Waliosoma fani za kilimo na mifugo na Jinsi walivyotumia elimu zao mpaka sasa kujikomboa binafsi na kuleta mapinduzi kwenye sekta ya kilimo na mifugo.

manengelo

manengelo

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2018
Messages
14,008
Points
2,000
manengelo

manengelo

JF-Expert Member
Joined Aug 13, 2018
14,008 2,000
Hy demo ya Zabibu hatimaye imeandaliwa....!! Prof. Mamilo alikuwa anapinga sana kuwa hali ya hewa ya moro haifai kwa Zabibu, anyway...fact for fact.

Nilimuulizaga Dr. Rwegasira installation ya hizo screen house za pale Horticulture Unit, alichonijibu ndio kilinifanya kuwaza kitu Kingine cha kufanya, na nikaamua kumaliza tu degree lakini nikaapa sitalima kamwe, labda mashamba ya miti.

Sent using Jamii Forums mobile app
๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜Umenikumbusha Prof Mamilo๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜mzee yule kichaa sana
 
dolomon

dolomon

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2018
Messages
373
Points
1,000
dolomon

dolomon

JF-Expert Member
Joined Jun 5, 2018
373 1,000
Wajinga sana hao wazee, kuna kozi moja rahisi sana ila kwa vile inafundishwa na vichaa,niliichukia hadi hivi sasa, Organic Farming, Kuna Prof. Mamilo, Prof. Sibuga, Dr. Kudra na Prof. Mwatawala....!!! Sirudi tena SUA....!!! Acha waende wasiojua.
haahahahha
Sent using Jamii Forums mobile app
 
manengelo

manengelo

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2018
Messages
14,008
Points
2,000
manengelo

manengelo

JF-Expert Member
Joined Aug 13, 2018
14,008 2,000
Wajinga sana hao wazee, kuna kozi moja rahisi sana ila kwa vile inafundishwa na vichaa,niliichukia hadi hivi sasa, Organic Farming, Kuna Prof. Mamilo, Prof. Sibuga, Dr. Kudra na Prof. Mwatawala....!!! Sirudi tena SUA....!!! Acha waende wasiojua.

Sent using Jamii Forums mobile app
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.
naelewa usemayo.
 
Dharra

Dharra

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2017
Messages
1,217
Points
2,000
Dharra

Dharra

JF-Expert Member
Joined Jun 23, 2017
1,217 2,000
Hii thread imenijengea picha mbaya sana kuhusu mikakati ya nchi.
 
free lander

free lander

Senior Member
Joined
Nov 7, 2018
Messages
137
Points
225
free lander

free lander

Senior Member
Joined Nov 7, 2018
137 225
Hy demo ya Zabibu hatimaye imeandaliwa....!! Prof. Mamilo alikuwa anapinga sana kuwa hali ya hewa ya moro haifai kwa Zabibu, anyway...fact for fact.

Nilimuulizaga Dr. Rwegasira installation ya hizo screen house za pale Horticulture Unit, alichonijibu ndio kilinifanya kuwaza kitu Kingine cha kufanya, na nikaamua kumaliza tu degree lakini nikaapa sitalima kamwe, labda mashamba ya miti.

Sent using Jamii Forums mobile app
Rwegasira alikujibu nini mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Forum statistics

Threads 1,293,778
Members 497,734
Posts 31,153,262
Top