Waliosoma Tosamaganga High School

Waliosoma Tosamaganga High School

Enzi za kwenda idete kwa machuwa
Ujamaa room no 12 walumendago family
Egm walikuwa wanakula sana coz walikuwa wanasolve sana hesabu
Kitivo room no 100 old Mandela block
Mesini tulikuwa tunakula sumu
Daa umenikumbusha mapinduzi rumu no 62
 
Mwenge room no 38,Mandela,Mandela Annex, Azimio, ujamaa, msiwasi, mabanzi ya masista, mzee dereva wa shule, Amapu, Fyudo, Facken Behavior, lupalama, mkosho, akapulko, Half mile, Nzowa kitchen force, Wakorinto,Chidi,Danda,Zoo, Mama Mingoi, Ipamba, Idete, Charwe, Soja
 
Haha Fackeni behavior tuliingia nae tosa 2002mi nilikuwa egm nakumbuka alikuwa cbg
 
sitamsahau kilasi 2012 alisema umehama shule nzuli umekuja kijjin na kunielez kitendo cha kubadili koz ni sawa na kubeba gunia la tupu kuja kubeba gunia la misumar na hapohapo nilisitisha kujiunga na shule na kujiunga shule nyingine... viva shulla...
 
Mwenge room no 38,Mandela,Mandela Annex, Azimio, ujamaa, msiwasi, mabanzi ya masista, mzee dereva wa shule, Amapu, Fyudo, Facken Behavior, lupalama, mkosho, akapulko, Half mile, Nzowa kitchen force, Wakorinto,Chidi,Danda,Zoo, Mama Mingoi, Ipamba, Idete, Charwe, Soja
Umemsahau consider na Ugulumo
 
mmenikumbusha mbali sana enzi hizo, mpishi mkuu Mlunza the great babu wa Sumu.
manesi ipamba unajifanya unaumwa ili uende kwa kimada tu.
zoooo...( iringa girls)
migomo ndo ilikuwa shidaaaaa
 
Back
Top Bottom