Wamama naombeni mnijibu hili!

Wamama naombeni mnijibu hili!

Mchumba wako ni mama's boy atakuwa hafanyi chochote bila kusikiliza mama anasemaje u should run away if you can

kweli kabisa mama's boy kwani anafanya kazi lakinh anakaa kwa mama yake,anapikiwa,anachemshiwa maji ya kuoga mkika nae sehemu kutwa kuchaty na mama yake kwakweli tabia ilikuwa inakera ila sikuwahi kumwambia,kwasasa nilishakaa kando nae.wacha aendelee na mama yake.
 
yepi hayo gwijimimi??ndo ufungukage sasa!!!

Hata sijui nisemaje mpenz ila seriously hata kama mamayake ni that doti komu(hope imenielewa about dot com) but seriously anaweza kuchat nae au zaidi ya mpenz wake?wanachat nn hasa?(msinielewe vibaya sisemi hatupaswi kuchat na nana zetu au hatuchat nai) au ndo walewale?
Hapana sikubaliani na mazingira anayojenga huyo jamaaa is more than just being a babyboy no offence
Usikute hata ukimuomba game mpaka amuombe mama yake ndo aje kupiga game kwako usikute Maza ndo anamfundisha how to go down nn kua uvinza boy ila dah nawaza upumbavu mpaka nahisi mungu atanilaani sio muda mref maana nahisi unajielewa halaf ukute ulikua ready unajitoa kwa mshkaj to make him happy dah yaan acha niishie hapa nisije kufuru bure
 
Sawa nimekuelewa my dia, wewe unataka mama akubali kuonana na msichana then kwanini usikae ukaongea na mama!Mueleze kwamba anavyofanya si vyema kumchukia mtu asomfahamu,ampe nafasi huyo binti kwanza kabla hajamuweka kwenye black list!
Unajua mtu ukishamuweka kwenye black list kabla hujamuona hata ukionana naye utakuwa unatafuta makosa ili kumkosoa. Hii itampa wakati mgumu sana binti.
 
Mmenikumbusha siku nimemwmbia mamangu mkubwa nimepata mchumba ni mtu wa musoma, aling'akaje ananiambia unaenda kuolewa na watu wana bendera yao.Nkikumbuka huwa nacheka sana.
 
Mmenikumbusha siku nimemwmbia mamangu mkubwa nimepata mchumba ni mtu wa musoma, aling'akaje ananiambia unaenda kuolewa na watu wana bendera yao.Nkikumbuka huwa nacheka sana.
...walikuruhusu kuolewa nae??
 
At least they had their choices
Kwani ndoa gani in a guarantee kwamba mambo hayawez kubadilika?
The worst case scenario is kuchaguliwa kisa udini au kabila will bring more drama n eat u alive trust me
simaanishi kwamba ninawaunga mkono wanaowachagulia watoto wao lakini pia mawazo yao siyo ya kupuuza. Amini usiamini japo ndoa ni maamuzi ya wawili ila jamii inayotuzunguka inanafasi kubwa ya kuongoza ama furaha yenu ama huzuni yenu.
 
Ni kweli mkuu but trust me kosea kila kitu sio kuoa au kuolewa u ruin the whole life the whole career
 
Unajua mtu ukishamuweka kwenye black list kabla hujamuona hata ukionana naye utakuwa unatafuta makosa ili kumkosoa. Hii itampa wakati mgumu sana binti.
Kwa kweli hili tu ndio tatizo langu. Ukishakua na mtazamo hasi kuhusu jambo flani. Hata likitokea tatizo ambalo ni la kawaida utalijengea hoja kwasababu ya picha ambayo unayo akilini mwako n that's unfair. Hebu vaa viatu vya mhusika we ungependa kufanyiwa hivyoo?
 
Nafikiria ulitakiwa kwenda far.more than that mpenz
She already has her own agenda so what if akakubali kumuona na itokee asimpnde?
We will still use the same akili used to create the problem I think she has to be thought kwamba u had a chance kumchagua baba over wanaume wengine this is mine we we unatambulishwa tu nothing else
Mkuu haya maneno yamenikumbusha my bro alimuonyesha mchumba wake mdingi wetu. Mdingi akawa negative sana juu ya yule mdada mpaka mzee akanifuata na kuniambia kuwa yule dada hafai , mimi nilikua upande wa bro kwa hiyo nikamwambia baba ngoja nizungumze na bro kwanza . Nilimuuliza kaka yangu maswali ya msingi kuhusiana na yule mdada , maskini ya mungu kaka hakunielewa alijibu kisela , nilirudia mara nyingi kumuuliza kama anamjua mchumba wake kwa kina , akanidanganya hapo na kunipotezea. Basi nilimrudishia jibu mzee wetu kuwa maadam muoaji anasema binti anamfaa basi tumuachie aoe. Mkuu ile ndoa ina migogoro mpaka leo , yaani binti ni mshirikiana na kicheche tena anafanya laivu. So tusipuuze kila wakati wazai wanapokua negative na si kila wakati wawapo negative ni sahihi pia.
 
wtt wengi wa kiume upendo wao mkubwa upo kwa mama
kwa hiyo mama akikohoa mtt anaitika tawire,ni chuki binafsi
tu hizo za baadhi ya wamama,ila wanaume muwe na msimamo!!
 
Mkuu haya maneno yamenikumbusha my bro alimuonyesha mchumba wake mdingi wetu. Mdingi akawa negative sana juu ya yule mdada mpaka mzee akanifuata na kuniambia kuwa yule dada hafai , mimi nilikua upande wa bro kwa hiyo nikamwambia baba ngoja nizungumze na bro kwanza . Nilimuuliza kaka yangu maswali ya msingi kuhusiana na yule mdada , maskini ya mungu kaka hakunielewa alijibu kisela , nilirudia mara nyingi kumuuliza kama anamjua mchumba wake kwa kina , akanidanganya hapo na kunipotezea. Basi nilimrudishia jibu mzee wetu kuwa maadam muoaji anasema binti anamfaa basi tumuachie aoe. Mkuu ile ndoa ina migogoro mpaka leo , yaani binti ni mshirikiana na kicheche tena anafanya laivu. So tusipuuze kila wakati wazai wanapokua negative na si kila wakati wawapo negative ni sahihi pia.
Kuna wakati mtu anakutana na muhusika na kumsoma tabia zake na kujiridhisha. Ila kuna tabia ya mtu kujenga negative atitude kwa sababu ya eneo/mahali anakotoka mchumba wa huyo kijana wao. Kitakachofanyika ni kuunganisha tu matukio ya nyuma ili kuongezea point yake.
 
Hii imenikuta na mimi yaani alivyonipelekwa tu kwa mama yake na kunitambukisha yule mama alicheka kicheko flani hivi,toka hapo mpendwa wangu akanibadilikia kabisa,huwa sipati jibu alimweleza nini mwanae juu yangu.ila sijawahi kuona mtoto wa kiume kuwa karibu na mama yake kiasi kile na mwanaume mwenyewe kutwa kumsifia mama yake tu.

Heheheheh huyo ni mama's boy

Kimbia

Hata kukuoa uroda itakua mpaka adiscuss na mama yake
 
Mkuu haya maneno yamenikumbusha my bro alimuonyesha mchumba wake mdingi wetu. Mdingi akawa negative sana juu ya yule mdada mpaka mzee akanifuata na kuniambia kuwa yule dada hafai , mimi nilikua upande wa bro kwa hiyo nikamwambia baba ngoja nizungumze na bro kwanza . Nilimuuliza kaka yangu maswali ya msingi kuhusiana na yule mdada , maskini ya mungu kaka hakunielewa alijibu kisela , nilirudia mara nyingi kumuuliza kama anamjua mchumba wake kwa kina , akanidanganya hapo na kunipotezea. Basi nilimrudishia jibu mzee wetu kuwa maadam muoaji anasema binti anamfaa basi tumuachie aoe. Mkuu ile ndoa ina migogoro mpaka leo , yaani binti ni mshirikiana na kicheche tena anafanya laivu. So tusipuuze kila wakati wazai wanapokua negative na si kila wakati wawapo negative ni sahihi pia.

always mchuma janga hula na wakwao(they say)
mi sisemi tunapaswa kupuuzia ila siungi mkono kuchaguliwa mchumba,mke wala marafiki lakini pia napaswa kukubaliana na ukweli both ways
 
Mh!Mtihani huyo mama anataka anayemtaka yy ndo aolewe cku hz kuna ndoa wawaache wakiachana c ndo vizur kwn kuonja ladha vby!
 
always mchuma janga hula na wakwao(they say)
mi sisemi tunapaswa kupuuzia ila siungi mkono kuchaguliwa mchumba,mke wala marafiki lakini pia napaswa kukubaliana na ukweli both ways
Unajua kuchaguliwa mchumba hata mimi siafiki kwani huko mbele utaja laumu ndugu bure kwamba isingekua baba/mama mtu huyu nisingekua nae. Jambo la muhimu ni kuangalia mambo ya msingi wakati unatafuta mchumba si unajua si kila king'aacho ni dhahabu .
 
Mimi bro wangu kaoa wakwanza ikawa shida kwa mama walipotengana maza akafurahi. Bro akaoa mwingine maza siku mbili kashamchukia tena huyu anamtaka yulee wa zamani mpaka akamtoa hukooo akamleta home eti anakuja msalimia mwanae ili tu amvuruge bro! Mimi nikamtimua. Na mimi kwa kuwa najua tabia zake hajawahi hata kuniona ama kunisikia na mchumba anasema niangalie umri unaenda... ila ananiogopa pande hizo sijui kwanini anamwonea bro hivi!?
 
Back
Top Bottom