TX, Hadi miaka ya 2000alikuwepo.Bila Kusahau Mgahawa wa Masister Ukiitwa Kontolengo.Waliokuwa A level Miaka ya 88 hadi 90 Kulikuwa na Walimu wa Kemia na Physics toka Urusi.Mmojawapo akiitwa Shabunin,alikuwa anakuja na Chakula Tu,anashusha ubaoni,da!!Na TX toka Mji wa Manchester,akifundisha Hesabu.Mto Ruaha ulikuwa ukifurika Maji miezi ya April,lazima utaskia mtu kajitupa mtoni!Form 6 1990 wapi Baharia,Wapi Muyanja,wapi Power..
Sent using Jamii Forums mobile app
Mlwale hatunaye... R. I. PNamkumbuka Mr Mlwale mwl na mpiga picha mashuhuri wa Tosa.Ni kitambo sana.Sijui yuko wapi sasa hv.
Mlunza aliacha udereva akageukia upishi?chama lipo poA lile kijana nenda kasome pale...pale ndio njia panda ya chuo kikuu......inabeba idadi kubwa sana ya watu na asilimia 95 ya hao hufaulu.....ukifeli labda uwe umegoma kujisomea......
utakutana na mlunza mpishi celebrity. it is a good place to learn, i was there and graduated in 2012 PCM
Mama mingoi...dah umenikumbusha mbali sana malisa alikwa head prefect vice alikuwa george



Amapu, me a limited wetu class B 2000-2003Fyudoo, amapu, Soja, Sika, Dr Sanga, Shina mzee wa Hesabu
Mdogo wake alikua ndio mpishi miaka hiyoMlunza aliacha udereva akageukia upishi?
Ishafanyiwa ukarabati?Tosa sasa hivi inafanyiwa ukarabati
Itapendeza sana
Hahaha huyo mkuu anafanana na mkuu mmoja huko ruvuma nilisoma kigonsera aliitwa SHELIMO baadae akahamishiwa pugu alikuwa anafanania kitabia na huyo duduTukio jingine ambalo siwezi kulisahau tulipofika Tosa 1991 tukiwa Njuka.Enzi hizo za Hm Dudu kulikuwa na imani kuwa kila mwaka kuna Njuka lzm afe na aliyekuwa anahisiwa ni huyo Mzee Ili kuimarisha utawala wake ambao ulikuwa wa kidikteta ajabu.kwa hiyo alikuwa alikuwa akija kila mmoja anatafuta pa kijificha.Siku moja Manjuka tulipewa kazi kupanga kuni jikoni.Akaja huyo Mkuu akasimama akatutazamaa kama dk 15 bila kusema chochote halafu ghafla akampoint jamaa mmoja kwa kidole."you why are you so black than the rest?" Jamaa alikuwa mnyakyusa wa Mbeya lkn wazazi wake walikuwa wanaishi Dar.Jamaa alichanganyikiwa sana hakuweza kuendelea na ile kazi na jioni hakula na wala hakwenda kipiga bundi.Kila saa alikuwa anajisemea tu "da jamaa ndo kanichagua niwe kafala? tulimfariji usiku mzma jamaa haluelewa.Asb jamaa akawa ametoweka na begi lake!
PCB tuliwaachia Egm kuchota maji enzi za JJ shulla
Jamani nikiisikia hii shule nakumbuka mbali sana basi tu.
TOSAMAGANGA!
ilikuwa june 2012
hii shule sijui nani aliiua..niliingia hapo 2010-2012..nikakuta matokeo ya form six 2006 ndani ya mlango wa kioo cha physics lab nilifurahi sana ivo vijiti(one) za pcb na pcm zilivosimama...nikauliza nikaambiwa huo ni mwaka wa elias kiyombo T.O 2006 cha ajabu nikasikia alidisco UD
ahaaa lipo hapa jf limelud chuo tena.... mwaka huu lina graduate...
Vile vyoo vya half mile vilivyojengwa vipya vilidondokaga vilidondokaga asee



nipe ID yake nimsalimie mkuu
ahaaa ni sili ndugu ma mods watanipiga ban...
huo ndo ukweli mkuu, kwa wale wahudhuriaji kwenye hayo mashule wanajua vizuri shule zenye VISU ni zipi
bado kuna Ifunda girls na Ismila