Waliosoma fani za kilimo na mifugo na Jinsi walivyotumia elimu zao mpaka sasa kujikomboa binafsi na kuleta mapinduzi kwenye sekta ya kilimo na mifugo

Hizi elimu kama tunabeti tu mkuu,si ndo hivyo? Hata lengo la kutufanya tulime kwa teknolojia zaidi ya wakulima was kawaida halipo?? Kweli tunapaswa jipanga sanaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli,kwa sababu kilimo cha kukutoa kimaisha kinahitaji pesa;wekeza pesa upate pesa.Ukiona mambo hayaeleweki kutokana na fani yako,weka vyeti chini tafuta kazi yoyote halali ya kutumia nguvu zako pamoja na uwezo wako wa kufikiri.Mfano;kusaidia watu kubeba mizigo,anzisha kibanda cha mishikaki n.k
 
Nakubaliana na wewe mkuu,maana kuna demostration plot ya zabibu hapa SUA sidhani kama mhitimu wa kawaida bila uwezeshwaji anaweza kumudu kufanya baada ya kuhitimu,it looks expensive..elimu zetu zinabaki kwenye maandishi ,,so sad

Sent using Jamii Forums mobile app
Hy demo ya Zabibu hatimaye imeandaliwa....!! Prof. Mamilo alikuwa anapinga sana kuwa hali ya hewa ya moro haifai kwa Zabibu, anyway...fact for fact.

Nilimuulizaga Dr. Rwegasira installation ya hizo screen house za pale Horticulture Unit, alichonijibu ndio kilinifanya kuwaza kitu Kingine cha kufanya, na nikaamua kumaliza tu degree lakini nikaapa sitalima kamwe, labda mashamba ya miti.

Hatari sana mkuu

Umeshaanza kujitengenezea hiyo theory hata kabla hujatoka chuo, utafanikiwa kweli? Wewe lazima utakua failure tu sababu tayari umeshatapakaza kiza kwenye safari ambayo bado hujaianza japo kwa umri huo unatakiwa tayari ujue ambition zako and how you will get there whether kwa njia rahisi au ngumu, maana yake unahitajika uwe na plan A, B, C...
 
Shukrani kwa ushauri

Binafsi wahitimu wa Kilimo na Mifugo naona kama haitendei haki nchi. Wanamaliza vyuo wengi wao hata kutengeneza tuta la mchicha wanazidiwa na wale wamama wanaozalisha mchicha Bonde la Msimbazi na pale Nyuma ya urafiki Dar. Ukimpeleka shamba ni shida kwa walio wengi.
 
Weee umesoma nn mkuu ambacho unahs unafanya kwa ufasaha zaid
Share idea zako kidg bas
Kama hutamind maana umeandika kwa dharau sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Weee umesoma nn mkuu ambacho unahs unafanya kwa ufasaha zaid
Share idea zako kidg bas
Kama hutamind maana umeandika kwa dharau sana

Sent using Jamii Forums mobile app
MIMI NI MKULIMA.NILICHOANDIKA NDOHALI HALISI. HUKU VIJIJINI UONE KAMA KUNA TOFAUTI KATI SHAMBA LA WAKULIMA WADOGO KAMA MIMI NA LA AFISA UGANI. UONE KAMA KUNA TOFAUTI KATI YA KIJIJICHENYE BWANA SHAMBA NA AMBACHO HAKINA.
 
Hy demo ya Zabibu hatimaye imeandaliwa....!! Prof. Mamilo alikuwa anapinga sana kuwa hali ya hewa ya moro haifai kwa Zabibu, anyway...fact for fact.

Nilimuulizaga Dr. Rwegasira installation ya hizo screen house za pale Horticulture Unit, alichonijibu ndio kilinifanya kuwaza kitu Kingine cha kufanya, na nikaamua kumaliza tu degree lakini nikaapa sitalima kamwe, labda mashamba ya miti.

Sent using Jamii Forums mobile app

😁😁😁😁Umenikumbusha Prof Mamilo😁😁😁mzee yule kichaa sana
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom