Wamachinga wa Msimbazi Kariakoo wanatandika bidhaa chini kwenye njia ya waenda kwa miguu

Wamerudi upya, sehemu zote sasa ukipita ni kama zamani tu.

Ajabu sana unaanzisha kitu, unashindwa kukisimamia..na huu ndio udhaifu wetu mkubwa, vitu vingi tunaanzisha, majengo, barabara, masoko, mahospitali...lakini hatuwezi kutunza!!!
 
machinga.jpg
 
Acheni roho mbaya hao wafanyabiashara wa maduka makubwa ndo wanawaita wamachinga wenyewe kwani wakigoma kuwapa mizigo watauza hao machinga?!!

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Wamerudi upya, sehemu zote sasa ukipita ni kama zamani tu.

Ajabu sana unaanzisha kitu, unashindwa kukisimamia..na huu ndio udhaifu wetu mkubwa, vitu vingi tunaanzisha, majengo, barabara, masoko, mahospitali...lakini hatuwezi kutunza!!!
Kweli kabisa tena kwa sasa wanapanga bidhaa zao chini kabisa.Bora wangewacha na mabanda yao tuu.
 
Back
Top Bottom