Yani humu jf kila mtu anajifanyaga sijui hafatilii jambo fulani mara hagombani na fake id, mkute sasa vichochoroni hapepesi jicho kutukanana na waja, hapo unajifanya hufuatilii kumbe unafiatilia mpaka umeuliza, kumbe deep down naye walewale watz kwa kujisafisha hatujambo🤣Sio kwamba sijui mbinu n bc tuu kuna mambo sijayapa umuhimu kwangu 😎
Niache we Matako wazi 😂
Kuna id zangu ya kupigiana kelele na watu, moja wapo n ile niliyokupelekea moto kipindi kile tukapigwa ban 😎Yani humu jf kila mtu anajifanyaga sijui hafatilii jambo fulani mara hagombani na fake id, mkute sasa vichochoroni hapeppesi jicho kujibizana na waja, hapo unajifanya hufuatilii kumbe unafiatilia mpaka umeuliza, kumbe deep down naye walewale watz kwa kujisafisha hatujambo🤣
Kazi unayo fala ww 😂Niache we Matako wazi 😂
Na sasa hivi umepigwa ban kweli kibarua unacho! Na bado ulivyo huna aibu unajikosha huna muda wa kujibizana na id fake😂Kuna id zangu ya kupigiana kelele na watu, moja wapo n ile niliyokupelekea moto kipindi kile tukapigwa ban 😎
Sina muda wa kuchukia id fake😂Kazi unayo fala ww 😂
Labla ukanyage miba 😂Usiniharibie ibada naandaa somo nikanyage madhabahu😎
Safi, bc nakupenda nataka nikulombe 😎Mimi naamini kila unachoandika🤣
Takataka 🚮Safi, bc nakupenda nataka nikulombe 😎
Kwahy h huamini? 😂Takataka 🚮
Ile ya mjomba wako anayejiliza ka nyau naamini, ila hii hapanaa🤸🏽♂️Kwahy h huamini? 😂
Sina mjomba kiazi vile 😂Ile ya mjomba wako anayejiliza ka nyau naamini, ila hii hapanaa🤸🏽♂️
Anakuzidi kiingeredha🤣Sina mjomba kiazi vile 😂
Sasa ananizid kingereza afu wote tupo Bongo kwenye swahili, sasa umuhimu wa kunizidi uko wap 😂Anakuzidi kiingeredha🤣
Mamnyogode leo tunachanja mbingu dunianiTuache bamnyogode tukomae na ulevi tu
We mwenzio sio chokoraa😆Sasa ananizid kingereza afu wote tupo Bongo kwenye swahili, sasa umuhimu wa kunizidi uko wap 😂