Mwanapropaganda
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 4,235
- 2,512
Kumbe ni sinema tu.
Mdau hembu tuwekee clip yake hapa tumsikie macho machoTulishasema tangu mwanzo , hakuna kitu hapo , bandarini kwenye lile bomba la mafuta watu wanajipigia kama kawaida .
Nitakutafuta jiandae kwa million 7Dikteta uchwara katika utembo wake. Hapa majanga tu, kila anachogusa ni majanga tu.
Ngoja nijitahidi mkuu .Mdau hembu tuwekee clip yake hapa tumsikie macho macho
Ukitangaza dau utawaona tu , hao wanaitwa wazee wa njaa .Wazeee wa kujitoa ufahamu faiza foxy, simiu yetu , sijui lizabon kuja pande hii jibu hoja bila kupepesa macho
umeona? Waziri kivuli anaonesha ni jinsi gani alivyo kivuli kweliSiasa hyo:ukiitwa kivuli inamaanisha nini?? Mhhhh:kivuli sidhani kama kukiwa giza utakiona
Wapinzani wameishiwa.Hakuna kivuli kinachoweza kuleta mabadiliko