Waliosoma Tosamaganga High School

Waliosoma Tosamaganga High School

Kwa wale wa kitambo miaka ya 2000s na 90s hiyo picha ya juu hapo kati ni Mkwanga enzi hizo akiwa Mkuu wa Shule. Hapo anapiga stori za za ajabu na mikwara kibao. Utasikia wanaumee sasa pumzisheni vichwa vya chini mtumie vichwa vyenu vya juu...Hahaaa kitambo sana na memory inarudi kwa kasi nakumbuka mabanzi(bans) au maandazi ya ngano ile isiyochakatwa ya kwa masista wa Liharamo.
 
Mandela Anex room no 109 mwaka 2011
Tosa-schoolwashing.jpg
 
Nakumbuka ishu za illegal duh! hatari sana huku Kilasi huku Inyasi huku Ayubu huku Kambo huku Kalengela huku Hossa huku Kachenje na mwisho Baba mwenye nyumba Shulla .Dah ili kuwa noma sana aisee Jaman Tosa! hata jeshini ilikuwa afadhali full kukimbizana daily
 
huyu mzee stomsahau tosa nilimuhonga pesa ili nihamie tosa kutoka nje na kutana na dishi kilasi duuu hapo hapo nikabadili gia angani na kutokusoma kbsa tosa

hahahha we ulihonga kuhamia tosa ?? hiyo shule ni ya wababe dishi kilasi nilimkimbiza room haji kusahau.
 
daah pole sana huyo kilasi alikuwa anaogopa wanafunzi balaa ghafla et nae nasikia akawa mbabe wa shule
ahaaaaa na yupo humu jf nataman aje asome ujinga alionifanyia ahaaa😛😛😛😀😀😀😎😎😎
 
nilipata kufanya field shulen pale..mwaka 2011..niliienjoy sana..shulla was the best headmaster..na ndo ilikuwa na wanafunz wa o level wa mwisho...kidato cha nne...
 
Back
Top Bottom