Waliooa wamasai tupeane changamoto na ubora wao

Kuna kipindi nilikuwa natoka na mmasai fulani hivi. Siku ya kwanza kucheza nae mechi, nashangaa ile nimeanza hata dakika 2 sina, naona mtu anaanza kulia. Nikahisi labda namuumiza, so ikabidi nisitishe zoezi kidogo. Huku namshangaa,namuuliza vipi mbona unalia, au nakuumiza?

Ajabu na yeye akawa ananishangaa,then akajibu eti alisikia wenzake wanasema ukifanya mapenzi mwanamke lazima ulie, so na yy ndio analia.
Haaàaah mkuuuuu kunywa thoda, ntalipa
 
mtoto wangu wa kike akose chura alafu akose wa kumuoa aje jf kutafuta mume.

Kwani wenye chura wote wameolewa? Halafu ni wababa wachache sana wako proud man chura za watoto wao ila wako proud sana na akili za watoto wao. Hakuna baba anayesema huyu ni binti yangu ana chura bali anasema huyu ni binti yangu Dr. au engineer m.
Halafu watoto wako wa kiume unataka wawe na akili za panzi? Maana wao hawarithi chura.
 
Very,, very wisdom
 
1. Wanaheshma
2. wanapenda kupendwa na kuheshimiwa
3. Wachapakazi/wajasiriamali wazuri
4. Wavumilivu
5. Wakarimu na wanaupendo sana lakini pia huamini kila mmasai ni ndugu yake; hivyo kama hupendi wageni wa kuja kujipumzisha nyumbani kwako fikiria vizuri
Hiyo Namba tano inaweza kuwa mtihani maana asije akaliwa Kimasihara.
 
Back
Top Bottom