Waliomuua Dr.Mgimwa hawa hapa

Waliomuua Dr.Mgimwa hawa hapa

Basi ni hivyo, kila mtu miongoni mwetu atatoa habari zake mwenyewe mbele za Mungu; Mhukumu mwenye haki siku ile ikifika.
 
Kwahiyo ulitaka akifanya uchunguzi binafsi aitishe press conference? BTW yumo humu JF

..kama yumo humu Mgimwa Jr ni vema sana akatusoma...ni ushauri tu kuwa aanze mara moja uchunguzi wa kifo cha baba yake....maana tayari mazingira yanaonyesha kabisa kifo hiki hakikuwa just coincidence na wizi huu.....Ni ushari tu afanye uchunguzi kwa kutumia wataalam wa nje (forensic experts)....hakika ukweli ataujua....ila asitumie vyombo vya TZ..maana huwezi kutegemea watuhumiwa wawe tena wachunguzi....Itakua kama ile ya Dr.Mwakyembe na kubabuliwa ngozi....
 
Kwan na mwanae anahusika? Kumbe ni mbunge wa kufadhiliwa na esikorow
 
Hili genge la mafisadi Bongo nalifananisha na Sicily mafioso conspiracy ya miaka ya 40, 50, 60, na 70.
 
Kwa taarifa za chini chini jamaa anaandaa makala ya jicho pevu kuhusu swala la escrow,si unajua anavyonza lazima swala la mgimwa lianze.

"July mwaka 2013 aliyekuwa waziri wa fedha wa tz mh dr mgimwa alianza kusumbuliwa na ......." (In Mohamed Ali tone)

Cc: Mohammed Ali.

Hahahaa haaaa
Hyu mtu nampenda!

Hivi anaruhusiwa kuchunguza habari ambazo c za nchi yake
 
Last edited by a moderator:
Akina Werema wanaita wenzao tumbili akifikiri hataumbuka. Sasa tuone nani tumbili halisi
 
Sasa imebainika wazi waliomuua aliyekuwa waziri wa Fedha Dr.Mgimwa.

Watuhumiwa hao walitumia ustadi na umakimi wa hali ya juu kuhakikisha kuwa huyu waziri anaondoka katika nafasi ya Waziri wa Fedha kwani anaziba mirija ya uchotaji wa fedha za Escrow. Hata mabepari hao inasemekana walianza kupiga ndogondogo kwa mkubwa (prezdaa) Mgimwa aondolewe ktk nafasi hiyo na apewe mmoja wa wabunge (ambaye amepata mgawo wa fedha hizo kwa sasa.)

Ilikuwa hivi-Kuanzia mwaka 2012 baada ya kuwa waziri wa fedha Dr.Mgimwa alianza kuandamwa na kufuatwa na mabepari hao ili wajadiriane kuhusu pesa za escrow account lakini kwa uzalendo wake alikataa katakata pesa hizo kutoka na kulipwa huyo Singasinga na Washirika wake.

Baada ya kuona kuwa ameziba kila sehemu na njama zao kugonga mwamba wauaji hao walimuwekea sumu ambayo inasemekana iliwekwa kwenye maji ya kunywa na hapo ndipo Dr.mgimwa alipatwa na ugonjwa wa ajabu na kushindikana kutibiwa hapa nchini mwisho wake wakampeleka nchini Afrika ya kusini ambapo aliugua huko kwa muda wa miezi takribani 3 akaaga dunia.

🙊USHAHIDI wa MAUAJI HAYO🙈
Ikumbukwe kwammba Dr.Mgimwa alipelekwa Afrrika ya Kusini kutibiwa kati ta mwezi wa august na septemba 2013 na hakurudi mzima, na huu ndiyo ulikuwa muda (sept-december 2013 ) ambao mchakato wa malipo ya fedha za ESCROW ulianza mpaka malipo yake yakafanyika.

Chanzo cha habari kinasema barua zote za kuanza nchakato wa malipo mpaka kukamilika kwa malipo hayo yalikuwa ktk kipindi hiki (sept-december,2013) ambacho Dr.Mgimwa alikuwa hayupo na baada ya kuonekana ni kigingi kwa fedha hizo kutoka.

Ndugu zangu, Fedha hizo zilichotwa kiulani kipindi Waziri wa sasa wa Fedha Saada Mkuya akiwa Naibu waziri wa Fedha,hivyo hili saga na yeye analijua vizuri sana na inasemekana wabunge wameshamwambia aachie ngazi kabla fagio lao litakapofika.

Hivyo tarehe ya kuanza kuugua na kusafirishwa kwenda Afrika Kusini na tarehe ta kuchotwa pesa za umma.
Masikini Mgimwa alijitahidi kuwatetea watanzania katika kuzuia wizi huo lakini mapepali wakamshinda,leo Mungu anawaumbua...

My take..serikali uchunguze kwa kina kifo cha Dr.mgimwa sambamba na kuchotwa fedha za Escrow

Pili,waziri wa sasa wa Fedha awajibishwe kwani anahusika kwa namna moja au nyingine.

Akiwa hoi mahututi south alipelekewa documents azisaini hili halijawahi kusemwa popote lakini muda muafaka utakapofika kila kitu kitakuwa hadharani peupe, Mgimwa aliuwa, Mkono kakoswakoswa ilikuwa afe kama mgimwa wengine wako kwenye list ni Mungu pekee atakayewanusuru, tutashuhudia mengi ikiwemo vifo vya ghafla na watu kutoweka kabla escrow haijafumuliwa yote!!!! Myakumbuke maneno yangu haya
 
Loh! baada ya kuua baba mtoto anapewa rambirambi ya ubunge, na kama yuko makini kichwani bora aachie huo ubunge aende akafanye yake, ccm noma sana walimsimamisha kwenye majukwaa kupiga kampeni hata 40 hajamaliza pole kwa wafiwa.

Sijui huyo dogo anajisikiaje anaposoma haya. Lakini mimi ninaogopa sana kwakuwa haya mambo hayatapita kiilaini. Iko siku kila kitu kitakuwa wazi na ndpo kinachoitwa amani na utulivu kitakapopukutika na watu kujitia matendo yao maovu. Mungu hadhihakiwi. Itakuwa ni aibu kubwa.
 
Dingi anauawa mtoto unapewa rambirambi ya ubunge.
Yaani ningehakikisha lazima nitoe watu duniani
 
...Dr.mgimwa hakufa kwa coincidence kipindi pesa hii zinachotwa......yote yalipangwa....Dr.Mgmwa kwa uzalendo wake asingekubaliana na wezi hawa...na walilijua hili wakamfanya walivyomfanya.....Kitu kinachosikitisha sana ni kuona mtoto wake akifanywa pa kutokea....Hadi sasa kwa mazingira haya na jinsi kifo cha mzee kilivyotokea nilitegemea mtoto wake mbunge awe ameshaanzisha uchunguzi binafsi wa kifo cha baba yake....lakini naona dogo amelemaa na ubunge wa kupewa...Inasikitisha sana....

Jamani huyu dogo alishasema hataki mjadala wa kifo cha baba yake. Wewe chezea kitu pesa.
 
Back
Top Bottom