Ngaliba Dume
JF-Expert Member
- Oct 6, 2010
- 1,710
- 3,685
Haya yooote ya ukatili na uwizi wanayafanya CCM kwa uwazi kabisa....lkn mbona wanaendelea kushinda kwenye uchaguzi mbalimbali....Tena kwa kishindo??
Huyu Mgimwa Jnr ndio "mpuva" kweliii....Yaani udade akatagike,Ikiwembo kilimugati vanu vakukola ingoro yeye anapandishwa jukwaani kuomba kura,Na kwa CCM walivyo jeuri..huyu mwakani harudi tena bungeni,Walimpa ili kumtuliza,Yaani bwana Mgimwa Jnr ukaamua kupotezea kifo cha Mzee kisa madaraka???