Mfalme Daudi
Senior Member
- Dec 23, 2011
- 110
- 245
Yeye ni muislamu na mimi ni mkristo anaishi Dar mimi niko Arusha Iia kwa sasa anasoma chuo kikuu cha Dodoma (UDOM).
Na hii ni historia yetu;
Tulianza mahusiano miaka mitatu na nusu iliyopita! Kipindi hicho yuko advance level shule moja arusha. Tulionana kwa mara ya kwanza, nakumbuka walikuwa kwenye zaira za kimasomo kutembelea ofisi yetu. Nilimwona nikavutiwa nae.
Tulibadilishana mawasiliano na baada ya mda tukaanza mahusiano. I'm happy nilimkuta mtoto yuko silled (bikra) na nilifanikiwa kukata utepe mwenyewe. Sikuamini kama mpaka muda ule binti amefika mpaka advance level amejitunza na yuko na usichana wake. Nikajikuta nampenda zaidi. Wakati huo wazazi wake wote walikuwa hai.
Though mahusiano yetu yamepitia vikwazo vingi mpaka kuna wakati ilibidi tutengane kila mtu akawa na maisha yake kama miezi kadhaa, nakumbuka ilikuwa ni kabla ya kifo cha baba yake mwaka 2015. Baada ya mda kila mtu kuwa na maisha yake. Cha kushangaza hamna hata mmoja yeyote kati yetu aliyekuwa happy for this. It didn't work out na tuliona kabisa hatuwezi ishi apart, tukaanza mahusiano tena ingawa muda huu kila mtu alikuwa na mahusiano mengine. Ila tukamua kuwa na yale mahusiano ya friend for benefit.
Ila kila mtu aliheshimu na kukubali situation kuhusu mahusiano ya mwenzake. Lakini cha ajabu, we were so happy tukiwa pamoja na kila mtu alipenda na kukumbuka company ya mwenzake wakati tukiwa mbali. Alimaliza kidato cha sita nakumbuka wakati huo kabla ya matokeo kutoka kama ilivyo kawaida wakati wakusubiri matokeo ya chuo alichaguliwa kujiunga na mafunzo ya jeshi kwa mujibu, JKT Bulombola Kigoma. Akaniomba nimpe company ya kwenda Kigoma sababu kwanza ilikuwa mara yake ya kwanza na aliogopa kwenda alone.
Alafu pili huwa hajisikii vizuri especially akiwa safarini so at least alitaka mtu wa kumjali safarini ikizingatiwa umbali wa safari toka Dar hadi Kigoma. Uzuri nilikuwa na safari ya Dar kipindi hicho na nilikuwa na mama yangu mzazi na mtoto wa sister nilikuwa nawapeleka Dar kwa Uncle, so nikakubali na tutakubaliana baada ya kuwafikisha kwa uncle mama na mtoto wa sister then next day tungekutana kupanga safari.
Nakumbuka ilikuwa Jumanne, nikakutana nae Jumatano tukapanga kuondoka Alhamisi. Tukaenda kukata tickets ubungo though tulikosa mabasi mazuri sababu ya wingi wa wanafunzi waliokuwa wanaenda makambi ya jeshi Kigoma wakati huo. Ikabidi tuchukue basi la daraja la kawaida lililokuwa linaenda Kigoma kupitia Kahama badala ya Tabora, wanaojua hizi route watakuwa wamenielewa.
Tukaanza safari siku ya Alhamisi, tukalala kahama stand, Ijumaa asubuhi tukaanza safari ya Kigoma kupitia Nyakananzi, Kakonko, Kibondo, Kasulu hatimae tukawasili Kigoma mjini Ijumaa mchana kama saa 8. Tukatafuta sehemu ya kufikia sababu ya uchovu wa safari ikabidi tupumzike kwanza kwa siku hiyo then next day tungeshughulikia swala la kwenda kambini.
Ikafika Jumamosi tukaanza zunguka town kufanya little shopping na ya vitu muhimu kambini na kumpeleka saloon kunyoa. Jioni ikafika tukakodisha noah pale Kigoma mjini stand ikatupeleka mpaka jeshini Bulombola tukafika jioni ya saa 1. Nakumbuka nilikuwa wanafunzi wengine wanafanyiwa registration tukaagana nikamwacha. Mimi nikarudi Kigoma mjini nikakata tikect ya basi la Saratoga kurudi dar next day Jumapili.
Nikarudi Dar kwa ajili ya mama then Arusha. Nikawa naenda mtembelea Kigoma almost kila mwezi though hatukuwa na mda sana coz walikuwa wanaachiwa weekend tu tena mchana jioni wanarudi kambini. Lakini sikujali, nilimpenda sana na nilikuwa tayari kusafiri even 1000miles kwa ajili ya kuwa nae tu hata masaa mawili yalinitosha. Matokeo yakatoka akawa amefaulu vizuri nikamsaidia kufanya application zote za chuo zikawa succesed.
Walipomaliza mafunzo nikaenda kwenye graduation yao ya jeshi then nikamchukua tukarudi Kigoma mjini kwa ajili ya mipango ya kurudi Dar. Tukaamua kurudi kwa train.Tukawa tumekosa 1st class ikabidi tukae mchanganyikeni! Ilikuwa safari ya siku 3, ila safari ilikuwa ndefu na ngumu kinyume cha matarajio yetu, kiasi kwamba tukaamua tukifika Dodoma tushuke tuchukue basi. Tukafika Dodoma saa 8 usiku tukaona hatuwezi fanya lolote mda huo! Tukaamua tufanye Morogoro. Tukafika Morogoro saa 4 asubuhi tukashuka na kupanda coaster to Dar.
Nikahakikisha kafika nyumbani safe though hata wazazi wake hawakuwa wanajua any story. Nikarudi Arusha. Baada ya miezi kadhaa baba yake akafariki. Though sikufanikiwa kwenda kwenye msiba ila nilihakikisha nakua faraja kwake. Wakazika maisha yakaendelea. Maandalizi ya chuo yakaanza. Akaanza masomo chuo kikuu Dodoma.
Akiwa amemalizia mwaka wa kwanza kuingia wa pili, kwenye likizo mama yake akafariki pia baada ya kuumwa kwa mda. Nikafanikiwa kwenda kwenye msiba nikakaa wiki nzima Dar kwa ajili ya msiba. Nikajiona kabisa though ana ndugu zake I'm the only one ambaye ni kila kitu kwake kwa sasa. Katika kipindi hiki tulianza mahusiano yetu rasmi sababu mimi mahusiano niliyokuwa nayo yalishavunjika na hata kwake pia. Nakumbuka ilikuwa mwezi wa 9 mwishoni mwaka jana, nikarudi Arusha.
Mwezi wa 11 nikawa niko Dar nikarudi nae mpaka chuo Dodoma nikamwacha mi nikarudi Arusha. Nilijua mimi ndio faraja yake pekee iliyobaki, na mwezi wa 12 nikaenda kumchukua Dodoma tukapanda adventure ya wiki 2 ya zile sikukuu tukaenda Mbeya. Tukakaa 2weeks siku 4 baada ya boxing day ya christmas tukarudi Dodoma nikamwacha chuo nikarudi Arusha.
Mawasiliano yetu yalikuwa best kwani ilikuwa haipiti siku bila kujuliana hali na kuongea especially asubuh na usiku. Nikawa naenda kumwona Dodoma kila baada ya mwezi au miezi miwili na kwa mda huu mahusiano yetu yalikuwa serious sababu kuanzia wazazi na ndugu zangu wengi walikuwa wanamjua.
Na baadhi ya ndugu zake akiwemo mama mdogo alieachiwa kumsimamia kama mama na baadhi ya dada zake.Tukawa na mipango ya kuoana baada ya yeye kumaliza chuo. Sio kila tunalopanga sisi kama binadamu huwa linaenda sawa. Mwezi wa 3 alikuja arusha kwa ajili ya ile likizo fupi.
Kufika huku akawa amekutana na wazazi wangu rasmi na akaamua kubadili dini rasmi na kuwa christian. Nikafurahi na wazazi wangu pia wakampa zawadi ikiwemo Bible. Kwenye kipindi hicho kifupi cha kukaa nae akawa amepata ujauzito. Tukaamua let's have a baby.
Tukawaambia wazazi na mama mdogo ake kinachoendelea, na msimamo wetu wakawa hawana pingamizi. Akarudi Dodoma kumalizia mwaka wa pili wa chuo na ku postpone mwaka wa mwisho ili apate mda wa kumlea mtoto mwaka mmoja! Baada ya kumaliza chuo na ku postpone akawa amerudi Dar juzi.
Baada ya kufika kulikuwa na kasherehe fulani cha familia ambacho kilimfanya pia akaenda though kikubwa ilikuwa kuzungumzia suala letu kwa uncle yake mkubwa ili ampe go ahead ya sisi kwenda kutoa posa rasmi kwa ajili ya kumuoa! Cha ajabu jana usiku tukasiliana akaniambia familia baada ya shughuli ile nyingine ilikaaa kikao kuhusu yeye, hali yake na hili jambo letu.
Wakasema it's okay kwa ujauzito wake, ila imekataa kunitambua sababu mimi ni mkristo. Nikitaka iwe sawa nibadili dini ndio watanitambua na kuniruhusu kumuoa binti yao. Akaniambia uncle wake mkubwa ambae ndio msimamizi wake kwa sasa ndio kagongelea msumari. Nikamuuliza kuhusu msimamo wake yeye kama yeye, ananiambia yuko njia panda pia.
Ila kumdadisi kiundani sana it seems kaamua kuwaridhisha ndugu zake.Point yake kubwa anaogopa kutengwa na ndugu zake asijekosa pa kufikia kwa ajili yangu. Anasema kama niko tayari kubadili dini na kuwa islam it's okay, ila kama sitaki pia ni sawa nisijali kuhusu mtoto tutazaa tu na yuko tayari kuwa mzazi Mwanza ila sio kuwaudhi ndugu zake kwenye hili. Nilikuwa nategemea msimamo na anaonekana bado ananipenda ila it seems ndugu zake wamemjaza na amepata woga. Mimi pia kubadili dini haiwezekani.
Mpaka sasa niko njia panda sijui la kusema wala la kufanya..
Naombeni ushauri nifanye nini.