Waliompiga picha na kuzisambaza binti anayehusishwa na chupa ya soda wanafaa kuchukuliwa hatua

Kuna wakati kabla ya kupost ujinga unapaswa kuwa Makini, Yule amejipiga video mwenyewe ukiangalia muda wote amekuwa anaweka simu vizuri, akituma kwa hiari yake kwa aliyemtumia sasa Nani alaumiwe??

Wanawake msipende kuficha uovu wenu kwa kushift burden of your own wrong doings. Nawe kama unajichokonoa na chupa ndio uache tumia real mpingo na uache kujichukua mavideo sio uanze kulaumu wengine.
 
Hajapevuka??????????????huyo yuko over 18 anajielewa tena yuko chuo kikuu...alijua anachofanya
 
Hukumu kabla ya hukumu
 
Kama raha yake faragha ni chupa,kwanini ifike wakati mpaka ajirekodi?
Nimeona anaweka simu vizuri ili aonekane mubashara na alikua analifurahi hilo tukio....

Ni mpenzi sana wa mirinda tena kupiga tarumbeta glasi inapunguza ladha...
Kuanzia sasa naepuka vinywaji vyote vya chupa zenye midomo mirefu....
Na baadhi ya makampuni nyingi za soda ku shaidi za kutosha kukuta uchafu ndani ya vinywaji,means hazikaguliwi na kuoshwa vyema...
Unakuta umebugi chupa la soda unagida tu kumbe kuna mbweha limeshaichomeka kwenye mbususu yake ama kinyeo...
Acha tuugue magonjwa ya ajabu.
 
Mwandishi ni Mzenji.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…