Ilikua ya mwisho kuchagulia watu asilimia 90 toka kanda ya kaskazini yaani darasa lilijaa ww Arusha,Moshi,Tanga,Morogoro na Dar es salaam. Wachache six ya 2008 walitoka Iringa na Mbeya kama sikosei kwenye watu wote combi zote wa Iringa na Mbeya hawakuzidi 5Mkuu nyie mlichaguliwa wababe tupu
Mlunza alikuwa dereva mkuu, wa like Bedford la kwendea Zoo na kwenye mechi Ruaha na Ifundamkuu unamkumbuka mpish nguli mzee mlunza?
Chuwa walikuwa na Tabia moja in Common,unanikumbusha hilo neno CHUA mkuu
Mkuu mimi nimemaliza form six 2010 .nijuze nini kiliwakuta.Hahahahah ama kweli mtu aliyepita tosamaganga ana mengi aliyojifunza kutokana na life style ya pale.
>Kipindi cha mitihani halafu ikutwe mvua inanyesha huwa ni balaa ngazi za kule jikoni kwani ni mtiti mbaya zaid ukute ni kitu cha nyalii...hahhaha
>Mgomo wa tar 30 june 2012 hii nayo sitasahau pale mabomu yalipoanza kulindima na watu tukapoteana msituni,baadaye tunajikuta mwingine hana kiatu kimoja,mwingine peku hahahahaha hii siku ni ukumbisho tosha maishani mwangu kwani shulla hakuamini kilichokuwa kikitokea
>Aiseeeee yako mengi ninayo yakumbuka toka ule mlima wa tosa
2010 - 2012
Fyudoo, amapu, Soja, Sika, Dr Sanga, Shina mzee wa HesabuWapi ujamaa room no 12 walumendago family....
Room 100 old mandela kitivo...
Fyudooooooooooo
Daaah matimbwa alikuwa anazingua chemistry nikaamua kupiga msuri yatima pale shule ya msingiBila shaka wewe ni mwl matimbwa hehehe
Kama ni wewe basi general chemistry ulituzingua sana
Hehe pole sana mkuu...i think wewe utakuwa cha 6 ya 2012Daaah matimbwa alikuwa anazingua chemistry nikaamua kupiga msuri yatima pale shule ya msingi
from kingty
Tosa dume ile wewe .ukija kizembe lazima utemweNulikua natamani tu kumaliza shule ya kiboya sana ila watu mnaipa sifa isizo stahili tuache unafiki 2009-2011,Pcm
Hehehe mkuu kujisifia huku kungeambatana na kapicha ingenoga sanaAaaahhh nmekumbuka mbali sanaaa
Enzi hizo Tosa boys wanawachanganya watoto WA cagrielo girls na Iringa girls...
Ila watoto WA Cagrielo tulikuwa wakali sanaaaa![]()
![]()
![]()
Kwa mwandiko huu kama ulikuwa mwenyekiti wa ukwata pale ifunda girlsJamani nikiisikia hii shule nakumbuka mbali sana basi tu.
TOSAMAGANGA!
Ha ha ha mkuu matimbwa amenifundisha 2009 mpaka Na 2010. Alikuwa fresh from DUCEHehe pole sana mkuu...i think wewe utakuwa cha 6 ya 2012
Sasa baadae alizeeka akaanza kuvurugaHa ha ha mkuu matimbwa amenifundisha 2009 mpaka Na 2010. Alikuwa fresh from DUCE
from kingty
Inyasi hatunaye. [R.i.P]![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Nimefurahi sanaaaaaaa kukuta sred hii humu ndani.
Nmepita apo 2014-16, ukintajia mzee ugulumo alikuepo wakat tunamaliza 6 sitamsaau kwanza mtoto wake alikua roommatê wangu pale ujamaa #14 (kwa sas npo nae chuo MD2 amentangulia mwãka mmoja) pili, alinpaga adhabu ya kukimbia (mbele ya block za ujamaa na mapinduz) mm na wenzangu, cha ajabu nkaànguka, looh hatari sanaaaaaaa nkarudi dom kulala.
Uyo inyasi, ayubu na kilasi wakawa wababe wa shule. One week bfr necta prof ndalichako akafanya ziara..daah miss it much tosaaa nation.