Waliosoma Tosamaganga High School

Waliosoma Tosamaganga High School

Tuliosoma miaka ya 97-2000, nakumbuka nikiwa form one kipindi cha Zitto Kabwe akipanda pale meeting ground anapiga ngeli sana nabaki natoa macho tu! Kweli nilipenda sana Tosa hadi nilipata ONE, salamu kwa Lyunyiliko Komba, Steve, Nicholaus Haule, Sadati Kalolo, George Binde, Salvatory Kyakwe bila kumsahau mwl wa hesabu enzi hizo Ugulumo na mzee wa Idete Fyudo.
We class mate Wangu....
 
nakumbuka aliniambia comb ninayotaka kusoma itangharimu sana na alinukuu kwa kusema ni sawa na mtu aliyetoka kubeba gunia la nyasi na kuja kubeba gunia la misumari sikumuelewa kabisa juu ya hii kauli yake pale pale kwa kumuonyesha dharau ni ka mwambia tanzania kuna high skul nying na sitokanyaga ata darasani....ahaaa alicheka sana na hakuniona tena na baadaye yule mkuu alikuja illboru na kunikuta ....
 
Kijana kumbe upo we c ulkua mkondo wa PCB 1&2 na monta wenu Sijaona.
Hehehe mzee baba hujakosea, ila sijaona umonita uliishia kwa wakyuba(form 5).

Ebu mkuu nikujue wewe nani vile?
 

Nimefurahi sanaaaaaaa kukuta sred hii humu ndani.

Nmepita apo 2014-16, ukintajia mzee ugulumo alikuepo wakat tunamaliza 6 sitamsaau kwanza mtoto wake alikua roommatê wangu pale ujamaa #14 (kwa sas npo nae chuo MD2 amentangulia mwãka mmoja) pili, alinpaga adhabu ya kukimbia (mbele ya block za ujamaa na mapinduz) mm na wenzangu, cha ajabu nkaànguka, looh hatari sanaaaaaaa nkarudi dom kulala.

Uyo inyasi, ayubu na kilasi wakawa wababe wa shule. One week bfr necta prof ndalichako akafanya ziara..daah miss it much tosaaa nation.
Oya...kininga hapa
 
Acha kabisa ,siku yenyewe tunamaliza tukafukuzwa maana hakuna darasa lililokua na vurugu kama six iliyomaliza 2008 ,kwanza mpaka tunamaliza kila muhula anakufa mtu mmoja kwa vurugu au kuugua ,dah tumepiga mpaka vita na wanakijiji wa Ipamba acha kabisa sisi tuna mawe wao mapanga na mishale ngumi zimepigwa kitu cha police na hospitalini pale Ipamba ,dah akafariki mwanafunzi mmoja r.i.p
Nilikuwepo hii bro
 
Back
Top Bottom