Panda Kapesi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2011
- 345
- 220
Duuh! Tutafika kweli kwa style hii!
Kazi kushabikia tu mambo usiyoyajua. mbona hamwataji hao wanaojipigia?Tulishasema tangu mwanzo , hakuna kitu hapo , bandarini kwenye lile bomba la mafuta watu wanajipigia kama kawaida .
wanachokifanya sasa ni kuzingizia mambo ya uongo ilimradi nao waonekane wapoWapinzani wameishiwa.
Ccm bhana,ngoja kiama kifike labda watabadilika.Hayo yamesemwa na Mh Halima Mdee ambaye ni msemaji wa kambi ya upinzani wa wizara ya fedha na mipango , wakati akisoma maoni ya kambi hiyo kuhusu mapendekezo ya mpango wa Taifa wa Maendeleo kwa mwaka 2017/18.
" Tumeshuhudia serikali ya ccm ikijitapa kutumbua majipu iliyotengeneza yenyewe kwa mbwembwe , kumbe nyuma ya pazia serikali hiyo hiyo inayalipa majipu hayo mishahara pamoja na marupurupu mengine "
" septemba bil 2.2 zilitengwa kwa ajili ya kuwalipa viongozi waliotumbuliwa , ikiwemo tsh mil 198.8 kama POSHO YA USUMBUFU .
Chanzo - Mwananchi .
Achana na huyo Mdee mnywa Viroba
mwaka huu mtaongea sana,Magufuli yeye ni mbele kwa mbeleSINEMA NZURI MWANZO MPAKA MWISHO, STERINGI KACHEZA VIZURI LAKINI MWISHONI AMEFIA KWENYE WWIGO WA MAUA LOL 😉😡😛
Lizaboni Elungata njooni huku, hizi ndio habari za TownHayo yamesemwa na Mh Halima Mdee ambaye ni msemaji wa kambi ya upinzani wa wizara ya fedha na mipango , wakati akisoma maoni ya kambi hiyo kuhusu mapendekezo ya mpango wa Taifa wa Maendeleo kwa mwaka 2017/18.
" Tumeshuhudia serikali ya ccm ikijitapa kutumbua majipu iliyotengeneza yenyewe kwa mbwembwe , kumbe nyuma ya pazia serikali hiyo hiyo inayalipa majipu hayo mishahara pamoja na marupurupu mengine "
" septemba bil 2.2 zilitengwa kwa ajili ya kuwalipa viongozi waliotumbuliwa , ikiwemo tsh mil 198.8 kama POSHO YA USUMBUFU . "
Chanzo - Mwananchi .
kiama kimewafika CHADEMA, ndiyo maana wanaamua kusingizia mambo ya uongo, mbona hawawataji hao wanaolipwa?Ccm bhana,ngoja kiama kifike labda watabadilika.
Unaumwa wewe sio bure....! Unadhani kila mbele ni mbele hata urudipo nyuma kuna mbele ya nyumamwaka huu mtaongea sana,Magufuli yeye ni mbele kwa mbele
Tatizo anatumbua tumbua bila mpango......
Waulize viongozi wako , alienda Magufuli na mkwara wa kufa mtu , watu wakamsikiliza wee ! Alipowapa mgongo tu mambo yakarudi kama kawa , baadaye kidogo akaenda Majaliwa akabwabwaja weee ! Watu wakamcheki tu , na wala hakuuliza kwanini mpaka leo uchakachuaji unaendelea ! Unajua kwanini hadi leo watu wanajipigia ? CCM INA WENYEWE MJOMBA , wewe endelea kuvishwa vijikofia uchwara .Kazi kushabikia tu mambo usiyoyajua. mbona hamwataji hao wanaojipigia?
Chanzo ni Mwananchi .kiama kimewafika CHADEMA, ndiyo maana wanaamua kusingizia mambo ya uongo, mbona hawawataji hao wanaolipwa?