Prince Dos Santos
JF-Expert Member
- Nov 23, 2016
- 1,047
- 1,326
Bila shaka we ni Daudi mtoboa kininga 2012 graduate EGMOya...kininga hapa
Bila shaka we ni Daudi mtoboa kininga 2012 graduate EGMOya...kininga hapa
Bila shaka we ni Daudi mtoboa kininga 2012 graduate EGM

wajina alikuwa vizuri akimaliza kukamua zake supply and demandPole sana mkuu bado mzima? IlikuajeSito sahau Mtu wangu wa kalibu aliiukwaa UKIMWI kijinga sana.
Unamfahamu Dhahir?Mazingira mazuri sana mkuu, mie nilimaliza pale form 4 mwaka 2002. Ni shule yenye majengo mazuri kabisa ya ghorofa za kijerumani, ipo juu ya mlima
haa haa ila zamani shule za boarding zilikuwa na vitukoNimepitia comment nyingi za wanatosa humu naona mengi yanayoandikwa ni ya early 2000 kuja 2010 na kuendelea.Lakini wale member wa 90's naona hamna.Enzi za mzee DUDU.Hiyo ndiyo ilikuwa TOSA ya ukweli.Huyo mzee alikuwa balaa.Mkifika Njuka mnatandikwa fimbo tatu tatu ofisini kwa HM kuwakaribisha.Lengoo kuwajenga hofu.Mie nilikuwa pale 91-93 Pcm ujamaa no.1.Sitasahau mgomo wa 92 tulifanikiwa kumng'oa Dudu pale lkn ilitucost.Yule mzee alipelekwa Mkwawa high sch.Alikufa baada ya muda mfupi kifo cha ghafla.Nina mengi ya kusimulia basi tu.kuanzia manesi wa Ipamba, Walimu enzi za Mtesigwa mzinguaji wa phy kila siku anafundisha mechanics mpk mnamaliza usipokomaa mwenyewe basi.Enzi hizo Ugulumo alikuwa kijana anagindisha hesabu Olevel.alikuwa na demu wake mzuri kinoma naye mwl pekee wa kike.try to imagine wanafunzi walivyokuwa wakimmendea.Half mile usiseme.Ukienda unavua nguo nje ndo uingie.Zoo wakija lzm mtoboe matairi ya gari ili wasiondoke.Jmani Wahenga wa enzi hizo karibuni mtukumbushe matukio ya enzi za DuDu.
Pia kulikuwa Na mwl Mwakabanje wa chemistryNamkumbuka Mr Mlwale mwl na mpiga picha mashuhuri wa Tosa.Ni kitambo sana.Sijui yuko wapi sasa hv.
mazingira yakoje
ndo nn tena mdau
Enzi za kwenda idete kwa machuwa
Ujamaa room no 12 walumendago family
Egm walikuwa wanakula sana coz walikuwa wanasolve sana hesabu
Kitivo room no 100 old Mandela block
Mesini tulikuwa tunakula sumu
Nimepitia comment nyingi za wanatosa humu naona mengi yanayoandikwa ni ya early 2000 kuja 2010 na kuendelea.Lakini wale member wa 90's naona hamna.Enzi za mzee DUDU.Hiyo ndiyo ilikuwa TOSA ya ukweli.Huyo mzee alikuwa balaa.Mkifika Njuka mnatandikwa fimbo tatu tatu ofisini kwa HM kuwakaribisha.Lengoo kuwajenga hofu.Mie nilikuwa pale 91-93 Pcm ujamaa no.1.Sitasahau mgomo wa 92 tulifanikiwa kumng'oa Dudu pale lkn ilitucost.Yule mzee alipelekwa Mkwawa high sch.Alikufa baada ya muda mfupi kifo cha ghafla.Nina mengi ya kusimulia basi tu.kuanzia manesi wa Ipamba, Walimu enzi za Mtesigwa mzinguaji wa phy kila siku anafundisha mechanics mpk mnamaliza usipokomaa mwenyewe basi.Enzi hizo Ugulumo alikuwa kijana anagindisha hesabu Olevel.alikuwa na demu wake mzuri kinoma naye mwl pekee wa kike.try to imagine wanafunzi walivyokuwa wakimmendea.Half mile usiseme.Ukienda unavua nguo nje ndo uingie.Zoo wakija lzm mtoboe matairi ya gari ili wasiondoke.Jmani Wahenga wa enzi hizo karibuni mtukumbushe matukio ya enzi za DuDu.
Hahaha hadi idete hukoNakumbuka tu msiwasi na ipamba over