nyundo2017
JF-Expert Member
- Sep 7, 2017
- 1,439
- 858
Katiba mpya ndiyo itadeal na machinga au umekalilishwa?bila KATIBA MPYAA maji ya kisoda kujaza BAHARI
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katiba mpya ndiyo itadeal na machinga au umekalilishwa?bila KATIBA MPYAA maji ya kisoda kujaza BAHARI
sidhani Kama wanapenda.Nimeshangaa Leo kuwakuta mbagara kibao tu
Ilikuwa ni kiki za kisiasa tu, hamna kitu mule, hii kazi aliiwezaga Lowassa tu, alitoa miezi 6 wamachinga waondoke, siku ya siku ilivyofika , Kariakoo yote ilikuwa nyeupeMakala yupo kimya sijui kimempata nn..machinga waliondoka wanarudi..wale aliokuwa anasema wanauza mizigo ya jumla kwenye meza bado wapo kariakoo.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Wamerudi upya, sehemu zote sasa ukipita ni kama zamani tu.
Ajabu sana unaanzisha kitu, unashindwa kukisimamia..na huu ndio udhaifu wetu mkubwa, vitu vingi tunaanzisha, majengo, barabara, masoko, mahospitali...lakini hatuwezi kutunza!!!
Sheria zipo mzee suala ni utekelezaji tu, mgambo wazuke na kuwasomba Mahakama ya Jiji ndio inahusika na makosa kama hayo.MANISPAA ziwatungie sheria ndogondogo.......paapuu.....fasta mahakamani...faini au 1 month segerea......kipindi cha kuandaa mashamba nguvu kazi inahitajika.... watatulia tuu...ila hii kuropoka kwenye media, then viyoyozi ofcn,,,,,hakika hawatawaweza......maeneo waliyotengewa yako wapiiiiii???
Ndio Tanzania yetu hiyo.Mhh nguvu zote zilizotumika ni bure!!!Sio kuambiwa, Jana nilipita mwenyewe, machinga kama Kawa.
Hahahaa... chief hangaya anasemaje?Issue ya machinga haisoviki..ndugu.
BRO NDIO VIONGOZI WETU HAO....MPANGO KAZI ULIKUWA MZURI SANA....ILA KUUSIMAMIA SIJUI WANASHINDWA WAPI....YAANI KARIAKOO NI KAMA HAWAKUONDOLEWASheria zipo mzee suala ni utekelezaji tu, mgambo wazuke na kuwasomba Mahakama ya Jiji ndio inahusika na makosa kama hayo.
Mie ningekuwa Makalla ningehakikisha mkurugenzi wa manispaa anafukuzwa hii ni dharau.
Dawa ya kukomesha umachinga wa hivi ni kukamata wanaonunua bidhaa zaoKwamba fujo zooote zile, halafu hakuna kilichobadilika, utaahira wa wapi huu? Mtu unashindwaje kusimamia ulichokianzisha?