Kundi la Nyani mbona ni la wafrika wote? Acha kutudhalilisha Sisi nyaniWalokole ni kundi la mwisho kabisa la wanadamu wakitoka nyani
Hahaha aah ana wivu wa kimataifa aise kamzidi nyegere😀Ana makasiriko mzoee tu huyo babes😁
Kwamba kitengo cha marketing cha walokole kinafanya kazi overtime? 😅😅Walokole labda kwa sababu wanajitangaza tu, mbona wengine wana visomo na mapete ya kuepusha watu na kesi, husda na chuki.
do it mamyNgoja nifanye jambo sasa hivi uniote kabisa leo😆
Mpuuze huyo Kipenzi changuHahaha aah ana wivu wa kimataifa aise kamzidi nyegere😀
The Icebreaker unabahati sanaMpuuze huyo Kipenzi changu
Tungemvunja maeneo😎The Icebreaker unabahati sana
aache wivuTungemvunja maeneo😎
Huyo Papai kila akiona uzi ambao unajadili dini zingine hua anawashwa makalio ili aingize na uislamu kwenye huo mjadala,Anzisha mada ya bata nitachangia bwashee
Kukutafutia nini mchumba au? 😅Nilimwambia ShesRise_1 anitafutie mwingine ila naona sijui kanisahau.
Na mkiachana msiniletee kesi yenu eti niwapatanishe kama mwanzo.Mpuuze huyo Kipenzi changu
Tutaendenda kwa viongozi wa dini tukishindwa tunahamia kwa viongozi wa mtaa😐Na mkiachana msiniletee kesi yenu eti niwapatanishe kama mwanzo.
Huyu hapa Mfalme zumaridiHivi mfalme zumaridi yu wapi.
Na hatutofikia uko mambo yetu/conflict tutayamaliza wenyeweTutaendenda kwa viongozi wa dini tukishindwa tunahamia kwa viongozi wa mtaa😐