Waliomuua Dr.Mgimwa hawa hapa

Waliomuua Dr.Mgimwa hawa hapa

Na huyo aliyemteua Saada ambae amekamilisha huo wizi wa kutisha ni miongoni mwa wezi?.
Maana lisemwalo lipo kwani wanamtandao waliomleta ikulu kuna fununu wanahusika na kifo cha baba wa taifa.
Tangia baba wa taifa kufa mikataba ya kiuwekezaji sasa imekuwa ni siri ya mwekezaji na hili genge la majambazi wauaji yanayojificha kwenye mgongo wa serikali.
Watanzania hatutalala sasa usiku na mchana hadi Mungu ametupa ukombozi dhidi ya hawa mayuda iskariote wa uhuru wa kwanza kutoka kwa mkoloni.
Kwa mkoloni mweupe tulimwondoa bila kumwaga damu na huyu mkoloni mweusi mwenzetu aondoke hivyo hivyo ila akilazimisha tupo tayari kumwaga damu ili vizazi vijavto visaziwe urithi.
.
 
.. ...za kuambiwa changanya na zako acha uvivu wa kufiria!

Sawa.. ewe kinara wa kufikiri. Tuhuma nzito zinatetewa na hoja nzito hata mahakamani. Mathalani jamaa kaandika...walimuwekea sumu inasemekana kwenye maji ya kunywa.We unaona iko poa tu hiyo?
Na edit hilo neno "kufiria" bwana.
 
Kuna mwandishi mmoja wa hadithi kwa Jina Mohamed ... kutoka visiwani hodari sana wa kuandika kuhusiana na upelelezi.
Habari hii inajaribu kuhusisha mfululizo wa matukio na kifo cha waziri Mgimwa. Inashawishi.

Kwa taarifa za chini chini jamaa anaandaa makala ya jicho pevu kuhusu swala la escrow,si unajua anavyonza lazima swala la mgimwa lianze.

"July mwaka 2013 aliyekuwa waziri wa fedha wa tz mh dr mgimwa alianza kusumbuliwa na ......." (In Mohamed Ali tone)

Cc: Mohammed Ali.
 
Last edited by a moderator:
... Nasisi Tuwaue Hao Wezi Wauaji. Je Waliomuua Dr Mvungi?
 
wewe utakuwa umetoka msalani hayo majina yako wapi
 
Serikali ya ccm ndio imemuua dr.mgimwa kama ilivyokusudia kumuua nimrod mkono.
hivi Mzee Nimrod mkono anaendeleaje mkuu ccm ni watu hatari sana ukiwa mkweli maisha yako yanakuwa hatarini inasikitisha sana pole sana mzee nimrod mkono ukipona usirudi tena ccm karibu CDM
 
Pamoja na kesi ya kuiba wafunguliwe kesi ya kuua(Mgimwa) na kukusudia kuua(Mkono).
 
Boardwalk Empire = Ikulu Empire....casualties of war. Who is Enock Thomson?... a mason behind the blue print?
 
Sasa imebainika wazi waliomuua aliyekuwa waziri wa Fedha Dr.Mgimwa.

Watuhumiwa hao walitumia ustadi na umakimi wa hali ya juu kuhakikisha kuwa huyu waziri anaondoka katika nafasi ya Waziri wa Fedha kwani anaziba mirija ya uchotaji wa fedha za Escrow. Hata mabepari hao inasemekana walianza kupiga ndogondogo kwa mkubwa (prezdaa) Mgimwa aondolewe ktk nafasi hiyo na apewe mmoja wa wabunge (ambaye amepata mgawo wa fedha hizo kwa sasa.)

Ilikuwa hivi-Kuanzia mwaka 2012 baada ya kuwa waziri wa fedha Dr.Mgimwa alianza kuandamwa na kufuatwa na mabepari hao ili wajadiriane kuhusu pesa za escrow account lakini kwa uzalendo wake alikataa katakata pesa hizo kutoka na kulipwa huyo Singasinga na Washirika wake.

Baada ya kuona kuwa ameziba kila sehemu na njama zao kugonga mwamba wauaji hao walimuwekea sumu ambayo inasemekana iliwekwa kwenye maji ya kunywa na hapo ndipo Dr.mgimwa alipatwa na ugonjwa wa ajabu na kushindikana kutibiwa hapa nchini mwisho wake wakampeleka nchini Afrika ya kusini ambapo aliugua huko kwa muda wa miezi takribani 3 akaaga dunia.

USHAHIDI wa MAUAJI HAYO
Ikumbukwe kwammba Dr.Mgimwa alipelekwa Afrrika ya Kusini kutibiwa kati ta mwezi wa august na septemba 2013 na hakurudi mzima, na huu ndiyo ulikuwa muda (sept-december 2013 ) ambao mchakato wa malipo ya fedha za ESCROW ulianza mpaka malipo yake yakafanyika.

Chanzo cha habari kinasema barua zote za kuanza nchakato wa malipo mpaka kukamilika kwa malipo hayo yalikuwa ktk kipindi hiki (sept-december,2013) ambacho Dr.Mgimwa alikuwa hayupo na baada ya kuonekana ni kigingi kwa fedha hizo kutoka.

Ndugu zangu, Fedha hizo zilichotwa kiulani kipindi Waziri wa sasa wa Fedha Saada Mkuya akiwa Naibu waziri wa Fedha,hivyo hili saga na yeye analijua vizuri sana na inasemekana wabunge wameshamwambia aachie ngazi kabla fagio lao litakapofika.

Hivyo tarehe ya kuanza kuugua na kusafirishwa kwenda Afrika Kusini na tarehe ta kuchotwa pesa za umma.
Masikini Mgimwa alijitahidi kuwatetea watanzania katika kuzuia wizi huo lakini mapepali wakamshinda,leo Mungu anawaumbua...

My take..serikali uchunguze kwa kina kifo cha Dr.mgimwa sambamba na kuchotwa fedha za Escrow

Pili,waziri wa sasa wa Fedha awajibishwe kwani anahusika kwa namna moja au nyingine.


Connect the dots with Dr Mvungi's death, he was his Lawyer, had all his documents…….
 
Kwa taarifa za chini chini jamaa anaandaa makala ya jicho pevu kuhusu swala la escrow,si unajua anavyonza lazima swala la mgimwa lianze.

"July mwaka 2013 aliyekuwa waziri wa fedha wa tz mh dr mgimwa alianza kusumbuliwa na ......." (In Mohamed Ali tone)

Cc: Mohammed Ali.
King kong III, umelenga haswa
 
.... Mkuu, Kusoma Hujui Hata Picha Huoni? Acha Ukiraza Siyo Mpaka Utafuniwe Kila Kitu. Shugurisha Akili Yako
kuna picha gani umeweka hapa unasema sioni acha porojo dogo
 
Tetesi za muda mrefu kuwa walimuua na kumpa mwanae ubunge kama kifuta machozi
 
R.I.P. Mginwa. wacha tuendelee kupambana na hii midubwasha japo inatuzidi kwa kila mbinu maana inatumia fedha kwa kila action
 
Back
Top Bottom