Chanaiti
JF-Expert Member
- Feb 7, 2014
- 208
- 93
Unafkiri hawawajuagi watoto wao wanajua kabisa huyu nampeleka ninavyotaka na huyu hapana siwezi hata kujaribu kwahiyo anakua mpolee.Sasa kakako neo walee kwamba siwezi pingana na mama. Asikwambie mtu dunia ya leo kichwa ni serikali yako vinginevyo utayumba sana.Wazazi wakati mwingine hutoa maoni kwa kuangalia emotions zao. Lakini wamewahi kuzifikiria prons na cons?Sasa mtoto wako akioa kila siku na kuacha unafurahia kweli? Hawa wajukuu zako unawatakia bright future ahead au ?Mbaya zaidi wataumia wajukuu wakati we ushajizeekea sa ingine ushazikwa.Mimi bro wangu kaoa wakwanza ikawa shida kwa mama walipotengana maza akafurahi. Bro akaoa mwingine maza siku mbili kashamchukia tena huyu anamtaka yulee wa zamani mpaka akamtoa hukooo akamleta home eti anakuja msalimia mwanae ili tu amvuruge bro! Mimi nikamtimua. Na mimi kwa kuwa najua tabia zake hajawahi hata kuniona ama kunisikia na mchumba anasema niangalie umri unaenda... ila ananiogopa pande hizo sijui kwanini anamwonea bro hivi!?