Walioitwa Majipu kulipwa Tsh. Bilioni 2.2

Dikteta uchwara katika utembo wake. Hapa majanga tu, kila anachogusa ni majanga tu.

Haswa asante kwa kuelewa, kila anachogusa NI uozo NCHI ilikuwa imetekwa na mafusadi, lazima tumusaidie Tanzania ni
yetu wote.
 
Usitake kubadili maana ya niliyoikusudia kwenye post yangu. Kapiga marufuku uagizaji wa Serikali yakawa MAJANGA, kaondoa 5 trilioni kwenye mzunguko wa pesa na kubana matumizi ya Serikali nchini yakawa Majanga, Uhakiki wa Wafanyakazi hewa MAJANGA, kuhamia Dodoma MAJANGA etc sasa hata ndani ya CCM wameanza kumpinga hadharani wakiwemo Warioba, Butiku, Mwinyi na hata Wabunge. Ni Janga kuba la Taifa huyu dikteta uchwara.

Hivi watumishi hewa karibia elfu 20 wamepatikana wizara, idara na taasisi zipi? Mimi sifahamu hata mmoja.

Huwezi kumufahamu hata mmoja kulikuwa hakuna watumishi ila mishara ikilipwa kila mwezi, ndiyo maana humufaham hata mmoja
 
Kama hajawataja watumbuliwa waliolipwa basi ni porojo zao wanaziendeleza kwa JPM. Watamgwaya tu na bado
hawamgwayi bali wanaheshimu sheria sio huyo anayekanyaga sheria kisa mkubwa wa kaya,
 
Usitake kubadili maana ya niliyoikusudia kwenye post yangu. Kapiga marufuku uagizaji wa Serikali yakawa MAJANGA, kaondoa 5 trilioni kwenye mzunguko wa pesa na kubana matumizi ya Serikali nchini yakawa Majanga, Uhakiki wa Wafanyakazi hewa MAJANGA, kuhamia Dodoma MAJANGA etc sasa hata ndani ya CCM wameanza kumpinga hadharani wakiwemo Warioba, Butiku, Mwinyi na hata Wabunge. Ni Janga kuba la Taifa huyu dikteta uchwara.
tetemeko kagera
 
Hana vision huyu jamaa!
Unajua mkuu ikulu si mahali pa kujifunzia uongozi , hili ndio jambo ambalo watanzania wamelisahau , ikulu ni taasisi inahitaji collective responsibilities , Haiwezekani mtu mmoja tu kuwa ndio kila kitu , ndio maana nchi imekwama na inaendelea kuporomoka kila asubuhi .
 
Haswa asante kwa kuelewa, kila anachogusa NI uozo NCHI ilikuwa imetekwa na mafusadi, lazima tumusaidie Tanzania ni
yetu wote.
Hivi ile rushwa ya mil 10 waliyopewa wabunge wa ccm taarifa zake unazo ?
 
Back
Top Bottom