Luck Good
Senior Member
- Dec 9, 2020
- 129
- 209
ntaku pm mkuuu...vp ulikuwaga pale kipind hcho?..ulimkuta mwl.kilasi au chogo kwa jins wanafunz walivyokuwa wakimtania



Bora hata chogo ,kuna mwingine wa kujiita enyasi yaan huyo ndo kunguru sana ukimtishia kidogo hakufuatilii



sema rip kwakeTosamanga ni shule nzuri kimazingira, lakini kwa walimu ni kama shule nyingine za serikali, msuli wako tu more.... Nakumbuka vurugu ya wanakijiji na wanafunzi hadi kumpoteza mwenzetu.. Rest in peace mwana
Hapa ndo alitoka T. O form six ambaye tangu Tz ianze hajawah kutokea
Elias Kihombo, Yule jamaa anajua utadhani mchawi aisee
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Nimefurahi sanaaaaaaa kukuta sred hii humu ndani.
Nmepita apo 2014-16, ukintajia mzee ugulumo alikuepo wakat tunamaliza 6 sitamsaau kwanza mtoto wake alikua roommatê wangu pale ujamaa #14 (kwa sas npo nae chuo MD2 amentangulia mwãka mmoja) pili, alinpaga adhabu ya kukimbia (mbele ya block za ujamaa na mapinduz) mm na wenzangu, cha ajabu nkaànguka, looh hatari sanaaaaaaa nkarudi dom kulala.
Uyo inyasi, ayubu na kilasi wakawa wababe wa shule. One week bfr necta prof ndalichako akafanya ziara..daah miss it much tosaaa nation.



nakumbuka aliniambia comb ninayotaka kusoma itangharimu sana na alinukuu kwa kusema ni sawa na mtu aliyetoka kubeba gunia la nyasi na kuja kubeba gunia la misumari sikumuelewa kabisa juu ya hii kauli yake pale pale kwa kumuonyesha dharau ni ka mwambia tanzania kuna high skul nying na sitokanyaga ata darasani....ahaaa alicheka sana na hakuniona tena na baadaye yule mkuu alikuja illboru na kunikuta ....
Mi nilpta palechini boys home
waliniacha hoi sikumbuki vizur ilikuwa form six class ipi walivomaliza mitihan walipanda juu na kulusha karatasi mavitabu kalculeta na wakisema tukutane ud mkuu alipigwa na butwaa so fun sana......



ikawa tukija kufata vyeti wanatupa adhabu 



Bila shaka we ni Daudi mtoboa kininga 2012 graduate EGM
Fafanua kiongoziHapa ndo alitoka T. O form six ambaye tangu Tz ianze hajawah kutokea
Fafanua kiongozi
Duh nomaAlifaulu kupita ma to wote waliowahi hutokea tz alipoma pcm alikuwa na 97%kwenye chemistry,98%mathematics and 99%physics
Migumi ni sehemu ya utaratibu Tosa Boyz. Kutoka 2005 mpaka 2008 kulikuwa na migomo kadhaa😃😄Hahahahah ama kweli mtu aliyepita tosamaganga ana mengi aliyojifunza kutokana na life style ya pale.
2010 - 2012Kipindi cha mitihani halafu ikutwe mvua inanyesha huwa ni balaa ngazi za kule jikoni kwani ni mtiti mbaya zaid ukute ni kitu cha nyalii...hahhaha
Mgomo wa tar 30 june 2012 hii nayo sitasahau pale mabomu yalipoanza kulindima na watu tukapoteana msituni,baadaye tunajikuta mwingine hana kiatu kimoja,mwingine peku hahahahaha hii siku ni ukumbisho tosha maishani mwangu kwani shulla hakuamini kilichokuwa kikitokea
Aiseeeee yako mengi ninayo yakumbuka toka ule mlima wa tosa
Kwahiyo unataka kusema Cagliero walikuwa vipori sio?😄😁ukisema iringa girls sawa..lakini nyie mlikuwa mnazidiwa hata na lugalo
Migumi ni sehemu ya utaratibu Tosa Boyz. Kutoka 2005 mpaka 2008 kulikuwa na migomo kadhaa![]()