Waliosoma Tosamaganga High School

Waliosoma Tosamaganga High School

Kuna siku bweni la ujamaa ,karibu na DH, alipigwa splash mwalimu fulan wa advance, wanafunzi walitolewa mabwenin ambao hawakuwa assemble, ilikuwa ni shida,...

huyo mwalimu sio Sir Mgimwa kweli ?
huyo alipigwa flashi na akamuona mwanafunzi aliyempiga flashi , mbona palipendeza huo mtanange wake
 
hahahaha..nlisimuliwa..na dogo mmoja baba ake alikuwa anauza ulanz kule nyuma ya mabwen karibu na jikon..
Bora hata chogo ,kuna mwingine wa kujiita enyasi yaan huyo ndo kunguru sana ukimtishia kidogo hakufuatilii
 
Tosamanga ni shule nzuri kimazingira, lakini kwa walimu ni kama shule nyingine za serikali, msuli wako tu more.... Nakumbuka vurugu ya wanakijiji na wanafunzi hadi kumpoteza mwenzetu.. Rest in peace mwana
 
My school tosa boys, bweni muungano room 116, na watu Wang chief wa Mara, Ben, bachuta, obedy. Fireeee

Cr dikteta
 
Nimefurahi sanaaaaaaa kukuta sred hii humu ndani.

Nmepita apo 2014-16, ukintajia mzee ugulumo alikuepo wakat tunamaliza 6 sitamsaau kwanza mtoto wake alikua roommatê wangu pale ujamaa #14 (kwa sas npo nae chuo MD2 amentangulia mwãka mmoja) pili, alinpaga adhabu ya kukimbia (mbele ya block za ujamaa na mapinduz) mm na wenzangu, cha ajabu nkaànguka, looh hatari sanaaaaaaa nkarudi dom kulala.

Uyo inyasi, ayubu na kilasi wakawa wababe wa shule. One week bfr necta prof ndalichako akafanya ziara..daah miss it much tosaaa nation.
 
Aliyekua wakuitwa Mwl Inyasi kwa sasa ni marehemu yapata mwezi sasa.
 
hahahha we ulihonga kuhamia tosa ?? hiyo shule ni ya wababe dishi kilasi nilimkimbiza room haji kusahau.
nakumbuka aliniambia comb ninayotaka kusoma itangharimu sana na alinukuu kwa kusema ni sawa na mtu aliyetoka kubeba gunia la nyasi na kuja kubeba gunia la misumari sikumuelewa kabisa juu ya hii kauli yake pale pale kwa kumuonyesha dharau ni ka mwambia tanzania kuna high skul nying na sitokanyaga ata darasani....ahaaa alicheka sana na hakuniona tena na baadaye yule mkuu alikuja illboru na kunikuta ....
 
Back
Top Bottom