Waliomuua Dr.Mgimwa hawa hapa

Waliomuua Dr.Mgimwa hawa hapa

Majangili wameua tembo .....sasa wamemuua mpaka waziri.......naichukia ccm mpaka nakufa
 
Sasa imebainika wazi waliomuua aliyekuwa waziri wa Fedha Dr.Mgimwa.

Watuhumiwa hao walitumia ustadi na umakimi wa hali ya juu kuhakikisha kuwa huyu waziri anaondoka katika nafasi ya Waziri wa Fedha kwani anaziba mirija ya uchotaji wa fedha za Escrow. Hata mabepari hao inasemekana walianza kupiga ndogondogo kwa mkubwa (prezdaa) Mgimwa aondolewe ktk nafasi hiyo na apewe mmoja wa wabunge (ambaye amepata mgawo wa fedha hizo kwa sasa.)

Ilikuwa hivi-Kuanzia mwaka 2012 baada ya kuwa waziri wa fedha Dr.Mgimwa alianza kuandamwa na kufuatwa na mabepari hao ili wajadiriane kuhusu pesa za escrow account lakini kwa uzalendo wake alikataa katakata pesa hizo kutoka na kulipwa huyo Singasinga na Washirika wake.

Baada ya kuona kuwa ameziba kila sehemu na njama zao kugonga mwamba wauaji hao walimuwekea sumu ambayo inasemekana iliwekwa kwenye maji ya kunywa na hapo ndipo Dr.mgimwa alipatwa na ugonjwa wa ajabu na kushindikana kutibiwa hapa nchini mwisho wake wakampeleka nchini Afrika ya kusini ambapo aliugua huko kwa muda wa miezi takribani 3 akaaga dunia.

🙊USHAHIDI wa MAUAJI HAYO🙈
Ikumbukwe kwammba Dr.Mgimwa alipelekwa Afrrika ya Kusini kutibiwa kati ta mwezi wa august na septemba 2013 na hakurudi mzima, na huu ndiyo ulikuwa muda (sept-december 2013 ) ambao mchakato wa malipo ya fedha za ESCROW ulianza mpaka malipo yake yakafanyika.

Chanzo cha habari kinasema barua zote za kuanza nchakato wa malipo mpaka kukamilika kwa malipo hayo yalikuwa ktk kipindi hiki (sept-december,2013) ambacho Dr.Mgimwa alikuwa hayupo na baada ya kuonekana ni kigingi kwa fedha hizo kutoka.

Ndugu zangu, Fedha hizo zilichotwa kiulani kipindi Waziri wa sasa wa Fedha Saada Mkuya akiwa Naibu waziri wa Fedha,hivyo hili saga na yeye analijua vizuri sana na inasemekana wabunge wameshamwambia aachie ngazi kabla fagio lao litakapofika.

Hivyo tarehe ya kuanza kuugua na kusafirishwa kwenda Afrika Kusini na tarehe ta kuchotwa pesa za umma.
Masikini Mgimwa alijitahidi kuwatetea watanzania katika kuzuia wizi huo lakini mapepali wakamshinda,leo Mungu anawaumbua...

My take..serikali uchunguze kwa kina kifo cha Dr.mgimwa sambamba na kuchotwa fedha za Escrow

Pili,waziri wa sasa wa Fedha awajibishwe kwani anahusika kwa namna moja au nyingine.

sawa kafilulila nimekuelewa
 
Naambiwa kila ombi la kifisadi lilipoletwa kwake alikuwa anajibu " utaratibu unasemaje?" Akabatizwa jina " bwana utaratibu". Sheria ya manunuzi ya PPRA alishauri italeta urasimu tu na si ufanisi wakamwona ni kikwazo, matokeo tunayaona. The fact he was murdered is no longer a theory, it is a fact. The south africans have all the facts!
 
ni alfajiri ya leo nashuka daladalani kuingia kwa mama ntilie kupasha utumbo.
Ghafla anatokea mtizi meee,kwa furaha anauliza umeyasikia majina ya jana?
Kabla sijajibu akaongeza fulani na fulani ndio walihusika kuwatuma kina papii wa organise kum-poison-marehemu mgimwa(aliyekuwa waziri wa fedha).nikamjibu alaahh kumbe?
Akaongeza, tena siku hizi mungu yuko bize adhabu nyingine ni hapahapa duniani.
Wakati huo mama ntilie tayari keshatuletea staftahi,nae akadakia hii ni danganya toto tuu,majina yatatajwa halafu itapigwa danadana kama ilivyokuwa epa,na fisadi nyingine nyingine;mtizi meee akamkatisha,kwa sauti wee mama huelewi,katika hili la escrow ''kuna damu za watu'' walimuua mgimwa kwani walimuona ni kauzibe wa kupitisha mambo yao.kimya kikuu kikatawala nikamaliza chai yangu ya rangi nikatimua.
 
Tangu jambo hili lilipoanza kuvuka moshi wengi wskishasema jambo hili la kifo ya huyo wsziri wa fedha!

Tutasikia na kuona mengi!
 
Tangu jambo hili lilipoanza kuvuka moshi wengi walishasema jambo hili la kifo ya huyo waziri wa fedha!

Tutasikia na kuona mengi!
 
ni alfajiri ya leo 27/11/2014 nashuka daladalani kuingia kwa mama ntilie kupasha utumbo.
ghafla anatokea mtizi meee,kwa furaha anauliza umeyasikia majina ya jana?
kabla sijajibu akaongeza fulani na fulani ndio walihusika kuwatuma kina papii wa organise kum-poison-marehemu mgimwa(aliyekuwa waziri wa fedha).nikamjibu alaahh kumbe?
akaongeza, tena siku hizi mungu yuko bize adhabu nyingine ni hapahapa duniani.
wakati huo mama ntilie tayari keshatuletea staftahi,nae akadakia hii ni danganya toto tuu,majina yatatajwa halafu itapigwa danadana kama ilivyokuwa epa,na fisadi nyingine nyingine;mtizi meee akamkatisha,kwa sauti wee mama huelewi,katika hili la escrow ''kuna damu za watu'' walimuua mgimwa kwani walimuona ni kauzibe wa kupitisha mambo yao.kimya kikuu kikatawala nikamaliza chai yangu ya rangi nikatimua.
 
na ndio kisa na maana waziri huyu wa fedha anatetea kwa sa kwanga yeye kala mgao kwa jina bandia
 
hii nchi ina mambo.mengi sana yaliyojificha .pindi yatakapobainika Tanzania haitakua mahali salama.Mungu tubariki Mungu ibariki Tanzania
 
ndo maana ili kufunika soo wakamtafuta kijana wake aje arithi mikoba ya ubunge kalenga,

Kwa hiyo mtoto wake anakula kupitia sanda ya baba yake! Nadhani kwa ujinga wake atakuwa anafurahia baba yake kukolimbwa ili yeye arithi nafasi.
 
Hatimaye watu waliomuua Waziri wa zamani wa Fedha wamebainika hadharani. Imebainishwa kwamba waziri huyo aliuawa ama kwa kunyweshwa au kutiliwa sumu kwenye chakula. Kundi la watu waliomuua linajumuisha AG wa zamani anayetuhumiwa kula njama pamoja na Waziri na Naibu Waziri kutoka wizara moja inayoandamwa kwa ufisadi wa fedha za umma zilizokuwa zimefichwa kwenye benki moja inayoendeshwa na kanisa.

Inadaiwa kwamba uratibu wa zoezi la kummaliza Waziri huyo uliratibiwa na mgombea mmoja wa urais kupitia chama kikubwa cha siasa hapa nchini akilenga kuchota fedha kutoka BoT ili apate mtaji wa kupigia kampeni. Hii ni baada ya waziri huyo wa fedha kuonekana kuwa kizingiti kwa kundi hilo la kimafia ambalo lilijitahidi mara kadhaa kuchota fedha hizo bila mafanikio.

Taarifa zaidi zinadai kuwa Gavana wa sasa wa BoT pamoja na wafanyakazi waandamizi wa BoT alisaidia sana kuchotwa kwa fedha hizo za umma kwa kuwatumia wafanyakazi wa chini yake pamoja na kutumia "ushauri" wa AG wa sasa kufanikisha nia hiyo ovu.

:israel:
 
Back
Top Bottom