Waliosoma Tosamaganga High School

Waliosoma Tosamaganga High School

Hahahahah ama kweli mtu aliyepita tosamaganga ana mengi aliyojifunza kutokana na life style ya pale.
>Kipindi cha mitihani halafu ikutwe mvua inanyesha huwa ni balaa ngazi za kule jikoni kwani ni mtiti mbaya zaid ukute ni kitu cha nyalii...hahhaha
>Mgomo wa tar 30 june 2012 hii nayo sitasahau pale mabomu yalipoanza kulindima na watu tukapoteana msituni,baadaye tunajikuta mwingine hana kiatu kimoja,mwingine peku hahahahaha hii siku ni ukumbisho tosha maishani mwangu kwani shulla hakuamini kilichokuwa kikitokea
>Aiseeeee yako mengi ninayo yakumbuka toka ule mlima wa tosa
2010 - 2012
 
kabisa ...under gotta organization...
shulla anapandishwa juu ya meza pale basketball asubuhi na mavazi yake ya mazoezi anatetemeka
 
PCB tuliwaachia Egm kuchota maji enzi za JJ shulla
Tuliosoma miaka ya 97-2000, nakumbuka nikiwa form one kipindi cha Zitto Kabwe akipanda pale meeting ground anapiga ngeli sana nabaki natoa macho tu! Kweli nilipenda sana Tosa hadi nilipata ONE, salamu kwa Lyunyiliko Komba, Steve, Nicholaus Haule, Sadati Kalolo, George Binde, Salvatory Kyakwe bila kumsahau mwl wa hesabu enzi hizo Ugulumo na mzee wa Idete Fyudo.
 
hii shule sijui nani aliiua..niliingia hapo 2010-2012..nikakuta matokeo ya form six 2006 ndani ya mlango wa kioo cha physics lab nilifurahi sana ivo vijiti(one) za pcb na pcm zilivosimama...nikauliza nikaambiwa huo ni mwaka wa elias kiyombo T.O 2006 cha ajabu nikasikia alidisco UD
 
ahaaa lipo hapa jf limelud chuo tena.... mwaka huu lina graduate...
 
Wale wa room 131 harun kubalika, emmanuel sanga,swanga boy, gunada boy, joseph mbilinyi 2nyi mzee mwenyewe elias kitchen force wazee wa kula nyama za kujipimia
 
Ipo ukiingia tu ground floor unakata kulia then kule mwisho kushoto. Dirisha lake liko upande wa half mile. Kwa nyuma kuna bathrooms
Vile vyoo vya half mile vilivyojengwa vipya vilidondokaga vilidondokaga asee
 
Sisi tuliosoma enzi miaka ya 2001 kulikuwa na kitu kinaitwa E.M.O kuna mzee mmoja nadhani alikuwa mhasibu wa shule anaenda mjini postal bank anakuja na majina ya waliopata EMO yanabandikwa pale staff kwa nje aisee ukiona jina unafurahi sana. EMO kwa saaa ndio hizi MPESA, Tigo Pesa etc. kweli mambo yanaenda kasi.
speed ya mwanga mkuu
 
Enzi za kwenda idete kwa machuwa
Ujamaa room no 12 walumendago family
Egm walikuwa wanakula sana coz walikuwa wanasolve sana hesabu
Kitivo room no 100 old Mandela block
Mesini tulikuwa tunakula sumu
Mwanangu we hiyo namba 100 ulikaa mwaka gani mana hata mimi nimekaa mandela 100
 
Back
Top Bottom