Waliosoma Tosamaganga High School

Waliosoma Tosamaganga High School

Hehehe kama ni 42 azimio basi ulikuwa dom mate mimi 47 complex azimio.

Unaenda kukosha ipamba na town!.. tosa boy buana mambo yenu
Haaa haaa we jamaa itakua tu nakufahamu ,ila nilisoma kwa bata sana yaani uniform kuvaa ukipenda haa haaa kiatu american boot dah hapo enzi ya Charwe ,ila alipougua akabadilishwa tukapetewa jamaa mmoja mmmh gradue yenyewe alituchezesha boys watupu dah
 
Hehehe aliwakomesha sana wakati huo mnasubiria zuu waje
 
mzee huyu jaman wanafunzi wa tosa mlipa hofu ya mungu sana kwani hakuamin nin kitatokea ....
Hehehe alitetemeka huyo, hakuamini kama angeweza kukutana na yale mapinduzi
 
mzee huyu jaman wanafunzi wa tosa mlipa hofu ya mungu sana kwani hakuamin nin kitatokea ....
Acha kabisa ,siku yenyewe tunamaliza tukafukuzwa maana hakuna darasa lililokua na vurugu kama six iliyomaliza 2008 ,kwanza mpaka tunamaliza kila muhula anakufa mtu mmoja kwa vurugu au kuugua ,dah tumepiga mpaka vita na wanakijiji wa Ipamba acha kabisa sisi tuna mawe wao mapanga na mishale ngumi zimepigwa kitu cha police na hospitalini pale Ipamba ,dah akafariki mwanafunzi mmoja r.i.p
 
waliniacha hoi sikumbuki vizur ilikuwa form six class ipi walivomaliza mitihan walipanda juu na kulusha karatasi mavitabu kalculeta na wakisema tukutane ud mkuu alipigwa na butwaa so fun sana......
 
Hao 2008 ,mashati tulichorachora kila mtu anaweka sign kwenye shati la mwenzio kwa ukumbusho acha kabisa ,darasa la wehu sana sisahau tulidumbukiza hiace mtoni tukapewa suspension shule nzima ya wiki tatu hivi ila wengine pia tulivuta tukakaa miezi miwili home ,kkkkk
 
😀😀😀😀 ahaaaa class 2008 walitisha jaman s kwa vioja hivo
 
Chakula tulikua wagomvi tukiwa five mpaka ikawa visasi vya mchana usiku watu wanakutana basketball ground zinapigwa weee mpaka basi asubuh heshima ,chakula mpaka tukatengewa muda wa kula tofauti wa a level na o level maana five yetu hatukutaka kuitwa chua wala kukaa nyuma ya form 3 na four dah kweli maisha ya shule uchizi sana
 
Acha kabisa ,siku yenyewe tunamaliza tukafukuzwa maana hakuna darasa lililokua na vurugu kama six iliyomaliza 2008 ,kwanza mpaka tunamaliza kila muhula anakufa mtu mmoja kwa vurugu au kuugua ,dah tumepiga mpaka vita na wanakijiji wa Ipamba acha kabisa sisi tuna mawe wao mapanga na mishale ngumi zimepigwa kitu cha police na hospitalini pale Ipamba ,dah akafariki mwanafunzi mmoja r.i.p
Mkuu baadae ntaku-pm tuongee ishu za kilimo ili nione jinsi ya kupata agricultural inputs maana naamini unahusika na hizi mambo
 
Chakula tulikua wagomvi tukiwa five mpaka ikawa visasi vya mchana usiku watu wanakutana basketball ground zinapigwa weee mpaka basi asubuh heshima ,chakula mpaka tukatengewa muda wa kula tofauti wa a level na o level maana five yetu hatukutaka kuitwa chua wala kukaa nyuma ya form 3 na four dah kweli maisha ya shule uchizi sana
Mkuu nyie mlichaguliwa wababe tupu
 
Back
Top Bottom