Huyo siyo mlokole, mbona hamsemi kuwa ni "mlokole feki"? Walokole feki wamevaa ngozi ya kondoo kumbe ndani ni mbwamwitu, wamo wengi ndani ya kanisa. Kama mnawasema hao, ninakubaliana nanyi kwa 100% but it seems you are generalizing all in the same consignment.Wanipige msumari wa Neno li Mungu, labda mbele za watu ila lazma anizungukie kunitongoza..... Hao ndo walokole
Mbona husemi "mlokole feki"?Nagegeda mlokole mmoja hapa kazini
Huwa ni unafiki tu, mbona kwenye mikutano ya Mwakasege ambaye ni Mluteri wanajazana utadhani mikutano wameandaa wao?!Kuna ka ukweli hapo. Wengi ujioni wakamilifu kuliko wengine, huwadharau wasio sali kwenye makanisa yao, kama wewe sio mlokole uwezi oa au kuolewa na wakwao.....kama itatokea basi nadra sana tena kwa shinikizo....na kweli kwenye maubiri yao kina Lutheran, na katoliki watakoma
Hapo kwenye red fafanua...Waloloke, wakatoliki karismatiki, waislam sala 5 na wasabato ni watu wabaya sana. Zaidi ya unavofikiria. Ni wachoyo na wana roho na chuki za kichoyo. Nakuambia kutoka kwa experience.
Hawa watu wa dini dini ni watu wabaya sana.
Bora sisi tusio na dini lakini tunaishi ktk misingi ya "RIGHT na WRONG"
Bass sawaKama vile uislamu na kuabudu majini! Kufuga majini na chuma ulete
mi nkajua akakupa game ili kukuziba mdomo,vipi alikuwa na chura?🙂🙂🙂Nina mama yang mdogo ni mlokole enzi ya utoto (16yrs) niliwahi kumkuta kwenye mabanda ya uwani yupo na lijamaa linamgegeda,akaniwahi kunishtaki kwa mjomba kuwa nilikuwa namchungulia chooni aisee nilikula bakora za maana lakini sikusema ukweli kama nilimkuta anagegedwa Ili kumlindia heshima,nikakubali kosa la uongo la kumchungulia chooni,hadi leo nikimuona roho inaniuma sana.
Tatizo Kubwa Lililopo Katika Dini Hizi Ni Kutaka Kumwelewa Mungu Kwa Mitazamo Ya Dini Husika. Hata Huu Mgawanyiko Wa Madhehebu Ni Muendelezo Uleule Tu Wa Kuhisi Kuwa Dhehebu "A" Halielezi Vizuri Kuhusu Mungu, Tuanzishe Dhehebu "B" Ili Tumwelezee Vizuri Zaidi.Dini zote upumbavu tuu...totally nonsenses...sema hao wamezidi aisee
Nuru na giza hav iwezi kutembea pamojaUmeongea kweli kabisa, hakuna wanafiki Kama walokole, Mimi Siku hizi siongei nao.
Sijawahi kuona mlokole ana roho nzuri, na sio mlokole tu wafia dini wa dini zote ni watu wa ovyoHuyo siyo mlokole, mbona hamsemi kuwa ni "mlokole feki"? Walokole feki wamevaa ngozi ya kondoo kumbe ndani ni mbwamwitu, wamo wengi ndani ya kanisa. Kama mnawasema hao, ninakubaliana nanyi kwa 100% but it seems you are generalizing all in the same consignment.
Ukweli unabaki pale pale, walokole wa kweli (the faithful ones before the Lord's eyes) wapo BUT are very few!
Basi nakupa pole, hiyo ni abnormal coincidence! Kwa uzoefu nilionao, watu wenye majini ndio wana allergy na walokole (I don't mean walokole feki)! Majini yao huwa yanapata shida sana.Sijawahi kuona mlokole ana roho nzuri, na sio mlokole tu wafia dini wa dini zote ni watu wa ovyo
Hiyo tafsiri inapatikana hata kwa yesu mwenyewe ningekuwa na muda ningekuonyesha uongo wa makanisa ya Leo mfano fungu la 10 soma sawasawa biblia kuusu fungi la 10 na hekaru utagundua utapeli unaoendelea makanisaniHiyo tafsiri umeinukuu wapi? Na vipi kuhusu ambao si walikole, unawa-define vipi?
Vv
Mbona hipo kwenye biblia mkuu tafsiri yake ni "chukizo la uaribifu lililo simama patakatifu"Ahahaa mwenye tafsiri sahih nin maana ya kuokoka?
Kama ni hivyo mbona akuna neno mlokole au ulokole kwenye biblia acha wehu wewe yesu alikuja ili watu wawe watakatifu siyo walokole nyinyi ndo mnawaita watu wawe walokole mbona uelewi wewe boya utaelewaje wakati ni mlokole = unafiki + usukuleKuokoka ni kumkiri Yesu kuwa ni Bwana na Mwokozi wako . Baada ya tendo hilo unaacha kabisa mambo yote mabaya na unahesabiwa haki bure, unazaliwa upya kwa jinsi ya roho na kuishi kwa kumtegemea Mungu kwa 100%.
Sasa hujaelewa ni nini..?Hapo kwenye red fafanua...