Walioitwa Majipu kulipwa Tsh. Bilioni 2.2

Walioitwa Majipu kulipwa Tsh. Bilioni 2.2

Noma kweli !
Wakati viongozi wa upinzani wanapiga kelele na style hii ya utumbuaji kuwa sio sahihi mavuvuzela wakageuza kibao na hata mkulu mwenyewe wakasema eti wapinzani siku hizi wanatetea ufisadi.
Hivi ni lini ccm watatambua kuwa kama ni akili ya kuongoza kwa weledi nchi hii iko upinzani na sio ndani ya chama chakavu?
Sasa hapo nani bwege? Mtu unamtumbua anakaa nyumbani kisha unamlipa sii ungemuacha atumike ili malipo hayo yawe halali kwa kazi aliyo fanya?
 
Hayo yamesemwa na Mh Halima Mdee ambaye ni msemaji wa kambi ya upinzani wa wizara ya fedha na mipango , wakati akisoma maoni ya kambi hiyo kuhusu mapendekezo ya mpango wa Taifa wa Maendeleo kwa mwaka 2017/18.

" Tumeshuhudia serikali ya ccm ikijitapa kutumbua majipu iliyotengeneza yenyewe kwa mbwembwe , kumbe nyuma ya pazia serikali hiyo hiyo inayalipa majipu hayo mishahara pamoja na marupurupu mengine "

" septemba bil 2.2 zilitengwa kwa ajili ya kuwalipa viongozi waliotumbuliwa , ikiwemo tsh mil 198.8 kama POSHO YA USUMBUFU . "

Chanzo - Mwananchi .
Huu mchezo hauitaji hasiraa
 
Mikataba mwingine inamuhitaji aliyevunja mkataba (serikali) anamlipa aliyevunjiwa mkataba (mfanyakazi). Vinginevyo utaenda kinyune na sheria na watu wa haki za binadamu hawata kuachia hivi hivi.
 
Mtaji wa ccm ni ujinga na umasikini wetu...siku tukijitambua asubuhi akuna cha nini wala nani ...madaraka wanaachia kwa kura za SAA.nne
 
Bila kutimua ccm madarakani hii nchi itakuwa afadhali jehanamu .
 
mtafutieni bwana huyu mwanamke maana aliyenaye anaonekana hamkuni inavyotakiwa ndo mana anaropoka ropka tu
 
Dikteta uchwara katika utembo wake. Hapa majanga tu, kila anachogusa ni majanga tu.
Mkuu katika hili wimbi la kuhakiki kila kitu hakuna uwezekano wa kuhakiki phd za mlimani ? Maana siku hizi kila kitu hewa
 
hebu fikiria wale waliosababisha hewa je,wamekamatwa????.

serikali achana na lema kamateni waliosababisha watumishi hewa .
 
Tatizo anatumbua tumbua bila mpango,anakurupuka.badae yanamgeukia yeye anazidi kuchanganyikiwa

Hajchanganyikiwa, kwani hukuona raia wa Kenya wanavyomushangilia ama pengine wewe ndiye uliyechanganyikiwa kwa kukosa dili
 
Hivi watumishi hewa karibia elfu 20 wamepatikana wizara, idara na taasisi zipi? Mimi sifahamu hata mmoja.
 
Back
Top Bottom