPA NALIA
Hehehe leo raha kumbe ukimpenda mtu unalia
mie mzma dia hofu kwako vp unaendeleaje?acha tu mama
mzima wewew
Pole sana umekutana na mtoto wa mama,kwahiyo ndo yameisha kimasihara hivyoHii imenikuta na mimi yaani alivyonipelekwa tu kwa mama yake na kunitambukisha yule mama alicheka kicheko flani hivi,toka hapo mpendwa wangu akanibadilikia kabisa,huwa sipati jibu alimweleza nini mwanae juu yangu.ila sijawahi kuona mtoto wa kiume kuwa karibu na mama yake kiasi kile na mwanaume mwenyewe kutwa kumsifia mama yake tu.
Inategemea "nzazi na nzazi"
mie mzma dia hofu kwako vp unaendeleaje?