kichomiz
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 20,259
- 13,268
Wazee wa sound wanaendelea kuumbukaMkuu , Mungu ni mwema sana , wanaendelea kuumbuka .
Wazee wa sound wanaendelea kuumbukaMkuu , Mungu ni mwema sana , wanaendelea kuumbuka .
Ndiyo hivyo tuliyataka wenyewe....kuna wajinga waliitikia "TUMBUA"...Kumbe pesa zinanyakuliwaHayo yamesemwa na Mh Halima Mdee ambaye ni msemaji wa kambi ya upinzani wa wizara ya fedha na mipango , wakati akisoma maoni ya kambi hiyo kuhusu mapendekezo ya mpango wa Taifa wa Maendeleo kwa mwaka 2017/18.
" Tumeshuhudia serikali ya ccm ikijitapa kutumbua majipu iliyotengeneza yenyewe kwa mbwembwe , kumbe nyuma ya pazia serikali hiyo hiyo inayalipa majipu hayo mishahara pamoja na marupurupu mengine "
" septemba bil 2.2 zilitengwa kwa ajili ya kuwalipa viongozi waliotumbuliwa , ikiwemo tsh mil 198.8 kama POSHO YA USUMBUFU . "
Chanzo - Mwananchi .
Noma sana !Ndiyo hivyo tuliyataka wenyewe....kuna wajinga waliitikia "TUMBUA"...Kumbe pesa zinanyakuliwa
Anadaiwa tsh ngapi ?Mbowe amelipa deni la NHC??
Ha! Ha! Ha!SINEMA NZURI MWANZO MPAKA MWISHO, STERINGI KACHEZA VIZURI LAKINI MWISHONI AMEFIA KWENYE WWIGO WA MAUA LOL 😉😡😛
Halafu pia wanalipwa na posho ya usumbufu .Kwa hiyo akiongea Halima basi hakuna kuhoji? Maana naona vijimaneno tu. Mwambie awataje hao wanaolipwa izo bilioni 2.2. La sivyo ni siasa za maji taka na wewe unayeshabikia bila kuhoji majina ni akina nani unajizalilisha.
Halafu pia wanalipwa na posho ya usumbufu .
Kwi! Kwi! Kwi !Nakuakikishia huo ni uzushi wa mvuta majani mdee.
Hah hah hayo yamesemwa na Halima Mdee,kazi ipo na kwa kuwa yamesemwa na Mdee jamaa wanashangilia utadhani wao ndio wanufaika,nadhani mngejisikia aibu kwanza .Hayo yamesemwa na Mh Halima Mdee ambaye ni msemaji wa kambi ya upinzani wa wizara ya fedha na mipango , wakati akisoma maoni ya kambi hiyo kuhusu mapendekezo ya mpango wa Taifa wa Maendeleo kwa mwaka 2017/18.
" Tumeshuhudia serikali ya CCM ikijitapa kutumbua majipu iliyotengeneza yenyewe kwa mbwembwe , kumbe nyuma ya pazia serikali hiyo hiyo inayalipa majipu hayo mishahara pamoja na marupurupu mengine "
" Septemba bil 2.2 zilitengwa kwa ajili ya kuwalipa viongozi waliotumbuliwa , ikiwemo tsh mil 198.8 kama POSHO YA USUMBUFU . "
Chanzo: Mwananchi .
Atalipwa na posho ya usumbufu .Hata jambo la Mramba lazima kama hilo. Maana nasikia Mramba amekuwa analipwa mshahara Mkubwa zaidi milioni 25 kwa mwezi(sina uhakika)
Man has evolved not to be a slave of any deityNi lin CCM mtaacha kuwaona watanzania kua ni watumwa wenu! I believe we will once be only slaves of God and not CCM