Unatambua uzito wa uliloliandika? Umesema hawa hapa, wako wapi sasa?
Ni rais wa sasa na waziri mkuu wake.Kuna lingine unataka?
Unatambua uzito wa uliloliandika? Umesema hawa hapa, wako wapi sasa?
Jamani huyu dogo alishasema hataki mjadala wa kifo cha baba yake. Wewe chezea kitu pesa.
Mwanae kama alikuwa anampenda na kumuheshimu Mzazi wake akidhibitisha kuwa ni kweli Mzazi wake aliuwawa na wale walioshawishi awanie ubunge....inabidi ajiuzulu ubunge na aanze mkakati wa kuwashughulikia ama formally au informally.Tetesi za muda mrefu kuwa walimuua na kumpa mwanae ubunge kama kifuta machozi
Hao mafisadi Wa CCM walianza wakamuua mwalimu Nyerere kwanza wakauza mashirika ya umma wakauza mbuga zetu..
Wakauza madini yetu......wakauza gesi yetu........wakaaza kugawana pesa za kodi zetu na za wahisani kipitia Richmond...EPA.....IPTL na sasa ESCROW akaunti na wanaendelea kuua hata Mimi niandikae hapa wanaweza kuniwinda wakaniua Kwa sumu ya Mwakyembe au wakanitindikali au wakanimabwepande kabisa......lakini siogopi kupayuka hadharani maovu ya mafisadi Wa CCM.....
Mwanae kama alikuwa anampenda na kumuheshimu Mzazi wake akidhibitisha kuwa ni kweli Mzazi wake aliuwawa na wale walioshawishi awanie ubunge....inabidi ajiuzulu ubunge na aanze mkakati wa kuwashughulikia ama formally au informally.
Mwanae kama alikuwa anampenda na kumuheshimu Mzazi wake akidhibitisha kuwa ni kweli Mzazi wake aliuwawa na wale walioshawishi awanie ubunge....inabidi ajiuzulu ubunge na aanze mkakati wa kuwashughulikia ama formally au informally.
weh! atakuwa na ubavu mbele ya lukuvi - ambaye amevuta 2.6 bil!!!
Amani ni tunda la haki, wao hawatendi haki wanahubiri amani, haiwezekani kabisa ipo siku watu watachoka tuombe Mungu yasije tokea yale ya rwanda.Sijui huyo dogo anajisikiaje anaposoma haya. Lakini mimi ninaogopa sana kwakuwa haya mambo hayatapita kiilaini. Iko siku kila kitu kitakuwa wazi na ndpo kinachoitwa amani na utulivu kitakapopukutika na watu kujitia matendo yao maovu. Mungu hadhihakiwi. Itakuwa ni aibu kubwa.
Mwanae kama alikuwa anampenda na kumuheshimu Mzazi wake akidhibitisha kuwa ni kweli Mzazi wake aliuwawa na wale walioshawishi awanie ubunge....inabidi ajiuzulu ubunge na aanze mkakati wa kuwashughulikia ama formally au informally.
Sasa imebainika wazi waliomuua aliyekuwa waziri wa Fedha Dr.Mgimwa.
Watuhumiwa hao walitumia ustadi na umakimi wa hali ya juu kuhakikisha kuwa huyu waziri anaondoka katika nafasi ya Waziri wa Fedha kwani anaziba mirija ya uchotaji wa fedha za Escrow. Hata mabepari hao inasemekana walianza kupiga ndogondogo kwa mkubwa (prezdaa) Mgimwa aondolewe ktk nafasi hiyo na apewe mmoja wa wabunge (ambaye amepata mgawo wa fedha hizo kwa sasa.)
Ilikuwa hivi-Kuanzia mwaka 2012 baada ya kuwa waziri wa fedha Dr.Mgimwa alianza kuandamwa na kufuatwa na mabepari hao ili wajadiriane kuhusu pesa za escrow account lakini kwa uzalendo wake alikataa katakata pesa hizo kutoka na kulipwa huyo Singasinga na Washirika wake.
Baada ya kuona kuwa ameziba kila sehemu na njama zao kugonga mwamba wauaji hao walimuwekea sumu ambayo inasemekana iliwekwa kwenye maji ya kunywa na hapo ndipo Dr.mgimwa alipatwa na ugonjwa wa ajabu na kushindikana kutibiwa hapa nchini mwisho wake wakampeleka nchini Afrika ya kusini ambapo aliugua huko kwa muda wa miezi takribani 3 akaaga dunia.
🙊USHAHIDI wa MAUAJI HAYO🙈
Ikumbukwe kwammba Dr.Mgimwa alipelekwa Afrrika ya Kusini kutibiwa kati ta mwezi wa august na septemba 2013 na hakurudi mzima, na huu ndiyo ulikuwa muda (sept-december 2013 ) ambao mchakato wa malipo ya fedha za ESCROW ulianza mpaka malipo yake yakafanyika.
Chanzo cha habari kinasema barua zote za kuanza nchakato wa malipo mpaka kukamilika kwa malipo hayo yalikuwa ktk kipindi hiki (sept-december,2013) ambacho Dr.Mgimwa alikuwa hayupo na baada ya kuonekana ni kigingi kwa fedha hizo kutoka.
Ndugu zangu, Fedha hizo zilichotwa kiulani kipindi Waziri wa sasa wa Fedha Saada Mkuya akiwa Naibu waziri wa Fedha,hivyo hili saga na yeye analijua vizuri sana na inasemekana wabunge wameshamwambia aachie ngazi kabla fagio lao litakapofika.
Hivyo tarehe ya kuanza kuugua na kusafirishwa kwenda Afrika Kusini na tarehe ta kuchotwa pesa za umma.
Masikini Mgimwa alijitahidi kuwatetea watanzania katika kuzuia wizi huo lakini mapepali wakamshinda,leo Mungu anawaumbua...
My take..serikali uchunguze kwa kina kifo cha Dr.mgimwa sambamba na kuchotwa fedha za Escrow
Pili,waziri wa sasa wa Fedha awajibishwe kwani anahusika kwa namna moja au nyingine.
Mahmoud mgimwa huyu kanjanja wa elimu?
Akiwa hoi mahututi south alipelekewa documents azisaini hili halijawahi kusemwa popote lakini muda muafaka utakapofika kila kitu kitakuwa hadharani peupe, Mgimwa aliuwa, Mkono kakoswakoswa ilikuwa afe kama mgimwa wengine wako kwenye list ni Mungu pekee atakayewanusuru, tutashuhudia mengi ikiwemo vifo vya ghafla na watu kutoweka kabla escrow haijafumuliwa yote!!!! Myakumbuke maneno yangu haya
siku ile mgimwa amefariki tu, nilikutana na jamaa fulani kule kimara anatoka ubungo, ni mtu mzima akaniambia haya mambo yeye ni mtu wa iringa.kwa ufupi ni kwamba inaonekana mgimwa alijua alipoenda south africa na ndugu zake wa karibu wanalifahamu hilo na almanusura kipindi kile cha kifo kinuke.mwanae atakuwa hajui chochote ila tetesi nyingine ni kwamba Mbunge jimbo jirani na la Kalenga nae anahusika katika kifo cha marehemu Mgimwa kwa 100%