Luck Good
Senior Member
- Dec 9, 2020
- 129
- 209
Duh noma
Noma na nusu
Duh noma
Nyie ndo mlikuwa mnatuita CHUA sio?Tupia Jichoooo
Naikumbuka sana hiyo shule.Nilikomaa hapo miaka minne.CHUA walikuwa wakifika wanatushangaa sana jinsi Ma Olevel tulivyo adopt mazingira na kuyafurahia maisha ya Tosa.
Fakin duu maki, nimekuacha pale mwaka mmojaHaha Fackeni behavior tuliingia nae tosa 2002mi nilikuwa egm nakumbuka alikuwa cbg
Advance mwaka huo, hope tulikuwa pamojaSisi tuliosoma enzi miaka ya 2001 kulikuwa na kitu kinaitwa E.M.O kuna mzee mmoja nadhani alikuwa mhasibu wa shule anaenda mjini postal bank anakuja na majina ya waliopata EMO yanabandikwa pale staff kwa nje aisee ukiona jina unafurahi sana. EMO kwa saaa ndio hizi MPESA, Tigo Pesa etc. kweli mambo yanaenda kasi.
Mpiga picha design hiyo alikuwa ni SOLDIERKwa wale wa kitambo miaka ya 2000s na 90s hiyo picha ya juu hapo kati ni Mkwanga enzi hizo akiwa Mkuu wa Shule. Hapo anapiga stori za za ajabu na mikwara kibao. Utasikia wanaumee sasa pumzisheni vichwa vya chini mtumie vichwa vyenu vya juu...Hahaaa kitambo sana na memory inarudi kwa kasi nakumbuka mabanzi(bans) au maandazi ya ngano ile isiyochakatwa ya kwa masista wa Liharamo.
Mandela room no.99Mandela Anex room no 109 mwaka 2011
Haiwezi kuijua hiyo room, bweni lilifungwa ikabakia Mandela annex, old school,old memories. Hekalu la wana Mandela old.Mandela room no.99
Ni kwel kabisa anaitwa masta Shula almost 9 years backJj shula
Kilasi popote ulipo ulifanya maisha ya shule ya tosaniyaone shubiri na kuishia mlangoni kwako na kuhama mazima next month nitakuja kutembea iringaNilikuwa hapo pia na ananijua vizuri sana![]()