Waliomuua Dr.Mgimwa hawa hapa

Waliomuua Dr.Mgimwa hawa hapa

Hatimaye watu waliomuua Waziri wa zamani wa Fedha wamebainika hadharani. Imebainishwa kwamba waziri huyo aliuawa ama kwa kunyweshwa au kutiliwa sumu kwenye chakula. Kundi la watu waliomuua linajumuisha AG wa zamani anayetuhumiwa kula njama pamoja na Waziri na Naibu Waziri kutoka wizara moja inayoandamwa kwa ufisadi wa fedha za umma zilizokuwa zimefichwa kwenye benki moja inayoendeshwa na kanisa.

Inadaiwa kwamba uratibu wa zoezi la kummaliza Waziri huyo uliratibiwa na mgombea mmoja wa urais kupitia chama kikubwa cha siasa hapa nchini akilenga kuchota fedha kutoka BoT ili apate mtaji wa kupigia kampeni. Hii ni baada ya waziri huyo wa fedha kuonekana kuwa kizingiti kwa kundi hilo la kimafia ambalo lilijitahidi mara kadhaa kuchota fedha hizo bila mafanikio.

Taarifa zaidi zinadai kuwa Gavana wa sasa wa BoT pamoja na wafanyakazi waandamizi wa BoT alisaidia sana kuchotwa kwa fedha hizo za umma kwa kuwatumia wafanyakazi wa chini yake pamoja na kutumia "ushauri" wa AG wa sasa kufanikisha nia hiyo ovu.

:israel:
'
Ndiyo maana 'dogo' alikuwa mwoga sana uchunguzi usifanyike...maana vinara yawezekana walikuwa walikuwa wanamuangalia kwa kumkazia macho.
 
hamna lolote Mgimwa nishahudhuria shughuli nyingi kama mualikwa afya yake haikua sawa sawa alikua mtu ana hema sana na kumuangalia tu unahisi alikua na afya isiyo ridhisha ukichanganya na umri na zake zimefika...
 
huyu mwandishi ni keeenge jike mwenye mimba ameandika kichwa cha habari kikubwa halafu habari hamna kitu
 
Ungetumia tu JINA lako halali tuone mwisho wako na uongo wako huu

wewe mbona hujatumia jina lako halali? Cybercrime ndio jina gani? ni afadhali sisi tunaotumia initials za majina yetu halisi.
 
Last edited by a moderator:
Kwa hiyo mtoto wake anakula kupitia sanda ya baba yake! Nadhani kwa ujinga wake atakuwa anafurahia baba yake kukolimbwa ili yeye arithi nafasi.

ndivyo inavyoonekana kwani badala ya kugangamala wauaji wa baba yake wakamatwe, yeye anafunika kombe mwanakharam apite.
 
Hii habari ya UKWELI.....ESCROW monies killed Dr. Mgimwa....hata Kafulila kasema mara nyingi sana kuhusu hili...!!!!

So Tanzania, ni zaidi ya uijuavyo....TUTAFANYA MAKOSA MAKUBWA SANA KTK KATIBA PENDEKEZWA tukiipitisha, kwani ikiwa kuanzia Rais, Waziri Mkuu hawataweza KUSHTAKIWA ikiwa walifanya maovu in public offices MARA BAADA ya kustaafu ni KOSA KUBWA SANA.....

=> Haya yote yataisha ikiwa tu RASIMU YA KATIBA ya Jaji Warioba ITARUDIWA UPYA BUNGENI....!!

Mkuu, KURA yako ndio dawa pekee ya kuepukana na haya kutokea. Usipige tu na kuondoka ila hakikisha unailinda.
 
Mtuhumiwa namba moja ni wewe uliyeficha habari mpaka leo usiseme siku zote. Wewew utakuwa unawafahamu wenzako na huenda mmedhulumiana mgao. Tafadhali ungama na utueleze sababu za kuuondoa uhai wa mpendwa wetu
Sasa imebainika wazi waliomuua aliyekuwa waziri wa Fedha Dr.Mgimwa.

Watuhumiwa hao walitumia ustadi na umakimi wa hali ya juu kuhakikisha kuwa huyu waziri anaondoka katika nafasi ya Waziri wa Fedha kwani anaziba mirija ya uchotaji wa fedha za Escrow. Hata mabepari hao inasemekana walianza kupiga ndogondogo kwa mkubwa (prezdaa) Mgimwa aondolewe ktk nafasi hiyo na apewe mmoja wa wabunge (ambaye amepata mgawo wa fedha hizo kwa sasa.)

Ilikuwa hivi-Kuanzia mwaka 2012 baada ya kuwa waziri wa fedha Dr.Mgimwa alianza kuandamwa na kufuatwa na mabepari hao ili wajadiriane kuhusu pesa za escrow account lakini kwa uzalendo wake alikataa katakata pesa hizo kutoka na kulipwa huyo Singasinga na Washirika wake.

Baada ya kuona kuwa ameziba kila sehemu na njama zao kugonga mwamba wauaji hao walimuwekea sumu ambayo inasemekana iliwekwa kwenye maji ya kunywa na hapo ndipo Dr.mgimwa alipatwa na ugonjwa wa ajabu na kushindikana kutibiwa hapa nchini mwisho wake wakampeleka nchini Afrika ya kusini ambapo aliugua huko kwa muda wa miezi takribani 3 akaaga dunia.

USHAHIDI wa MAUAJI HAYO
Ikumbukwe kwammba Dr.Mgimwa alipelekwa Afrrika ya Kusini kutibiwa kati ta mwezi wa august na septemba 2013 na hakurudi mzima, na huu ndiyo ulikuwa muda (sept-december 2013 ) ambao mchakato wa malipo ya fedha za ESCROW ulianza mpaka malipo yake yakafanyika.

Chanzo cha habari kinasema barua zote za kuanza nchakato wa malipo mpaka kukamilika kwa malipo hayo yalikuwa ktk kipindi hiki (sept-december,2013) ambacho Dr.Mgimwa alikuwa hayupo na baada ya kuonekana ni kigingi kwa fedha hizo kutoka.

Ndugu zangu, Fedha hizo zilichotwa kiulani kipindi Waziri wa sasa wa Fedha Saada Mkuya akiwa Naibu waziri wa Fedha,hivyo hili saga na yeye analijua vizuri sana na inasemekana wabunge wameshamwambia aachie ngazi kabla fagio lao litakapofika.

Hivyo tarehe ya kuanza kuugua na kusafirishwa kwenda Afrika Kusini na tarehe ta kuchotwa pesa za umma.
Masikini Mgimwa alijitahidi kuwatetea watanzania katika kuzuia wizi huo lakini mapepali wakamshinda,leo Mungu anawaumbua...

My take..serikali uchunguze kwa kina kifo cha Dr.mgimwa sambamba na kuchotwa fedha za Escrow

Pili,waziri wa sasa wa Fedha awajibishwe kwani anahusika kwa namna moja au nyingine.
 
Unatambua uzito wa uliloliandika? Umesema hawa hapa, wako wapi sasa?
walianza kupiga ndogondogo kwa mkubwa (prezdaa) Mgimwa aondolewe ktk nafasi hiyo na apewe mmoja wa wabunge (ambaye amepata mgawo wa fedha hizo kwa sasa.)[
Pili,waziri wa sasa wa Fedha awajibishwe kwani anahusika kwa namna moja au nyingine./QUOTE]

usijifanye huwajui
hata Habinder Sigh (Kalasinga) anayemwagia Kova Check ya ESCROW humjui
au waliomtembelea Hospitalini kule Bondeni huwajui
mbona unataka kutuongezea machungu km wenzako wakina pendolyimo na wenzake walivyomshambulia Mh Kafulila bado mpo humu JF?
 
Last edited by a moderator:
]Sasa imebainika wazi waliomuua aliyekuwa waziri wa Fedha Dr.Mgimwa.

Watuhumiwa hao walitumia ustadi na umakimi wa hali ya juu kuhakikisha kuwa huyu waziri anaondoka katika nafasi ya Waziri wa Fedha kwani anaziba mirija ya uchotaji wa fedha za Escrow. Hata mabepari hao inasemekana walianza kupiga ndogondogo kwa mkubwa (prezdaa) Mgimwa aondolewe ktk nafasi hiyo na apewe mmoja wa wabunge (ambaye amepata mgawo wa fedha hizo kwa sasa.)

Ilikuwa hivi-Kuanzia mwaka 2012 baada ya kuwa waziri wa fedha Dr.Mgimwa alianza kuandamwa na kufuatwa na mabepari hao ili wajadiriane kuhusu pesa za escrow account lakini kwa uzalendo wake alikataa katakata pesa hizo kutoka na kulipwa huyo Singasinga na Washirika wake.

Baada ya kuona kuwa ameziba kila sehemu na njama zao kugonga mwamba wauaji hao walimuwekea sumu ambayo inasemekana iliwekwa kwenye maji ya kunywa na hapo ndipo Dr.mgimwa alipatwa na ugonjwa wa ajabu na kushindikana kutibiwa hapa nchini mwisho wake wakampeleka nchini Afrika ya kusini ambapo aliugua huko kwa muda wa miezi takribani 3 akaaga dunia.

🙊USHAHIDI wa MAUAJI HAYO🙈
Ikumbukwe kwammba Dr.Mgimwa alipelekwa Afrrika ya Kusini kutibiwa kati ta mwezi wa august na septemba 2013 na hakurudi mzima, na huu ndiyo ulikuwa muda (sept-december 2013 ) ambao mchakato wa malipo ya fedha za ESCROW ulianza mpaka malipo yake yakafanyika.

Chanzo cha habari kinasema barua zote za kuanza nchakato wa malipo mpaka kukamilika kwa malipo hayo yalikuwa ktk kipindi hiki (sept-december,2013) ambacho Dr.Mgimwa alikuwa hayupo na baada ya kuonekana ni kigingi kwa fedha hizo kutoka.

Ndugu zangu, Fedha hizo zilichotwa kiulani kipindi Waziri wa sasa wa Fedha Saada Mkuya akiwa Naibu waziri wa Fedha,hivyo hili saga na yeye analijua vizuri sana na inasemekana wabunge wameshamwambia aachie ngazi kabla fagio lao litakapofika.

Hivyo tarehe ya kuanza kuugua na kusafirishwa kwenda Afrika Kusini na tarehe ta kuchotwa pesa za umma.
Masikini Mgimwa alijitahidi kuwatetea watanzania katika kuzuia wizi huo lakini mapepali wakamshinda,leo Mungu anawaumbua...

My take..serikali uchunguze kwa kina kifo cha Dr.mgimwa sambamba na kuchotwa fedha za Escrow

Pili,waziri wa sasa wa Fedha awajibishwe kwani anahusika kwa namna moja au nyingine.[/
 
Dingi anauawa mtoto unapewa rambirambi ya ubunge.
Yaani ningehakikisha lazima nitoe watu duniani

Yule dogo sijuwi alikuwa anaombea mzazi wake afe hajaonesha angetulia tu bunge lipitishe azimio la kuchunguza kifo cha baba yake mtoto bwenge kweli naye lazima aje afe kama baba yake maana hana huzuni wala huruma na mzazi wake
 
Sasa imebainika wazi waliomuua aliyekuwa waziri wa Fedha Dr.Mgimwa.

Hivyo tarehe ya kuanza kuugua na kusafirishwa kwenda Afrika Kusini na tarehe ta kuchotwa pesa za umma.
Masikini Mgimwa alijitahidi kuwatetea watanzania katika kuzuia wizi huo lakini mapepali wakamshinda,leo Mungu anawaumbua...

My take..serikali uchunguze kwa kina kifo cha Dr.mgimwa sambamba na kuchotwa fedha za Escrow
Duh...!.
P
 
Ukianza kula nyama ya Binadamu huachi... ni sawa na watumia Tigo!
 
Sasa imebainika wazi waliomuua aliyekuwa waziri wa Fedha Dr.Mgimwa.

Watuhumiwa hao walitumia ustadi na umakimi wa hali ya juu kuhakikisha kuwa huyu waziri anaondoka katika nafasi ya Waziri wa Fedha kwani anaziba mirija ya uchotaji wa fedha za Escrow. Hata mabepari hao inasemekana walianza kupiga ndogondogo kwa mkubwa (prezdaa) Mgimwa aondolewe ktk nafasi hiyo na apewe mmoja wa wabunge (ambaye amepata mgawo wa fedha hizo kwa sasa.)

Ilikuwa hivi-Kuanzia mwaka 2012 baada ya kuwa waziri wa fedha Dr.Mgimwa alianza kuandamwa na kufuatwa na mabepari hao ili wajadiriane kuhusu pesa za escrow account lakini kwa uzalendo wake alikataa katakata pesa hizo kutoka na kulipwa huyo Singasinga na Washirika wake.

Baada ya kuona kuwa ameziba kila sehemu na njama zao kugonga mwamba wauaji hao walimuwekea sumu ambayo inasemekana iliwekwa kwenye maji ya kunywa na hapo ndipo Dr.mgimwa alipatwa na ugonjwa wa ajabu na kushindikana kutibiwa hapa nchini mwisho wake wakampeleka nchini Afrika ya kusini ambapo aliugua huko kwa muda wa miezi takribani 3 akaaga dunia.

🙊USHAHIDI wa MAUAJI HAYO🙈
Ikumbukwe kwammba Dr.Mgimwa alipelekwa Afrrika ya Kusini kutibiwa kati ta mwezi wa august na septemba 2013 na hakurudi mzima, na huu ndiyo ulikuwa muda (sept-december 2013 ) ambao mchakato wa malipo ya fedha za ESCROW ulianza mpaka malipo yake yakafanyika.

Chanzo cha habari kinasema barua zote za kuanza nchakato wa malipo mpaka kukamilika kwa malipo hayo yalikuwa ktk kipindi hiki (sept-december,2013) ambacho Dr.Mgimwa alikuwa hayupo na baada ya kuonekana ni kigingi kwa fedha hizo kutoka.

Ndugu zangu, Fedha hizo zilichotwa kiulani kipindi Waziri wa sasa wa Fedha Saada Mkuya akiwa Naibu waziri wa Fedha,hivyo hili saga na yeye analijua vizuri sana na inasemekana wabunge wameshamwambia aachie ngazi kabla fagio lao litakapofika.

Hivyo tarehe ya kuanza kuugua na kusafirishwa kwenda Afrika Kusini na tarehe ta kuchotwa pesa za umma.
Masikini Mgimwa alijitahidi kuwatetea watanzania katika kuzuia wizi huo lakini mapepali wakamshinda,leo Mungu anawaumbua...

My take..serikali uchunguze kwa kina kifo cha Dr.mgimwa sambamba na kuchotwa fedha za Escrow

Pili,waziri wa sasa wa Fedha awajibishwe kwani anahusika kwa namna moja au nyingine.
sasa mbona hukuwataja hao waliomuua mgimwa?

Sent from my CPH2371 using JamiiForums mobile app
 
Yule mtoto wake walimpa u ubunge yupo wapi siku hizi?
 
Back
Top Bottom