Mzee baba umesomea kilimo niniCertificate of general agriculture, mwajiriwa duka la pembejeo, maisha ni changamoto kwa wenye fani hii hasa ukizingatia ajira za kuajiriwa hakuna. Miaka mitano sasa tangu nimalize chuo usihofu sana kijana mwenzangu just prepare well your plans and commit yourself to complete them!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa tunafahamianaje?? Humu kila mmoja kaficha sura.tufahamiane kaka gemstone ndo mambo yangu mkali
Ni kweli,kwa sababu kilimo cha kukutoa kimaisha kinahitaji pesa;wekeza pesa upate pesa.Ukiona mambo hayaeleweki kutokana na fani yako,weka vyeti chini tafuta kazi yoyote halali ya kutumia nguvu zako pamoja na uwezo wako wa kufikiri.Mfano;kusaidia watu kubeba mizigo,anzisha kibanda cha mishikaki n.kHizi elimu kama tunabeti tu mkuu,si ndo hivyo? Hata lengo la kutufanya tulime kwa teknolojia zaidi ya wakulima was kawaida halipo?? Kweli tunapaswa jipanga sanaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Njo inbox
Mwanangu sasa hivi upo SUA nini, maana unachokisema ndo ninakiona.Nakubaliana na wewe mkuu,maana kuna demostration plot ya zabibu hapa SUA sidhani kama mhitimu wa kawaida bila uwezeshwaji anaweza kumudu kufanya baada ya kuhitimu,it looks expensive..elimu zetu zinabaki kwenye maandishi ,,so sad
Sent using Jamii Forums mobile app
Hy demo ya Zabibu hatimaye imeandaliwa....!! Prof. Mamilo alikuwa anapinga sana kuwa hali ya hewa ya moro haifai kwa Zabibu, anyway...fact for fact.Nakubaliana na wewe mkuu,maana kuna demostration plot ya zabibu hapa SUA sidhani kama mhitimu wa kawaida bila uwezeshwaji anaweza kumudu kufanya baada ya kuhitimu,it looks expensive..elimu zetu zinabaki kwenye maandishi ,,so sad
Sent using Jamii Forums mobile app
Safi sana mkuu umedhubutu inabidi kupata experience kutoka kwako binafsi Niko animal science piaNilisoma Bsc. Animal Science class of 2016 hapo SUA
Nafuga ng'ombe, kuku wa mayai(layers) na kienyeji (kuchi)
Kuhusu mtaji nilijibana kwenye boom
Karibu shambani
Hatari sana mkuuHy demo ya Zabibu hatimaye imeandaliwa....!! Prof. Mamilo alikuwa anapinga sana kuwa hali ya hewa ya moro haifai kwa Zabibu, anyway...fact for fact.
Nilimuulizaga Dr. Rwegasira installation ya hizo screen house za pale Horticulture Unit, alichonijibu ndio kilinifanya kuwaza kitu Kingine cha kufanya, na nikaamua kumaliza tu degree lakini nikaapa sitalima kamwe, labda mashamba ya miti.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanangu sasa hivi upo SUA nini, maana unachokisema ndo ninakiona.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeshaanza kujitengenezea hiyo theory hata kabla hujatoka chuo, utafanikiwa kweli? Wewe lazima utakua failure tu sababu tayari umeshatapakaza kiza kwenye safari ambayo bado hujaianza japo kwa umri huo unatakiwa tayari ujue ambition zako and how you will get there whether kwa njia rahisi au ngumu, maana yake unahitajika uwe na plan A, B, C...Nakubaliana na wewe mkuu,maana kuna demostration plot ya zabibu hapa SUA sidhani kama mhitimu wa kawaida bila uwezeshwaji anaweza kumudu kufanya baada ya kuhitimu,it looks expensive..elimu zetu zinabaki kwenye maandishi ,,so sad
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeshaanza kujitengenezea hiyo theory hata kabla hujatoka chuo, utafanikiwa kweli? Wewe lazima utakua failure tu sababu tayari umeshatapakaza kiza kwenye safari ambayo bado hujaianza japo kwa umri huo unatakiwa tayari ujue ambition zako and how you will get there whether kwa njia rahisi au ngumu, maana yake unahitajika uwe na plan A, B, C...
Nilisoma Bsc. Animal Science class of 2016 hapo SUA
Nafuga ng'ombe, kuku wa mayai(layers) na kienyeji (kuchi)
Kuhusu mtaji nilijibana kwenye boom
Karibu shambani
Kilimo ni taaluma kama nyingine....kwenye nayo akipata nyenzo na kujikita huko...wewe unayelima kilimo cha baba mpaka mjukuu utabaki kusema kuna mkono wa mtu.Huku shamba ni nguvu zako tu za kushika jembe la mkono,kuhusu vyeti/makaratasi ni huko shuleni tu.
Weee umesoma nn mkuu ambacho unahs unafanya kwa ufasaha zaidBinafsi wahitimu wa Kilimo na Mifugo naona kama haitendei haki nchi. Wanamaliza vyuo wengi wao hata kutengeneza tuta la mchicha wanazidiwa na wale wamama wanaozalisha mchicha Bonde la Msimbazi na pale Nyuma ya urafiki Dar. Ukimpeleka shamba ni shida kwa walio wengi.
MIMI NI MKULIMA.NILICHOANDIKA NDOHALI HALISI. HUKU VIJIJINI UONE KAMA KUNA TOFAUTI KATI SHAMBA LA WAKULIMA WADOGO KAMA MIMI NA LA AFISA UGANI. UONE KAMA KUNA TOFAUTI KATI YA KIJIJICHENYE BWANA SHAMBA NA AMBACHO HAKINA.Weee umesoma nn mkuu ambacho unahs unafanya kwa ufasaha zaid
Share idea zako kidg bas
Kama hutamind maana umeandika kwa dharau sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Weee umesoma nn mkuu ambacho unahs unafanya kwa ufasaha zaid
Share idea zako kidg bas
Kama hutamind maana umeandika kwa dharau sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Hy demo ya Zabibu hatimaye imeandaliwa....!! Prof. Mamilo alikuwa anapinga sana kuwa hali ya hewa ya moro haifai kwa Zabibu, anyway...fact for fact.
Nilimuulizaga Dr. Rwegasira installation ya hizo screen house za pale Horticulture Unit, alichonijibu ndio kilinifanya kuwaza kitu Kingine cha kufanya, na nikaamua kumaliza tu degree lakini nikaapa sitalima kamwe, labda mashamba ya miti.
Sent using Jamii Forums mobile app