MarkHilary
JF-Expert Member
- Feb 8, 2015
- 1,852
- 2,299
zito hana hamu ...act ..kiti kimoja tu ..alijifanya mfalme wa kigoma ..zito umoja ni nguvu ndugu.....mmegawa kura kwa ccm bila sababu ya msingi kisa uroho wa majimbo kama ungeamua kuwaunga mkono wenzako akina kafulila mkosamali na machali mngeshinda majimbo mengi mnoo......yaani kujitapa kote kule mmetoka ngoma droo na chadema ...chadema buyungu zito kigoma mjini ..hata ushawishi wa jimbo la kigoma kaskazini pia umemshinda kushawishi act ishinde
Kashindwa kupita Lowassa kwenye urais sembuse huyu dada.Yule mama angegombea ubunge angepita sema ZZK alimcheze mchezo kwa kutumia prof.Mkumbo alafu mama akochomekewa gafla.
.Kawasaidia ccm kwa kugawa kura hata wagombea wake wameshindwa loh
Mkuu kwani Lowassa kapata nini? Mafuriko?Msaliti huyu yupo too local huko kwao? Majidai yote ya kwamba wamekuwa chama cha pili kusimamisha wagombea nchi sasa wamevuna nini? Kama wamekuwa wa pili kuwa na uwingi wa kusimamisha wagombea, jee wamepata asilia ngapi ya ubunge ya hao waliowasimimisha? Tuseme wamesimamisha 200 na wamepata kiti kimoja. Wamepata 0.5% (1/200x 100) ya ubunge ya viti walivyosimisha wabunge. Very poor performance. Wamekuwa local huko kwao. Mama Anna ahame chama ACT siyo saizi yake.
Toka lini msaliti akagawa kura.Kawasaidia ccm kwa kugawa kura hata wagombea wake wameshindwa loh
Toka lini msaliti akagawa kura.
zito hana hamu ...act ..kiti kimoja tu ..alijifanya mfalme wa kigoma ..zito umoja ni nguvu ndugu.....mmegawa kura kwa ccm bila sababu ya msingi kisa uroho wa majimbo kama ungeamua kuwaunga mkono wenzako akina kafulila mkosamali na machali mngeshinda majimbo mengi mnoo......yaani kujitapa kote kule mmetoka ngoma droo na chadema ...chadema buyungu zito kigoma mjini ..hata ushawishi wa jimbo la kigoma kaskazini pia umemshinda kushawishi act ishinde
zito hana hamu ...act ..kiti kimoja tu ..alijifanya mfalme wa kigoma ..zito umoja ni nguvu ndugu.....mmegawa kura kwa ccm bila sababu ya msingi kisa uroho wa majimbo kama ungeamua kuwaunga mkono wenzako akina kafulila mkosamali na machali mngeshinda majimbo mengi mnoo......yaani kujitapa kote kule mmetoka ngoma droo na chadema ...chadema buyungu zito kigoma mjini ..hata ushawishi wa jimbo la kigoma kaskazini pia umemshinda kushawishi act ishinde
Msaliti huyu yupo too local huko kwao? Majidai yote ya kwamba wamekuwa chama cha pili kusimamisha wagombea nchi sasa wamevuna nini? Kama wamekuwa wa pili kuwa na uwingi wa kusimamisha wagombea, jee wamepata asilia ngapi ya ubunge ya hao waliowasimimisha? Tuseme wamesimamisha 200 na wamepata kiti kimoja. Wamepata 0.5% (1/200x 100) ya ubunge ya viti walivyosimisha wabunge. Very poor performance. Wamekuwa local huko kwao. Mama Anna ahame chama ACT siyo saizi yake.
.
Alosaidia CCM ni mbowe na Mtei kumkaribisha Lowassa Chadema,Angalia sasa wabongo wanavyoiadhibu UKAWA.Wao walidhani EL ataleta ushindi kumbe kaleta vilio.Zito ni wa kumsifu,chama kipya kimeshinda vyama vikongwe.Ukweli wenyewe ni kuwa wanachadema lazima muelewe mbowe na mtei ndio wanaua chama.Chadema ilikuwa na nafasi mzuri ya kushinda uchaguzi huu lakini walianza kula nyama ya watu kwa kumfukuza Zito mara Slaa huyooo kaingia mtini ingawa na yeye alikuwa mstari wa mbele kumfukuza Zito.Tundu Lissu mnafiki mkubwa chupuchupu huko singida,Mbowe sijui huko hai kama kapona.Hili ni fundisho kuwa katika siasa unafiki sio mzuri leo hii nani ndani ya chadema atazuia chozi la Halima Mdee?.
Angalia watu wanaoona mbele kama Slaa na Prof Lipumba.Je na wao leo wangejificha wapi?
ZIIIIIIIIIIIITOOOOOO Nakupongeza sana na pongezi zaidi kwa mwalimu wako pale chuo keep on man:A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S thumbs_up:
Kusimamisha wagombea ubunge zaidi ya 250 halafu unapata mmoja tu. 1/250.
Halafu eti unakuja kushangilia kwakusuta huku unainuainua sketi mbele ya wanaume ambao wao wameongeza wabunge wengi zaidi ya waliopoteza.
Slogan ya WAHA
UBISHI IS OUR MOTO.
pole mkuu
Anna kakitangaza chama cha ACT kuliko ACT ingejitangaza kwa njia yoyote ile
imagine majimbo kama moshi mjini Anna anapata kura 634
strategy ilikuwa kukitangaza na kukikuza chama
Anna atabaki true icon ambaye kawaburuza wengine wote kwa hoja na sera dhahiri akiongozwa na uadilifu pasi chembe ya rushwa wala doa!
grow up!