Waliomuua Dr.Mgimwa hawa hapa

Waliomuua Dr.Mgimwa hawa hapa

Kumbuka uchunguzi wa kuhusu kukolimbwa kwa Kolimba, Dr Ulimboka, Mwangosi, Mabomu ya Arusha, Mabilioni ya Uswiss, Wizi wa wanyama toka mbuga za wanyama. Serikali imeoza hii ptuuuuuuu

Serikali gani ichunguze!?Labda ya Mbinguni
 
aayaaaaaaaaaas!!!!! Mungu waumbue tuu baba, maana Tanzania ina watu wabay zaid ya maharamia duuuuuh kwa hii staili ht watoa mada wajihadhari sana wasile wl kunywa kwa watu. Mmmm sijui watakua xalama? Eee Mungu walinde tu maana wamebaki wachache xana.
 
Matatizo ni pale mnapoiomba serikali ichunguze ,hivi wizi wa meno ya tembo ilichunguza hii serikali ,hivi majino kusafirishwa na ndege ya raisi wa China iligunduliwa na serikali hii,wizi wa hela ya rada(rushwa) iligundulika na serikali hii ,hata hii Escrew hivi hii serikali ndio iliogundua ,hivi tumesahau kwamba mpaka aje mzungu atuambie ndio utaona tunakurupushana
h ?
 
Kumbuka uchunguzi wa kuhusu kukolimbwa kwa Kolimba, Dr Ulimboka, Mwangosi, Mabomu ya Arusha, Mabilioni ya Uswiss, Wizi wa wanyama toka mbuga za wanyama. Serikali imeoza hii ptuuuuuuu

umesahau kifo cha Prof. Mwaikusa na dkt. Mvungi
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mwalimu alisema nanukuuu
Nangatuka lakini naendelea kuamini kuwa bila ccm makini nchi itayumba.!!!!!!
Sasa naona imepinduka cyo kuyumba
 
Nakumbika wakati wa kifo cha Mgimwa issue ya.kuuawa kwa sumu ya taratibu ikiwa linked na fedha za Escrow ilijitokeza JF. Hakuna siri chini ya anga. Mwanaye akakubali kuhongwa ubunge ili asifungue mdomo. Chumia tumbo hilo.
 
umesahau kifo cha Prof. Mwaikusa na dkt. Mvungi
prof mwaikusa aliuawa na kagame kwasababu alipokuwa anamtegea interahamwe kule arusha alisema mteja wake hatakiwi kushitakiwa kama kagame naye hashitakiwi.(its hearsay). hatuwezi kusema ccm ilimuua mwaikusa kwasababu alipigania mgombea binafsi kwasababu hata kwenye hizi katiba pendekezwa mgombea binafsi hata ccm walikubali.

mvungi, mwanzo nilijua aliuawa kwa sababu ya tanganyika, nikafuatilia sana nikagundua walikuwa vibaka majambazi wa kawaida tu. inasemekana kule alikuwa anakaa ni mbali na wenzie na watu wa huko uswahilini/mtaani kibamba wakiona shangingi la katiba linapita wanafikiri umejaza mihela mle. wale walio muua mvungi ni vibaka wa kawaida kabisa, nina uhakika from source ya uhakika. sema ndio bahati mbaya alifia kwenye coincidence.
 
= wajadiliane
.....Mmeshikwa pabaya safari hii. Yaani umeishia kurekebish maandishi tu wala huja-comment kitu.

Rudisheni hela zetu za ESCROW sasa nyie magamba na mlivyokuwa na roho ngumu memuuwa Mgimwa ili mchote mpunga.
 
ndomana wanasema kwenye siasa hakuna kitu kinacho tokea kwa bahati mbaya kila kitu ni mipango tu ndo hayo ya vifo vya wahesh , Dr, Prof nk ila ipo siku ukweli wa mambo yote utajulikana tu maana mwisho wa ubaya ni aibu na fedhea kwa wote wanayo yatekeleza hayo
 
Sasa imebainika wazi waliomuua aliyekuwa waziri wa Fedha Dr.Mgimwa.

Watuhumiwa hao walitumia ustadi na umakimi wa hali ya juu kuhakikisha kuwa huyu waziri anaondoka katika nafasi ya Waziri wa Fedha kwani anaziba mirija ya uchotaji wa fedha za Escrow. Hata mabepari hao inasemekana walianza kupiga ndogondogo kwa mkubwa (prezdaa) Mgimwa aondolewe ktk nafasi hiyo na apewe mmoja wa wabunge (ambaye amepata mgawo wa fedha hizo kwa sasa.)

Ilikuwa hivi-Kuanzia mwaka 2012 baada ya kuwa waziri wa fedha Dr.Mgimwa alianza kuandamwa na kufuatwa na mabepari hao ili wajadiriane kuhusu pesa za escrow account lakini kwa uzalendo wake alikataa katakata pesa hizo kutoka na kulipwa huyo Singasinga na Washirika wake.

Baada ya kuona kuwa ameziba kila sehemu na njama zao kugonga mwamba wauaji hao walimuwekea sumu ambayo inasemekana iliwekwa kwenye maji ya kunywa na hapo ndipo Dr.mgimwa alipatwa na ugonjwa wa ajabu na kushindikana kutibiwa hapa nchini mwisho wake wakampeleka nchini Afrika ya kusini ambapo aliugua huko kwa muda wa miezi takribani 3 akaaga dunia.

USHAHIDI wa MAUAJI HAYO
Ikumbukwe kwammba Dr.Mgimwa alipelekwa Afrrika ya Kusini kutibiwa kati ta mwezi wa august na septemba 2013 na hakurudi mzima, na huu ndiyo ulikuwa muda (sept-december 2013 ) ambao mchakato wa malipo ya fedha za ESCROW ulianza mpaka malipo yake yakafanyika.

Chanzo cha habari kinasema barua zote za kuanza nchakato wa malipo mpaka kukamilika kwa malipo hayo yalikuwa ktk kipindi hiki (sept-december,2013) ambacho Dr.Mgimwa alikuwa hayupo na baada ya kuonekana ni kigingi kwa fedha hizo kutoka.

Ndugu zangu, Fedha hizo zilichotwa kiulani kipindi Waziri wa sasa wa Fedha Saada Mkuya akiwa Naibu waziri wa Fedha,hivyo hili saga na yeye analijua vizuri sana na inasemekana wabunge wameshamwambia aachie ngazi kabla fagio lao litakapofika.

Hivyo tarehe ya kuanza kuugua na kusafirishwa kwenda Afrika Kusini na tarehe ta kuchotwa pesa za umma.
Masikini Mgimwa alijitahidi kuwatetea watanzania katika kuzuia wizi huo lakini mapepali wakamshinda,leo Mungu anawaumbua...

My take..serikali uchunguze kwa kina kifo cha Dr.mgimwa sambamba na kuchotwa fedha za Escrow

Pili,waziri wa sasa wa Fedha awajibishwe kwani anahusika kwa namna moja au nyingine.

Watanzania mtaishia kupiga kelele kwenye magazeti na kwenye mitandao huku hao mchwa wakiendelea kutafuna kodi zetu hapo ghalani(BOT). Mngekuwa mnajitambua mngeshachukua hatua kuanzia ile EPA, Kagoda, Meremeta, Richmond na sasa ESCROW. Yani mafisadi wakubwa (mafisadi papa) hawazidi 20 lakini kila mwaka wanawazidi maarifa watu mil. 45. Acheni porojo chukueni hatua kama mlivyo mil. 45.
 
uliyoyasema yanaweza kuwa kweli lakini hilo la kufanya uchunguzi wa kifo cha Mgimwa hapo hutopata jibu, kama wameshindwa kutoa jibu kwa Mwangosi alieonekana jinsi anavyouwawa watawezaje kwa Mgimwa hasa ukizingatia kama aliuwawa kwa hila
 
.....Mmeshikwa pabaya safari hii. Yaani umeishia kurekebish maandishi tu wala huja-comment kitu.

Rudisheni hela zetu za ESCROW sasa nyie magamba na mlivyokuwa na roho ngumu memuuwa Mgimwa ili mchote mpunga.

Sasa wameishia kukodoa macho kama mjusi kabanwa na mlango mpaka wengine wanaikimbia nchi kwa kisingizio cha kuumwa mabusha wakati hapo Agakhan wanafanya operation ya mabusha kama vile unaposhuka mlima Kitonga.
 
Back
Top Bottom