Waliomuua Dr.Mgimwa hawa hapa

Waliomuua Dr.Mgimwa hawa hapa

prof mwaikusa aliuawa na kagame kwasababu alipokuwa anamtegea interahamwe kule arusha alisema mteja wake hatakiwi kushitakiwa kama kagame naye hashitakiwi.(its hearsay). hatuwezi kusema ccm ilimuua mwaikusa kwasababu alipigania mgombea binafsi kwasababu hata kwenye hizi katiba pendekezwa mgombea binafsi hata ccm walikubali.

mvungi, mwanzo nilijua aliuawa kwa sababu ya tanganyika, nikafuatilia sana nikagundua walikuwa vibaka majambazi wa kawaida tu. inasemekana kule alikuwa anakaa ni mbali na wenzie na watu wa huko uswahilini/mtaani kibamba wakiona shangingi la katiba linapita wanafikiri umejaza mihela mle. wale walio muua mvungi ni vibaka wa kawaida kabisa, nina uhakika from source ya uhakika. sema ndio bahati mbaya alifia kwenye coincidence.

Wewe ni CCM nini!!!! Unajitahid kutetea
 
Hao Mgimwa waliobaki na kupewa pipi watulie wanajua hili? Na kama walijua kipindi hicho, walimuuza baba/kaka yao? Na kama wamejua sasa, ni hatua gani watachukuwa? Kweli kufa kufaana. Woote Mgimwas ni manyang'au kasoro marehemu. Mungu amrehemu huyo shujaa ambaye hakusikika.
 
prof mwaikusa aliuawa na kagame kwasababu alipokuwa anamtegea interahamwe kule arusha alisema mteja wake hatakiwi kushitakiwa kama kagame naye hashitakiwi.(its hearsay). hatuwezi kusema ccm ilimuua mwaikusa kwasababu alipigania mgombea binafsi kwasababu hata kwenye hizi katiba pendekezwa mgombea binafsi hata ccm walikubali.

mvungi, mwanzo nilijua aliuawa kwa sababu ya tanganyika, nikafuatilia sana nikagundua walikuwa vibaka majambazi wa kawaida tu. inasemekana kule alikuwa anakaa ni mbali na wenzie na watu wa huko uswahilini/mtaani kibamba wakiona shangingi la katiba linapita wanafikiri umejaza mihela mle. wale walio muua mvungi ni vibaka wa kawaida kabisa, nina uhakika from source ya uhakika. sema ndio bahati mbaya alifia kwenye coincidence.

Peleka kichaa huko,unaongea uharo mtupu kama bata anaeharisha,ptuuuu!
 
.....Mmeshikwa pabaya safari hii. Yaani umeishia kurekebish maandishi tu wala huja-comment kitu.

Rudisheni hela zetu za ESCROW sasa nyie magamba na mlivyokuwa na roho ngumu memuuwa Mgimwa ili mchote mpunga.

Rudia nyuzi uone.

Sioni cha maana, naona ni kama vile mchezo wa kuigiza tu. Uongo mwingi unasambazwa kwa sasa kuliko ukweli. Subiri ripoti rasmi.
 
MaCCM kuua ndio mkakati wao, ndio maana Dr. Omari alipokuwa akielekea kuwa Rais wa awamu hii baada ya Ben, wakaenda kumvizia kwenye uwanja wa maonesho ya sabasaba alikokuwa mgeni rasmi na kumpa juisi yenye sumu ambayo ilimuua masaa nane baadaye.
Ova
 
Sasa imebainika wazi waliomuua aliyekuwa waziri wa Fedha Dr.Mgimwa.

Watuhumiwa hao walitumia ustadi na umakimi wa hali ya juu kuhakikisha kuwa huyu waziri anaondoka katika nafasi ya Waziri wa Fedha kwani anaziba mirija ya uchotaji wa fedha za Escrow. Hata mabepari hao inasemekana walianza kupiga ndogondogo kwa mkubwa (prezdaa) Mgimwa aondolewe ktk nafasi hiyo na apewe mmoja wa wabunge (ambaye amepata mgawo wa fedha hizo kwa sasa.)

Ilikuwa hivi-Kuanzia mwaka 2012 baada ya kuwa waziri wa fedha Dr.Mgimwa alianza kuandamwa na kufuatwa na mabepari hao ili wajadiriane kuhusu pesa za escrow account lakini kwa uzalendo wake alikataa katakata pesa hizo kutoka na kulipwa huyo Singasinga na Washirika wake.

Baada ya kuona kuwa ameziba kila sehemu na njama zao kugonga mwamba wauaji hao walimuwekea sumu ambayo inasemekana iliwekwa kwenye maji ya kunywa na hapo ndipo Dr.mgimwa alipatwa na ugonjwa wa ajabu na kushindikana kutibiwa hapa nchini mwisho wake wakampeleka nchini Afrika ya kusini ambapo aliugua huko kwa muda wa miezi takribani 3 akaaga dunia.

🙊USHAHIDI wa MAUAJI HAYO🙈
Ikumbukwe kwammba Dr.Mgimwa alipelekwa Afrrika ya Kusini kutibiwa kati ta mwezi wa august na septemba 2013 na hakurudi mzima, na huu ndiyo ulikuwa muda (sept-december 2013 ) ambao mchakato wa malipo ya fedha za ESCROW ulianza mpaka malipo yake yakafanyika.

Chanzo cha habari kinasema barua zote za kuanza nchakato wa malipo mpaka kukamilika kwa malipo hayo yalikuwa ktk kipindi hiki (sept-december,2013) ambacho Dr.Mgimwa alikuwa hayupo na baada ya kuonekana ni kigingi kwa fedha hizo kutoka.

Ndugu zangu, Fedha hizo zilichotwa kiulani kipindi Waziri wa sasa wa Fedha Saada Mkuya akiwa Naibu waziri wa Fedha,hivyo hili saga na yeye analijua vizuri sana na inasemekana wabunge wameshamwambia aachie ngazi kabla fagio lao litakapofika.

Hivyo tarehe ya kuanza kuugua na kusafirishwa kwenda Afrika Kusini na tarehe ta kuchotwa pesa za umma.
Masikini Mgimwa alijitahidi kuwatetea watanzania katika kuzuia wizi huo lakini mapepali wakamshinda,leo Mungu anawaumbua...

My take..serikali uchunguze kwa kina kifo cha Dr.mgimwa sambamba na kuchotwa fedha za Escrow

Pili,waziri wa sasa wa Fedha awajibishwe kwani anahusika kwa namna moja au nyingine.
Scotland Yard wangechunguza sawia na hili la Nkono kulishwa sumu uingereza . Kwani ni busara sana kujua pia uhusiano uliopo Kati ya hiki kifo na hata kile cha Balali na wizi wa fedha .pia WEZI hawa waachunguzwe kwa umakini kuhusika na wizi mwingine hata kama tutarudi miaka 15 nyuma ! Maana haiwezekani Mtu akaanzia wizi kwa kukwapua zaidi ya 300B
 
Waliomuua Dr.Mgimwa hawa hapa

My take..serikali uchunguze kwa kina kifo cha Dr.mgimwa sambamba na kuchotwa fedha za Escrow
Wachunguze nini tena wakati ushatuambia waliomuua Dr. Mgimwa hawa hapa?

[h=3][/h]
 
Huu umbea mtoa post ungekuwa karibu yangu ningekunasa vibao......

namkumbuka mshairi mmoja anaitwa ABDILATIF ABDALLA, septemba 1969 aliwahi kuandika shairi lisemalo 'N' SHISHIYELO NI LILO'' ktk moja ya ubeti wake alisema

''kweli naifahamu, haipendwi aswilani
kwa mja hiyo ni sumu, mbaya isio kifani
mwenye kuitakalamu, hapendezi katwaani
sasa nshayaamini, ni kweli haya ni kweli.

N' SHISHIYELO NI LILO
 
Huu umbea mtoa post ungekuwa karibu yangu ningekunasa vibao......

Toa ujinga wako hapa,mshenz usiye na huruma wewe,nadhani baba yako ni mmoja wa waliokula pesa za ESCROW na kumuua mgimwa,afadhali nile ban kuliko kumvumilia mtu hayawani kama wewe,tena wewe ungekuwa karibu yangu ningekucharanga risasi tu,taifa letu linateswa na mafisadi wewe unatetea wauaji nyambaf zako kabisa yaani nitaku (@?§#**<?
 
Kwa taarifa za chini chini jamaa anaandaa makala ya jicho pevu kuhusu swala la escrow,si unajua anavyonza lazima swala la mgimwa lianze.

"July mwaka 2013 aliyekuwa waziri wa fedha wa tz mh dr mgimwa alianza kusumbuliwa na ......." (In Mohamed Ali tone)

Cc: Mohammed Ali.

Acha utani bwana,Mohamed Alia akiamua kuifanyia kazi hii scandal hapatatosha aiseh!

Kuna rafiki yangu ni ndugu wa damu wa the late Mgimwa mpaka leo hii nikimuuliza kuhusu kifo cha mzee wake huwa ananiambia hii nchi iache tu coz days before kuanza kuugua mzee alihisi kuwindwa.
 
Last edited by a moderator:
kama walio muua ni hawa wa Escrow let's me add that Kamanda mbowe pia kamuuaa shujaa Mgimwa
 
Acha utani bwana,Mohamed Alia akiamua kuifanyia kazi hii scandal hapatatosha aiseh!

Kuna rafiki yangu ni ndugu wa damu wa the late Mgimwa mpaka leo hii nikimuuliza kuhusu kifo cha mzee wake huwa ananiambia hii nchi iache tu coz days before kuanza kuugua mzee alihisi kuwindwa.

mohamad ali yuko vizuri
 
Rudia nyuzi uone.

Sioni cha maana, naona ni kama vile mchezo wa kuigiza tu. Uongo mwingi unasambazwa kwa sasa kuliko ukweli. Subiri ripoti rasmi.
bora umeamua kujiunga na bakita bibiye....huku utakuja pasuka kichwa bure....kwa madudu yenu mnayoyashabikia
 
serikali haiwezi kujichunguza kwani inajua ilichokifanya, na kama kweli serikali haijui basi ivunje usalama wa taifa
 
Back
Top Bottom