mmmhhh wakuu hii habari imekaaje!! Daah home boy huyu ticha...kweli duniani si mahali pa kudumu. Raha ya milele bwana ampe na mwanga wa milele amwangazie amina.Aliyekua wakuitwa Mwl Inyasi kwa sasa ni marehemu yapata mwezi sasa.
mmmhhh wakuu hii habari imekaaje!! Daah home boy huyu ticha...kweli duniani si mahali pa kudumu. Raha ya milele bwana ampe na mwanga wa milele amwangazie amina.Aliyekua wakuitwa Mwl Inyasi kwa sasa ni marehemu yapata mwezi sasa.
Hehehe ningeshangaa kama usingetaja kwa manesi wenuNakumbuka tu msiwasi na ipamba over
Hehehe huyu bila shaka ni JJ shullanakumbuka aliniambia comb ninayotaka kusoma itangharimu sana na alinukuu kwa kusema ni sawa na mtu aliyetoka kubeba gunia la nyasi na kuja kubeba gunia la misumari sikumuelewa kabisa juu ya hii kauli yake pale pale kwa kumuonyesha dharau ni ka mwambia tanzania kuna high skul nying na sitokanyaga ata darasani....ahaaa alicheka sana na hakuniona tena na baadaye yule mkuu alikuja illboru na kunikuta ....
kilasi marufu chogo jamaa huyu sikuelewa pigo zake wakat mkuu shulla alnipa kbali ajabu nikakutana naye illiboru...Hehehe huyu bila shaka ni JJ shulla
Tatizo lake ana dharau sana huyu T.O wa kutoka tosa boys. But shortly jamaa yuko vizuri sanaHapa ndo alitoka T. O form six ambaye tangu Tz ianze hajawah kutokea
Bila shaka wewe ni mwl matimbwa hehehechogo ndo kanikuta mm mkuu, , alikuwa muoga haswa wa kukagua mabwenini anajua alichofanyiwa mara ya kwanza.
Hehehehe umenikumbusha mbali sana kwenye flashihuyo mwalimu sio Sir Mgimwa kweli ?
huyo alipigwa flashi na akamuona mwanafunzi aliyempiga flashi , mbona palipendeza huo mtanange wake
ahaaa ticha ailwalisha matango pori nin....daudBila shaka wewe ni mwl matimbwa hehehe
Kama ni wewe basi general chemistry ulituzingua sana
Mgomo ulifanyika 2011 mkuu. Nilishiriki nikiwa form 6, na kuhitimu feb 2012Hahahahah ama kweli mtu aliyepita tosamaganga ana mengi aliyojifunza kutokana na life style ya pale.
>Kipindi cha mitihani halafu ikutwe mvua inanyesha huwa ni balaa ngazi za kule jikoni kwani ni mtiti mbaya zaid ukute ni kitu cha nyalii...hahhaha
>Mgomo wa tar 30 june 2012 hii nayo sitasahau pale mabomu yalipoanza kulindima na watu tukapoteana msituni,baadaye tunajikuta mwingine hana kiatu kimoja,mwingine peku hahahahaha hii siku ni ukumbisho tosha maishani mwangu kwani shulla hakuamini kilichokuwa kikitokea
>Aiseeeee yako mengi ninayo yakumbuka toka ule mlima wa tosa
2010 - 2012
Huhhu kumbe mzee wa horticulture uligonga pcb tosa. Halafu idete ulikuwa hutaki kwendaNimemaliza tosa 2008 combination PCB acha kabisa pale ukifuata kusoma utatoka na ukifuata kucheza utacheza vyema tu
Mjinga sana yule hajui halafu analazimisha tujueahaaa ticha ailwalisha matango pori nin....daud
Yaani mimi dah nilikaa room namba 42 kisha nikahamia Muungano (bweni) ,kwenda Ipamba nilikua namba moja na kila weekend Kalenga au Iringa mjini kulinihusu haa haaaHuhhu kumbe mzee wa horticulture uligonga pcb tosa. Halafu idete ulikuwa hutaki kwenda
ndo yale st joseph kufundishwa mitaala ya india ahaaaaMjinga sana yule hajui halafu analazimisha tujue
Sasa wakaja wakatuvuruga wakatuletea wamama flani ivi wakyuba eti watupigishe mechanics form five..kumbe nao ilikuwa chenga
Hehe shulla wababe wake ni form 6 wa 2012 waliomtilia kidume cha mgomo 2011 akataka kulia asubuhi asubuhi kama mtoto hata kuongea hawezikilasi marufu chogo jamaa huyu sikuelewa pigo zake wakat mkuu shulla alnipa kbali ajabu nikakutana naye illiboru...
Hehehe kama ni 42 azimio basi ulikuwa dom mate mimi 47 complex azimio.Yaani mimi dah nilikaa room namba 42 kisha nikahamia Muungano (bweni) ,kwenda Ipamba nilikua namba moja na kila weekend Kalenga au Iringa mjini kulinihusu haa haaa
ahaaaa akuchukua carina yake kuwahi home kwake kweli maana nilisikiaga hzo story pale july 2012 ambapo shule ilifungwa kwa ajili ya kupisha sensa na walkuwa wanafungua 23.10.2012Hehe shulla wababe wake ni form 6 wa 2012 waliomtilia kidume cha mgomo 2011 akataka kulia asubuhi asubuhi kama mtoto hata kuongea hawezi
Hehehehe kabisaa..wale wamama walikuwa wazito sana hawajui chochote kuhusu NECTAndo yale st joseph kufundishwa mitaala ya india ahaaaa